Eliphaz the Temanite
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 3,018
- 1,154
Nimemsikiliza Bashe- Naibu waziri kilimo akielezea food security, well, amechemka sana!
Dhana ya food security haiko tu katika individual economic ability to purchase basic food stuffs kama alivyoielezea Bashe.
Food security imekuwa karibu na definitions 200 na zote zinabeba yafuatayo;
1.Physical, socia and economic ability to access and purchase basic food stuffs.
2.Availability of those basic food stuffs.
3.Ability to meet expanding food needs and offsetting fluctuations in production and prices.
Mpaka hapo nadhani atapata shule kidogo.
Pili, kumfananisha mkulima na mfanyabiashara ni kukosea sana.
Kilimo ni sekta inayopewa ruzuku sana na serikali. Umewahi kusikia mfanyabiashara akipewa ruzuku?
Unadhani ni kwanini ruzuku nyingi kutoka serikalini zinaenda kwenye kilimo?
Bashe yuko very confident but his understanding of issues is erratic at best!
Nilitamaani nikujibu mimi ila JOHNKEKE hapo juu amekujibu!Nyie ndio mlitufikisha hapa na mawazo yenu duni... In fact Tzeba was the worst Minister of Agriculture ever! Food Security kwako wewe ni mahindi ghalani, pengine yasiyo na thamani hata kusolve mahitaji ya msingi ya mkulima kitu ambacho bashe anakipinga... Mahindi ni zao la chakula at the same time ni biashara kubwa.... Using cheap thinking una institute export ban at kwa kisingizio cha usalama wa chakula at the expense ya mkulima ambaye hukumsaidia chochote wakati analima ni ushamba wa karne
We have the potential ya kuwa top exporter katika ukanda huu tukiwa na majirani wenye deficit kila mwaka.. We should see tbat as the business opportunity.. All we think ni kuweka mahindi ghalani for what??
The only true definition ya Food Security ni pesa mfukoni sina shamba hata ekari moja kwenye fridge langu kuna kila kitu, farmers should be empowered the same... Mahindi wanayolima yawawezeshe kujenga na ku solve matatizo yao msingi...
NFRA should ensure tuna mahindi ya kutosha, wawe na capacity ya kununua stock ya kutosha kulisha nchi in times of shortage.. Lakini mkulima aachwe huru kuuuza kununua anavyotaka
Serikali inapaswa kuwa mstari wa mbele kuwatafutia masoko ya mahindi wakulima zipo nchi kama China wako tayari kununua mahindi na mkulima akauza kwa kg badala ya lumbesa.... Only serikali inapaswa kuanzisha mchakato... Mzee Sumri aliuza mabasi afanye kilimo cha mahindi alichokumbana nacho ni balaa la Tzeba 2 yrs export ban... Mwisho wa siku gunia lilifika elf 18...
Go Bashe............
Tanzania haina wasomi wazuri! Hivi bado wasomi wetu wanashindwa jua kuwa kilimo ni biashara? Eti mkulima alime mahindi halafu azuiwe kuuza nje? Kisa? Eti kuepusha njaa? What a no sense! Huwezi epusha njaa kwa kumgandamiza mkulima.Nyie ndio mlitufikisha hapa na mawazo yenu duni... In fact Tzeba was the worst Minister of Agriculture ever! Food Security kwako wewe ni mahindi ghalani, pengine yasiyo na thamani hata kusolve mahitaji ya msingi ya mkulima kitu ambacho bashe anakipinga... Mahindi ni zao la chakula at the same time ni biashara kubwa.... Using cheap thinking una institute export ban at kwa kisingizio cha usalama wa chakula at the expense ya mkulima ambaye hukumsaidia chochote wakati analima ni ushamba wa karne
We have the potential ya kuwa top exporter katika ukanda huu tukiwa na majirani wenye deficit kila mwaka.. We should see tbat as the business opportunity.. All we think ni kuweka mahindi ghalani for what??
The only true definition ya Food Security ni pesa mfukoni sina shamba hata ekari moja kwenye fridge langu kuna kila kitu, farmers should be empowered the same... Mahindi wanayolima yawawezeshe kujenga na ku solve matatizo yao msingi...
NFRA should ensure tuna mahindi ya kutosha, wawe na capacity ya kununua stock ya kutosha kulisha nchi in times of shortage.. Lakini mkulima aachwe huru kuuuza kununua anavyotaka
Serikali inapaswa kuwa mstari wa mbele kuwatafutia masoko ya mahindi wakulima zipo nchi kama China wako tayari kununua mahindi na mkulima akauza kwa kg badala ya lumbesa.... Only serikali inapaswa kuanzisha mchakato... Mzee Sumri aliuza mabasi afanye kilimo cha mahindi alichokumbana nacho ni balaa la Tzeba 2 yrs export ban... Mwisho wa siku gunia lilifika elf 18...
