Bashe Umenifanya nilie, same study ifanyike kwenye upande wa Dawa (Pharmaceuticals)

NAkuunga Mkono kwa 400%..
Huku Ndo kumeoza Sana na kama wakiweka Waziri mwenye Akili anaweza akalia Akifanya Study maana Upigaji si kwenye Dawa tu hata kwenye Uendeshaji wa Vituo na Hospitali kuna Madudu mengi sana

Pale BOHARI KUU ya Dawa , na ununuzi wa Dawa panahitaji a critical study kuna uozo mkubwa sana but tunae compétent waziri kuliona hili

Hospital wananunua dawa kwa gharama sana , siasa ni nyingi kwenye Afya kuliko uhalisia

Sijui hii wizara tumpe genius gan
 
Tatizo nahisi kuna Upigaji ambao Pia serkali inahusika nakumbuka Magu Aliwahi kumteua Brigedia General Kuwa Mkurugenzi Bohari we Unafikiri Kwa nini??

Bohari ya Dawa kuna Madudu mengi sana Laiti kama wangefanya ukaguzi Huru wa Bila Kubadilisha Tarakimu kuna Uozo na Bomu kubwa sana..
Wizara ile Tatizo Kila anayeenda pale anawaza Kupiga na kusepa Hakuna mwenye moyo w Kusaidia wananchi
 
Bado tunalima kwa jembe la mkono tangu enzi ya nuhu, mkokoteni bado ni nyenzo yetu ya uchukuzi, yaani tofauti yetu na nyani hatuna mikia mirefu
Halafu wamekuja wachina wamenunua punda nchi nzima wamekwenda nao,atleastbwalikuwa wanasaidia mashambani.
 
Na siku akipewa Wizara ya fedha,watu watafumbuliwa macho .
 
Niseme wazi Serikali ya Tanzania inaendeshwa kihuni sana na serikali haisimamii haki za watanzania ipasavyo, ni yeyoye anaweza kuwa chochote. It is such a shame to be a Tanzanian.
Mimi ningeondoa tu hayo maneno: "...it is such a shame to be a Tanzanian." Ninakusihi sana haya maneno usiyarudie tena.
Hatuwezi kuikana Tanzania kwa sababu ya viongozi mbuzi hawa kuwa madarakani.
Naunga mkono maneno yote yaliyotangulia kabla ya hiyo "shame."
 
Niseme ukweli hawa ndio mawaziri wanaopaswa kuwa ofisini. Sio wale wa kuhudhuria mikutano na upigaji.

Natamani kuona hata nafasi za uwaziri ziwe ni through competitive interview, cream’Tanzania zipo, tatizo kubwa ni mifumo ya UTEUZI .

Evidence informed practice iliyofanywa na bashe through his findings imegundua kuna upigaji over bilions of money kwenye sector ya kilimo kwa kushirikiana na maafisa wa halmashauri na taasisi za kilimo, matokeo yake wananchi wanalimia watu ambao wanatajirika wao wanabaki palepale.

Bashe, in addition, nashauri pia hata madalali wa kilimo WASAJILIWE na wawe wanakuwa auditied. Ukienda Namibia tu hapo, wakulima ni matajiri but Tanzania wakulima ni masikini, ila maafisa wasiolima ndio wanakuwa matajiri pamoja na middle men.

Wizara ya Afya inahitaji mawaziri kama hawa, sio mawaziri wa kutoa matamko ya kisiasa kwenye Afya za wa Tanzania na kuhudhuria vikao.

hili ni Ombi kwa Waziri Mkuu , Kassim Kassim, the same study ifanyike kwenye upande wa dawa , huko kuna balaa kubwa na kuna inadequate supervision kuanzia wizara hadi kwenye mataasisi, na watanzania wanaangamia na bei za Dawa ni kubwa mno na wakati mwingine dawa hazina Quality na michezo ni ileile kama ya kilimo, na wauzaji hawawezi kufanya ubadhilifu pasipo kushirikiana na maafisa wandani.

Nimemuona JPM ndani ya bashe, anaeweza ku upload speech yake aweke.

Tanzania is a cup of shame , chanzo kikubwa cha haya yote TEUZI!
Watanzania ni majambazi kama ulikuwa hujui
 
Tatizo nahisi kuna Upigaji ambao Pia serkali inahusika nakumbuka Magu Aliwahi kumteua Brigedia General Kuwa Mkurugenzi Bohari we Unafikiri Kwa nini??

