Bashe Umenifanya nilie, same study ifanyike kwenye upande wa Dawa (Pharmaceuticals)

Bashe Umenifanya nilie, same study ifanyike kwenye upande wa Dawa (Pharmaceuticals)

Niseme ukweli hawa ndio mawaziri wanaopaswa kuwa ofisini. Sio wale wa kuhudhuria mikutano na upigaji.

Natamani kuona hata nafasi za uwaziri ziwe ni through competitive interview, cream’Tanzania zipo, tatizo kubwa ni mifumo ya UTEUZI .

Evidence informed practice iliyofanywa na bashe through his findings imegundua kuna upigaji over bilions of money kwenye sector ya kilimo kwa kushirikiana na maafisa wa halmashauri na taasisi za kilimo, matokeo yake wananchi wanalimia watu ambao wanatajirika wao wanabaki palepale.

https://m.youtube.com/watch?v=SewODa1TxLc&pp=ygURYmFzaGUgYnVuZ2VuaSBsZW8=

Bashe, in addition, nashauri pia hata madalali wa kilimo WASAJILIWE na wawe wanakuwa auditied. Ukienda Namibia tu hapo, wakulima ni matajiri but Tanzania wakulima ni masikini, ila maafisa wasiolima ndio wanakuwa matajiri pamoja na middle men.

Niseme wazi Serikali ya Tanzania inaendeshwa kihuni sana na serikali haisimamii haki za watanzania ipasavyo, ni yeyoye anaweza kuwa chochote. It is such a shame to be a Tanzanian.

Wizara ya Afya inahitaji mawaziri kama hawa, sio mawaziri wa kutoa matamko ya kisiasa kwenye Afya za wa Tanzania na kuhudhuria vikao.

hili ni Ombi kwa Waziri Mkuu , Kassim Kassim, the same study ifanyike kwenye upande wa dawa , huko kuna balaa kubwa na kuna inadequate supervision kuanzia wizara hadi kwenye mataasisi, na watanzania wanaangamia na bei za Dawa ni kubwa mno na wakati mwingine dawa hazina Quality na michezo ni ileile kama ya kilimo, na wauzaji hawawezi kufanya ubadhilifu pasipo kushirikiana na maafisa wandani.

Nimemuona JPM ndani ya bashe, anaeweza ku upload speech yake aweke.

Tanzania is a cup of shame , chanzo kikubwa cha haya yote TEUZI!
Mkuu tatizo sio teuzi ,
tatizo ni wateuzi.Ukweli ni kwamba Watanzania hawamteui Rais wao,the President is imposed on them by an unseen hand,which has an agenda completely different from their agenda.Sasa huyu anateua watu wake depending on the agenda of the hidden hand,not agenda of the citizenry.It is fair to say Rais ni stooge of the hidden hand.
 
Nilitaka kukupa ‘like’ ila umeikosa ulipoleta mambo ya JPM.
Jpm supporter hao bado wanammiss mwamba,juzi wakanifanya nicheke kama mwehu,linaonyeshwa soko la kkoo baada ya ukarabati kuna mwamba akaanza kumsifia jpm kwa kazi nzuri wakati soko linaungua jpm alishafariki
 
Back
Top Bottom