Nimemsikiliza Bashe ambaye ni Naibu Waziri wa Kilimo akielezea food security, well, amechemka sana!
Dhana ya food security haiko tu katika individual economic ability to purchase basic food stuffs kama alivyoielezea Bashe.
Food security imekuwa karibu na definitions 200 na zote zinabeba yafuatayo:
1. Physical, socia and economic ability to access and purchase basic food stuffs.
2. Availability of those basic food stuffs.
3. Ability to meet expanding food needs and offsetting fluctuations in production and prices.
Mpaka hapo nadhani atapata shule kidogo.
Pili, kumfananisha mkulima na mfanyabiashara ni kukosea sana. Kilimo ni sekta inayopewa ruzuku sana na serikali. Umewahi kusikia mfanyabiashara akipewa ruzuku?
Unadhani ni kwanini ruzuku nyingi kutoka serikalini zinaenda kwenye kilimo?
Bashe yuko very confident but his understanding of issues is erratic at best!
Hivi kwa nini waTanzania kadhaa hua mnapenda kuandika kiswanglish katika nchi ya wasiyojua kingereza kwa wingi?mkulima asiyejua kingereza lakini alidownload Jf kwenue simu yake kisha akasoma ulichoandika hapa hata kama kina maana kwake na haelewi utakua umemsaidia nini? Si swala la kujisikia vibaya kwa nilichosema lakini jaribuni kuheshimu KISWAHILI lugha mama,kama maneno ya KISWAHILI hayafanani na ya kingereza "yaani unakosa KISWAHILI chake" ni afadhari kunyamaza
Mimi nimefurahi kapewa hiyo nafasi baada ya kuwa mstari wa mbele katika kuukosoa utawala wa Magufuli.
Nina shauku kubwa ya kuona atachokifanya sasa baada ya kuchonga sana [ingawa kusema ukweli sitarajii lolote lile lililo jipya au lililo tofauti].
Asijifanye mtaalam, awatumie wataalam. Wizara ya Kilimo ina changamoto na unaweza kutegwa na kuangukia pua.
Hawa ndo wasomi wetu wanasubiri useme ndo waanze kutoa critisims Bashe ametoa tafsiri yake ya food secutry yeye kakopi toka kwenye mia mbili naona hakuna jema utakalofanya mbele ya wasomi wetu ...Mkuu Paul Alex!...
Bandiko lako hili limenishawishi kuamini kuwa wewe una ufahamu mkubwa kwenye sekta ya kilimo ambayo kimsingi haiachani mbali sana na biashara pamoja na kwamba hakijawahi kufanya vizuri kiasi cha kuinufaisha nchi hii, achilia mbali wakulima wenyewe. Bashe ametoa mchango wake na kwa bahati nzuri yuko kwenye nafasi ya kutekeleza nadharia zote kwa vitendo mahali ambapo kuna uhitaji.....
Naamini kuwa palipo na Tafsiri na nadharia 200 ambazo wewe unazifahamu vizuri, yeye akitaja moja ni wajibu wako kama msomi umuongezee zile ambazo hakuzitaja ili aone umuhimu wa kuziweka maanani !!... Taifa hili linahitaji wasomi kama wewe watumie usomi wao kufanya mabadiliko yenye tija hasa kwenye kilimo ambacho ndio nguzo ya taifa hili....
kumbeza mtu kwenye hoja yake wakati wewe hoja yako hujaiwasilisha kwake rasmi ili ijadiliwe, inabaki kuwa hadithi tu zisizotusaidia kitaifa.
wataalamu wea wizara ya kilimo kz yao kubwa ni kutega mawaziri ili waangukie pua Okey furaha yao ni kuona wakulima wanabaki maskini miaka yoteBashe yuko vizuri sana na analeta mawazo mbadala ambayo ninyi wataalamu wa Kilimo hamnayo. Laiti mungekuwa na mawazo ya kimaendeleo basi sekta ya Kilimo Tanzania ingekuwa inachangia mpaka 75% ya pato la Taifa. Jiulizeni miaka yote mpo hapo wizarani mnafanya nini kama siyo kutoa ushauri wa kinadharia kwa wana siasa.
Huyu Bashe aliyekuja sasa ndiyo sahihi kabisa kuja kupindua meza za wakiritimba wa Wizara ya Kilimo. Uzoefu wake si wa kutilia mashaka.