Bohari ya Dawa kuna Madudu mengi sana Laiti kama wangefanya ukaguzi Huru wa Bila Kubadilisha Tarakimu kuna Uozo na Bomu kubwa sana..
Wizara ile Tatizo Kila anayeenda pale anawaza Kupiga na kusepa Hakuna mwenye moyo w Kusaidia wananchi
Tunalia sana waTanzania wenzangu. Si maeneo hayo mnayoyasema, Afya, Kilimo pekee; bali kila sehemu utakayoitizama ina uozo.
Sasa kwa nini msijiulize tatizo lipo wapi hasa katika muundo wa serikali na katika sheria zetu.
Kama sheria zipo, hazitekelezwi, sasa kwa nini watu waogope kuiba.
Mtumishi kaiba eneo moja, suluhisho likawa ni kumhamishia eneo jingine, huku akiendelea kufaidi matunda ya wizi wake, kwa nini wote wasitamani kuwa sehmu itakayowawezesha kuiba?
Ndiyo maana siku hizi, hata uteuzi unapofanyika, watu wa karibu na mteuliwa wanashangilia, kwa sababu kapewa ulaji

Ukiniuliza mimi nitakwambia hivi: uozo umetapakaa toka huko juu kabisa kunakohimizwa bila aibu yoyote "watu wale kwa urefu wa kamba zao," hadi ngazi ya chini kabisa serikalini.

Kiongozi mkuu anapokuwa mtu anayevumilia uozo na kupindisha taratibu usitegemee kuwa patakuwepo na ufanisi katika kuzuia haya tunayo lalamikia.

Nenda China, au Vietnam uone wanafanya nini kukomesha ujinga unaovumiliwa hapa kwetu.
Hapa kwetu umesikia ni viongozi wangapi waliotuhumiwa na ubadhirifu wa mali ya umma wamepewa adhabu stahiki, bila ya kuoneana haya; kwa haki tupu.
Tukimpata kiongozi anayeweza kufanya hivyo utaona hali inabadilika.
 
Pale BOHARI KUU ya Dawa , na ununuzi wa Dawa panahitaji a critical study kuna uozo mkubwa sana but tunae compétent waziri kuliona hili

Hospital wananunua dawa kwa gharama sana , siasa ni nyingi kwenye Afya kuliko uhalisia

Sijui hii wizara tumpe genius gan
Nipeni mimi
 
Nilitaka kukupa ‘like’ ila umeikosa ulipoleta mambo ya JPM.
JPM anachukiwa na vyeti feki, mafisadi, wahujumu uchumi,wakwepa Kodi,wavivu, wazembe, makanjanja waliufyata sijajua wewe utakua kundi gani

Natania TU 😊😊😊
 
Angalia kodi ya mafuta,PM ameacha kufuatilia lts ngapi za mafuta zimeingizwa nchini na kiasi gani cha kodi ya barabara kimekusanywa.na kwanini baadhi ya majimbo barabara haziendi wakati masheli ya mafuta yapo?
 
Mimi ningeondoa tu hayo maneno: "...it is such a shame to be a Tanzanian." Ninakusihi sana haya maneno usiyarudie tena.
Hatuwezi kuikana Tanzania kwa sababu ya viongozi mbuzi hawa kuwa madarakani.
Naunga mkono maneno yote yaliyotangulia kabla ya hiyo "shame."

Asante
 
Tatizo nahisi kuna Upigaji ambao Pia serkali inahusika nakumbuka Magu Aliwahi kumteua Brigedia General Kuwa Mkurugenzi Bohari we Unafikiri Kwa nini??

Bohari ya Dawa kuna Madudu mengi sana Laiti kama wangefanya ukaguzi Huru wa Bila Kubadilisha Tarakimu kuna Uozo na Bomu kubwa sana..
Wizara ile Tatizo Kila anayeenda pale anawaza Kupiga na kusepa Hakuna mwenye moyo w Kusaidia wananchi

Yule Brigedia alipaswa kuwa Polisi. Nasikia alipiga sana pale hadi mama kuja kumchomoa. Lakini kuhusu bei za dawa pale ni tatizo. Nadhan pale ndio kuna majambazi zaidi ya kilimo. Na majambazi yanaanzia wizarani

Kama ikipigwa a simple audit kwenye manunuzi ya Dawa na bei wanazouzia wananchi ni billions of money

Wakati nipo Hospital tulikuwa hatutaki kabisa to channel our order pale . Imagine mkurugenzi wa hosp unaletewa order yenye tofauti ya 500M kati ya bohari kuu na mtaani

A simple audit inahitajika pale

Bashe awe waziri wa Afya
 
Niseme ukweli hawa ndio mawaziri wanaopaswa kuwa ofisini. Sio wale wa kuhudhuria mikutano na upigaji.

