Kwani nyie kijani imekuwaje mnaanza kushambuliana wenyewe,ilisemwa tukimalizwa sisi,matarudi kwenu wenyewe 🤔Acha porojo mbovu. Kama mnakusanya tani laki tano ya vyakula mbona mfumuko wa bei za vyakula upo juu?View attachment 2500551
Hujui lolote.Vyakula kupanda ni sababu ya ukame, sio Bashe
Mwaka 2017 kilo ya unga ilifika 2200, unga ukawa ghali kuliko mahindi
Mwaka huu kuanzia mwezi March mahindi na mchele mpya vinaingia sokoni na bei zitashuka
Hili halihitaji hata akili nyingi kujua, sema watu mnapenda siasa za hovyo tu
Kalime uuze Bei rahisiAcha porojo mbovu. Kama mnakusanya tani laki tano ya vyakula mbona mfumuko wa bei za vyakula upo juu?View attachment 2500551
Acha siasa uchwara hazita kusaidia kitu mvua zinanyesha ingia shambaniAcha porojo mbovu. Kama mnakusanya tani laki tano ya vyakula mbona mfumuko wa bei za vyakula upo juu?View attachment 2500551
Mtahangaika sana Rais alishaweka msimamo , Kilimo ni biashara kama zingine hayo mengine mnapoteza mda..Acha porojo mbovu. Kama mnakusanya tani laki tano ya vyakula mbona mfumuko wa bei za vyakula upo juu?View attachment 2500551
Ukame wakati hayo mahindi bei inapanda yakiwa yapo katika maghala ya serikaliVyakula kupanda ni sababu ya ukame, sio Bashe
Mwaka 2017 kilo ya unga ilifika 2200, unga ukawa ghali kuliko mahindi
Mwaka huu kuanzia mwezi March mahindi na mchele mpya vinaingia sokoni na bei zitashuka
Hili halihitaji hata akili nyingi kujua, sema watu mnapenda siasa za hovyo tu
Ndio na ndio sababu kilidumaa na hakuna serikali ilikipa kipaombele isipokuwa awamu ya 6..Kwani tangu enzi za Nyerere kilimo sio biashara?
TAcha porojo mbovu. Kama mnakusanya tani laki tano ya vyakula mbona mfumuko wa bei za vyakula upo juu?View attachment 2500551
Acha uzushi, scheme nyingi za Umwagiliaji zilijengwa wakati wa Mwalimu na Watanzania wengi walisomeshwa kwa pesa ya Kilimo na Wakulima waliuza mazao yao kupitia vyama vya ushirika.Ndio na ndio sababu kilidumaa na hakuna serikali ilikipa kipaombele isipokuwa awamu ya 6..
Hayo mengine ni porojo zenu zisizo na maana ,Jiwe ndio aliua Kila kitu..
Sasa kama sasa hivi mnakusanya tani laki tano bei ingeshuka. Mngeuza nje na ndani chakula kikawa kingiT
Ni uamuzi mzuri sana ambao umechelewa ila utaleta matunda miaka ijayo. Ni <15% ya ardhi yenye rutuba ndiyo inalimwa Tanzania. Watu wengi wamejikita kwenye uchuuzi na umachinga mitaani.
Maamuzi ya Bashe ni FURSA ambayo wenye AKILI tayari wanakimbilia vijijini kwenda kulima. Ila WAPUMBAVU watabakia JF kuandika threads za kutaka mipaka ifungwe ili wavivu waendelee kununua unga kwa Tsh 1,000.
Shikilia hapo hapo Bashe, wakulima waamue wenyewe wauze wapi na siyo kupangiwa na wavivu
Sijui una elimu au experience gani ya uchumiAcha porojo mbovu. Kama mnakusanya tani laki tano ya vyakula mbona mfumuko wa bei za vyakula upo juu?
====
Waziri wa kilimo Mhe.Hussein Bashe amesema uwezo wa kuhifadhi chakula umeongezeka kutoka tani laki 200,000 mpaka laki 500,000 hivyo wakati wa msimu wa kuvuna watanunua mahindi na mpunga kiasi cha kutosha ili kujiweka sawa kama kutatokea mazingira ya uhaba wa chakula.
"Mazao ya wakulima ni mali yao wanahaki ya kuyauza popote na sisi serikali hatutazuia mkulima kuuza mazao yake popote kwani kwa muda mrefu wamekuwa maskini kwa manufaa ya watu wengine"_ Waziri wa Kilimo Mhe Hussein Bashe
Serikali imesema haitaondoa mfumuko wa bei za mazao kwa kumtia umaskini mkulima bali itachukua hatua kuhakikisha kuwa mlaji naye analindwa.Pia imesema itahakikisha inaweka uwiano wa mazao ya chakula kwa kuingiza chakula sokoni kwani kama serikali huo ndio muelekeo watakaouchukua.
Free trade rules unazijua?Sasa kama sasa hivi mnakusanya tani laki tano bei ingeshuka. Mngeuza nje na ndani chakula kikawa kingi
Unga ghali kuliko mahibdi ??!!!!Vyakula kupanda ni sababu ya ukame, sio Bashe
Mwaka 2017 kilo ya unga ilifika 2200, unga ukawa ghali kuliko mahindi
Mwaka huu kuanzia mwezi March mahindi na mchele mpya vinaingia sokoni na bei zitashuka
Hili halihitaji hata akili nyingi kujua, sema watu mnapenda siasa za hovyo tu