Bashe yuko sahihi na ningemuomba aendelee kutoa mawazo yake hata kama kuna watu hawafurahishwi na uwepo wake kwenye nafasi hiyo. Bado naendelea kusubiri kuona mchango wa mawazo ya kujenga kutoka kwa mtoa mada ambaye bila shaka anajua zaidi ili tukichangia humu tupate namna bora ya kufanya maboresho kwenye sekta ya kilimo.Bashe yuko vizuri sana na analeta mawazo mbadala ambayo ninyi wataalamu wa Kilimo hamnayo. Laiti mungekuwa na mawazo ya kimaendeleo basi sekta ya Kilimo Tanzania ingekuwa inachangia mpaka 75% ya pato la Taifa. Jiulizeni miaka yote mpo hapo wizarani mnafanya nini kama siyo kutoa ushauri wa kinadharia kwa wana siasa.
Huyu Bashe aliyekuja sasa ndiyo sahihi kabisa kuja kupindua meza za wakiritimba wa Wizara ya Kilimo. Uzoefu wake si wa kutilia mashaka.
Hilo somo limemsaidia nini mkulima wa Tanzania hadi Leo Hii? Si mmemlundikia umaskini wa kutupwa kwa zaidi ya miaka 58 toka tupate Uhuru?Food security ni moja ya somo katika course ya development studies(DS) kwa waliofika vyuoni(vyuo vikuu), hivyo Bashe alipaswa kujua hili unless hakusoma hii somo chuoni au kasahau.
Nimemsikiliza Bashe ambaye ni Naibu Waziri wa Kilimo akielezea food security, well, amechemka sana!
Dhana ya food security haiko tu katika individual economic ability to purchase basic food stuffs kama alivyoielezea Bashe.
Food security imekuwa karibu na definitions 200 na zote zinabeba yafuatayo:
1. Physical, socia and economic ability to access and purchase basic food stuffs.
2. Availability of those basic food stuffs.
3. Ability to meet expanding food needs and offsetting fluctuations in production and prices.
Mpaka hapo nadhani atapata shule kidogo.
Pili, kumfananisha mkulima na mfanyabiashara ni kukosea sana. Kilimo ni sekta inayopewa ruzuku sana na serikali. Umewahi kusikia mfanyabiashara akipewa ruzuku?
Unadhani ni kwanini ruzuku nyingi kutoka serikalini zinaenda kwenye kilimo?
Bashe yuko very confident but his understanding of issues is erratic at best!
Nimemsikiliza Bashe ambaye ni Naibu Waziri wa Kilimo akielezea food security, well, amechemka sana!
Dhana ya food security haiko tu katika individual economic ability to purchase basic food stuffs kama alivyoielezea Bashe.
Food security imekuwa karibu na definitions 200 na zote zinabeba yafuatayo:
1. Physical, socia and economic ability to access and purchase basic food stuffs.
2. Availability of those basic food stuffs.
3. Ability to meet expanding food needs and offsetting fluctuations in production and prices.
Mpaka hapo nadhani atapata shule kidogo.
Pili, kumfananisha mkulima na mfanyabiashara ni kukosea sana. Kilimo ni sekta inayopewa ruzuku sana na serikali. Umewahi kusikia mfanyabiashara akipewa ruzuku?
Unadhani ni kwanini ruzuku nyingi kutoka serikalini zinaenda kwenye kilimo?
Bashe yuko very confident but his understanding of issues is erratic at best!
Nimemsikiliza Bashe ambaye ni Naibu Waziri wa Kilimo akielezea food security, well, amechemka sana!
Dhana ya food security haiko tu katika individual economic ability to purchase basic food stuffs kama alivyoielezea Bashe.
Food security imekuwa karibu na definitions 200 na zote zinabeba yafuatayo:
1. Physical, socia and economic ability to access and purchase basic food stuffs.
2. Availability of those basic food stuffs.
3. Ability to meet expanding food needs and offsetting fluctuations in production and prices.
Mpaka hapo nadhani atapata shule kidogo.
Pili, kumfananisha mkulima na mfanyabiashara ni kukosea sana. Kilimo ni sekta inayopewa ruzuku sana na serikali. Umewahi kusikia mfanyabiashara akipewa ruzuku?
Unadhani ni kwanini ruzuku nyingi kutoka serikalini zinaenda kwenye kilimo?
Bashe yuko very confident but his understanding of issues is erratic at best!