Go Bashe............
Kufuga kwenyewe pale Bagamoyo mapinga ameshindwa.Dogo ni overrated sana!
We will see!
New Habari ilimshinda!
Pia biashara anayojitapa nayo eti anaijua sana,naona hana kitu alishafanya cha maana humo,case in point New Habari!
Ndio.Njia pekee ya kumwokoa mkulima no kumtafutia solo LA uhakika na LA bei nzuri ya mazao.mambo mengine tote hufuata baadaeBashe yupo sahihi. mkulima anategemea kilimo chake kujenga, kusomesha , matibabu etc. Hivyo ana haki ya kupata faida kwenye kazi yake. Na tukitaka uwekezaji kwenye kilimo uongezeke na kilimo kiwe ajira lazima tukiendeshe kibiashara. kutakuwa na ongezeko na upungufu kwa muda lakini baadaye uzalishaji utakuwa sana. Katika mawaziri wote wa kilimo naona Bashe ndiye anataka kuleta mabadiliko ya kweli.
Dogo ni overrated sana!
We will see!
New Habari ilimshinda!
Pia biashara anayojitapa nayo eti anaijua sana,naona hana kitu alishafanya cha maana humo,case in point New Habari!
Maneno mazuri ni rahisi kusema lakini matendo yanahitaji ujasiri na busara,muda haudanganyi
Kufuga kwenyewe pale Bagamoyo mapinga ameshindwa.
Mfanya biashara pia hupeaa ruzuku mkuu. Rejea Precision Air na pia makampuni ya kununua Pamba enzi za awamu ya Nne.Nimemsikiliza Bashe ambaye ni Naibu Waziri wa Kilimo akielezea food security, well, amechemka sana!
Dhana ya food security haiko tu katika individual economic ability to purchase basic food stuffs kama alivyoielezea Bashe.
Food security imekuwa karibu na definitions 200 na zote zinabeba yafuatayo:
1. Physical, socia and economic ability to access and purchase basic food stuffs.
2. Availability of those basic food stuffs.
3. Ability to meet expanding food needs and offsetting fluctuations in production and prices.
Mpaka hapo nadhani atapata shule kidogo.
Pili, kumfananisha mkulima na mfanyabiashara ni kukosea sana. Kilimo ni sekta inayopewa ruzuku sana na serikali. Umewahi kusikia mfanyabiashara akipewa ruzuku?
Unadhani ni kwanini ruzuku nyingi kutoka serikalini zinaenda kwenye kilimo?
Bashe yuko very confident but his understanding of issues is erratic at best!
Nimemsikiliza Bashe ambaye ni Naibu Waziri wa Kilimo akielezea food security, well, amechemka sana!
Dhana ya food security haiko tu katika individual economic ability to purchase basic food stuffs kama alivyoielezea Bashe.
Food security imekuwa karibu na definitions 200 na zote zinabeba yafuatayo:
1. Physical, socia and economic ability to access and purchase basic food stuffs.
2. Availability of those basic food stuffs.
3. Ability to meet expanding food needs and offsetting fluctuations in production and prices.
Mpaka hapo nadhani atapata shule kidogo.
Pili, kumfananisha mkulima na mfanyabiashara ni kukosea sana. Kilimo ni sekta inayopewa ruzuku sana na serikali. Umewahi kusikia mfanyabiashara akipewa ruzuku?
Unadhani ni kwanini ruzuku nyingi kutoka serikalini zinaenda kwenye kilimo?
Bashe yuko very confident but his understanding of issues is erratic at best!
Yawezekana hayo ndo aliyopata kwenye Internet. He is not a scientist nor somehow of profession close to food or agriculture. That ministry is not a flip flop one would just put on and move forward.Nimemsikiliza Bashe ambaye ni Naibu Waziri wa Kilimo akielezea food security, well, amechemka sana!
Dhana ya food security haiko tu katika individual economic ability to purchase basic food stuffs kama alivyoielezea Bashe.
Food security imekuwa karibu na definitions 200 na zote zinabeba yafuatayo:
1. Physical, socia and economic ability to access and purchase basic food stuffs.
2. Availability of those basic food stuffs.
3. Ability to meet expanding food needs and offsetting fluctuations in production and prices.
Mpaka hapo nadhani atapata shule kidogo.
Pili, kumfananisha mkulima na mfanyabiashara ni kukosea sana. Kilimo ni sekta inayopewa ruzuku sana na serikali. Umewahi kusikia mfanyabiashara akipewa ruzuku?
Unadhani ni kwanini ruzuku nyingi kutoka serikalini zinaenda kwenye kilimo?
Bashe yuko very confident but his understanding of issues is erratic at best!
Yawezekana hayo ndo aliyopata kwenye Internet. He is not a scientist nor somehow of profession close to food or agriculture. That ministry is not a flip flop one would just put on and move forward.