Natamani kuona hata nafasi za uwaziri ziwe ni through competitive interview, cream’Tanzania zipo, tatizo kubwa ni mifumo ya UTEUZI .

Evidence informed practice iliyofanywa na bashe through his findings imegundua kuna upigaji over bilions of money kwenye sector ya kilimo kwa kushirikiana na maafisa wa halmashauri na taasisi za kilimo, matokeo yake wananchi wanalimia watu ambao wanatajirika wao wanabaki palepale.

Bashe, in addition, nashauri pia hata madalali wa kilimo WASAJILIWE na wawe wanakuwa auditied. Ukienda Namibia tu hapo, wakulima ni matajiri but Tanzania wakulima ni masikini, ila maafisa wasiolima ndio wanakuwa matajiri pamoja na middle men.

Niseme wazi Serikali ya Tanzania inaendeshwa kihuni sana na serikali haisimamii haki za watanzania ipasavyo, ni yeyoye anaweza kuwa chochote. It is such a shame to be a Tanzanian.

Wizara ya Afya inahitaji mawaziri kama hawa, sio mawaziri wa kutoa matamko ya kisiasa kwenye Afya za wa Tanzania na kuhudhuria vikao.

hili ni Ombi kwa Waziri Mkuu , Kassim Kassim, the same study ifanyike kwenye upande wa dawa , huko kuna balaa kubwa na kuna inadequate supervision kuanzia wizara hadi kwenye mataasisi, na watanzania wanaangamia na bei za Dawa ni kubwa mno na wakati mwingine dawa hazina Quality na michezo ni ileile kama ya kilimo, na wauzaji hawawezi kufanya ubadhilifu pasipo kushirikiana na maafisa wandani.

Nimemuona JPM ndani ya bashe, anaeweza ku upload speech yake aweke.

Tanzania is a cup of shame , chanzo kikubwa cha haya yote TEUZI!
Nimesoma heading nikaja kwenye content niseme wazi sijakuelewa.
 
Tatizo nahisi kuna Upigaji ambao Pia serkali inahusika nakumbuka Magu Aliwahi kumteua Brigedia General Kuwa Mkurugenzi Bohari we Unafikiri Kwa nini??

Bohari ya Dawa kuna Madudu mengi sana Laiti kama wangefanya ukaguzi Huru wa Bila Kubadilisha Tarakimu kuna Uozo na Bomu kubwa sana..
Wizara ile Tatizo Kila anayeenda pale anawaza Kupiga na kusepa Hakuna mwenye moyo w Kusaidia wananchi

Ilitakiwa hawa viongozi wanapigwa audit na AC zao ziwe hold na kupelekwa kwa polisi . Kama yule jamaa Ngosha alimfunga.

Tatizo pia CAG hawana wataalam audit zile za kufokonyoa

Hizo nafasi hazipaswi kuwa za kuteuliwa mezan
 
Wanazo na wanafanya Tena Ma Auditor Wako very Proffesional sema Serkalini kuna Kulindana sana Na report zao zina Editiwa sana kupunguza Taharuki
 
I think Bashe is overrated. Bashe ni mpiga porojo tu. Ni mwaka wa ngapi huu akiwa sekta ya kilimo, tangu akiwa naibu na sasa waziri kamili, na amefanya nini?

Wakulima wa tumbaku mkoa wa Tabora mwaka Jana tu wamelia kama watoto. Kampuni iitwayo Mkwawa iliyoundwa kwa partnership ya wazawa akiwemo Bashe mwenyewe, Rostam na Ridhiwan, imenunua tumbaku kwa bei ya chini na kuwachelewashea malipo.

Kwa upande wa korosho, tangu awe waziri hakuna jipya. Bei mbovu na zinawanyonya wakulima. Bashe huyu huyu alianzisha mfumo wa stakabadhi gharani. Wakulima walioingia mkenge na kufuata mfumo huo hawajauza korosho mpk leo .

Wakulima wa mahindi nchi nzima wanalia na bei.

Sasa ubora wa Bashe upo ktk lipi?
 
🤣🤣🤣🤣 si kuna muungwana mmoja juzi kati hapo alisema "alitokewa na mungu, mungu anapenda mazingira, amemwambia Bashe ajiuzulu"
 
Wanazo na wanafanya Tena Ma Auditor Wako very Proffesional sema Serkalini kuna Kulindana sana Na report zao zina Editiwa sana kupunguza Taharuki

Hii ndio shida
Wakuu wanalipwa over 10M na kuendelea wanatakiwa kuwajibishwa
 
Back
Top Bottom