Mfanyabiashara hapangi Bei, Bali atanunua kwa Bei ile ambayo itampa faida akifikisha mzigo sokoni(hivyo huwa anaweza kukataa kununua kwa Bei ambayo itamkata/haimlipi). pia mkulima alikuwa anatakiwa awe anafuata same path asiuze mazao yake kwa Bei ambayo haito mlipa gharama na faida......Hivi wewe unazani ni ujuha kusaidia mkulima ila kumpa hizo unazozita basic needs ,kama elimu ambayo hata huyo unayetaka asaidiwe anapema pia ,unatakiwa kujua kuwa mkulima siyo kazi yake kuhakikisha mfanyabiashara anakula.ndio maana hata maduni huwa hatupagi kuwa bidhaa tununue kias Fulani ,kinachofanyika ,mfanyabiashara huangalia faida ya kazi yake then anapanga bei,
Mkulima angeulizwa hiv mahind yako ukiuza shilling ngapi unapata faida kulingana na gharama uliyotumia hapo ,ingekuwa sawa !
Bashe yuko vizuri sana na analeta mawazo mbadala ambayo ninyi wataalamu wa Kilimo hamnayo. Laiti mungekuwa na mawazo ya kimaendeleo basi sekta ya Kilimo Tanzania ingekuwa inachangia mpaka 75% ya pato la Taifa. Jiulizeni miaka yote mpo hapo wizarani mnafanya nini kama siyo kutoa ushauri wa kinadharia kwa wana siasa.
Huyu Bashe aliyekuja sasa ndiyo sahihi kabisa kuja kupindua meza za wakiritimba wa Wizara ya Kilimo. Uzoefu wake si wa kutilia mashaka.
Moja ya changomoto kubwa tunayoipata Kama taifa kwenye kilimo, nikuwa kwenye 78% ya watanzania ambayo wanajishughurisha na kilimo zaida ya 90% Ni wakulima wadogo(subsistence farmers) wanalima kwa ajili ya kujilisha na ziada kidogo ndo wauze.....Asante kwa huo mtazamo.
Food security si suala la kuhakikisha tu bei ya mazao inakuwa juu, ni suala pana likihusisha hata state security. Ikumbukwe machafuko na kuanguka kwa serikali nyingi ni sababu ya kupanda kwa bei za vyakula. Mfano wa karibuni ni kupanda kwa bei ya mkate Sudan, kilichoendelea serikali imepigwa chini.
Jambo la pili ambalo kuna wengi hawalijui including Bashe, siyo kweli kwamba bei juu ya mazao inamnufaisha mkulima. Mara nyingi siyo hivyo. Mfano mwaka juzi ambao baadhi ya wanasiasa wanatolea mfano akiwemo Zitto kwamba bei za mahindi zilikuwa juu na hivyo kumnufaisha mkulima, ukweli si hivyo unavyosemwa.
Pamoja na kwamba bei ya gunia ilifika hadi 130,000 na kuendelea bado wakulima wengi waliuza mahindi kwa chini ya 50,000/= Kwa hiyo bei ikiwa kubwa wanaofaidi ni wachuuzi na siyo wakulima.
Lingine ambalo ni muhimu sana kulijua, ni kwamba bei inapopanda sana mkulima huyu huyu mwenye kipato kidogo ndiye atakayehumia zaidi sababu anauza mazao yote kwa bei ya chini Mara avunapo na kisha kununua kwa bei kubwa sana baada ya muda mfupi tu. Kwa maana nyingine stability ya bei ya chakula bado inamsaidia sana mkulima ambaye Ana uhakika( japo inawezekana bila yeye kujua) wa kumudu kupata chakula kwa mwaka mzima kwa kipato kidogo alichonacho.
Ambao walikuwa karibu na wakulima walio wengi wanakiri kwamba kinachomsumbua na kugharimu pesa nyingi kwa mkulima ni chakula, japo yeye ndiye aliyevuna kwa wingi.
What a hell is this rubbish?This country is full of fools hivi mlisoma wapi nyie wasomi wa simbi za sua, tuliwanyima mahindi kenya two yrs umesikia kuna njaa kenya? Meli moja tu and they were ok,.... Food Security kwenu nyie ni vihenge sio?? Karne hii mtu unawaza mahindi?? Naah!
Mfugaji hapangiwi kutouza maziwa yake, au wanyama wake! Mfanyakazi hapangiwi matumizi ya mshahara wake?? Only baba yako mkulima asiyejua anachokifanya ndio amekuwa definition of food security.....mahindi yake ni nyara za serikali... That is some cheap politics.....! Shame on you wasomi wa kilimo nchi hii...