Mwambieni ajipange. Jeuri ya kupewa dakika 10 za bunge na kuanza kuchangia bila criticism hana tena.Asipokomaza akili kabla ya uchaguzi atakuwa kama hao wenzake waliojidai kuwa ni best kumbe.....
Hawa ni wasomi wa JF kazi kukosoa wenzao mpaka walimu wao waliowafundisha. Wamefikia hata kukiponda chuo walichomipitia. Tatizo hapa mtoa uzi si kweli kama anamponda Badhe bali alipenda Bashe abaki Bungeni kuisakama serikali ili wapumye wao kwa ukwasi waliowekewa na Jiwe.Mkuu Paul Alex!...
Bandiko lako hili limenishawishi kuamini kuwa wewe una ufahamu mkubwa kwenye sekta ya kilimo ambayo kimsingi haiachani mbali sana na biashara pamoja na kwamba hakijawahi kufanya vizuri kiasi cha kulinufaisha nchi hii, achilia mbali wakulima wenyewe. Bashe ametoa mchango wake na kwa bahati nzuri yuko kwenye nafasi ya kutekeleza nadharia zote kwa vitendo mahali ambapo kuna uhitaji.....
Naamini kuwa palipo na Tafsiri na nadharia 200 ambazo wewe unazifahamu vizuri, yeye akitaja moja ni wajibu wako kama msomi umuongezee zile ambazo hakuzitaja ili aone umuhimu wa kuziweka maanani !!... Taifa hili linahitaji wasomi kama wewe watumie usomi wao kufanya mabadiliko yenye tija hasa kwenye kilimo ambacho ndio nguzo ya taifa hili....
kumbeza mtu kwenye hoja yake wakati wewe hoja yako hujaiwasilisha kwake rasmi ili ijadiliwe, inabaki kuwa hadithi tu zisizotusaidia kitaifa.
Unamuonea Bashe pekee yake aliyekua anakosoa na kushauri. Sasa hao wengine kazi ilikua kukosoa nabkutukana. Ngosha ulitaka awe anasema ndiyo mzee hata kama kuna walaki ati sababu yeye ni ccm? Halafu ninyi na Bashe yupi mkoseaji ninyi ambao mnamkosoa baada ya wiki mbili kuteuliwa na hamujaona hata matokeo ya kazi yake?Mimi nimefurahi kapewa hiyo nafasi baada ya kuwa mstari wa mbele katika kuukosoa utawala wa Magufuli.
Nina shauku kubwa ya kuona atachokifanya sasa baada ya kuchonga sana [ingawa kusema ukweli sitarajii lolote lile lililo jipya au lililo tofauti].
Hawa watu ni balaa. Leo kibajaji akianza kuikosoa serikali atasifiwa sana hapa na watapenda ahamie upinzaniKwa sasa hivi toka amekuwa naibu Waziri, kwenu ninyi kila kitu ataonekana kachemka tu.
Kabudi aliungwa mkono enzi za mchakato wa katiba mpya Leo ni adui namba moja.Hawa ni wasomi wa JF kazi kukosoa wenzao mpaka walimu wao waliowafundisha. Wamefikia hata kukiponda chuo walichomipitia. Tatizo hapa mtoa uzi si kweli kama anamponda Badhe bali alipenda Bashe abaki Bungeni kuisakama serikali ili wapumye wao kwa ukwasi waliowekewa na Jiwe.
Hapa JF wasomi wengi ni wsle uchwara wapo kama wapinzani wa Tanzania kazi kupinga mwaka mzima ikifika kuweka budget kivuli wanapeleka pumba.
Hii nchi wacha tusipate katiba mpya ili populist watuwrke sawa kwa katiba hii mpaka tunyooke ndipo tuipate mpya. Juzi Bashe alisifiwa hapa na hawahawa akiwa mmosoaji wa serikali leo wameanza kumkosoa.
Nape alipokua waziri walimtukana leo amekua kipenzi chao hawa ndiyo wasomi wa JF.
Wanataka kuona wakulima wakivaa nguo zenye viraka wakati na wao ni raia wa Tanzania.Unamuonea Bashe pekee yake aliyekua anakosoa na kushauri. Sasa hao wengine kazi ilikua kukosoa nabkutukana. Ngosha ulitaka awe anasema ndiyo mzee hata kama kuna walaki ati sababu yeye ni ccm? Halafu ninyi na Bashe yupi mkoseaji ninyi ambao mnamkosoa baada ya wiki mbili kuteuliwa na hamujaona hata matokeo ya kazi yake?
Wabongo mmeanza character assassination. Yule ni naibu waziri. Ni mtimizaji tu wa maagizo ya kisera.Maneno mazuri ni rahisi kusema lakini matendo yanahitaji ujasiri na busara,muda haudanganyi