Bashe: Si Lowassa pekee aliyeonewa CCM

Bashe
Yuko sahihi Wapo wengi Seif maalim, Seleli,Mwandosya,Kasaka, Na yule Katibu Mkuu wa aliyesema ccm imepoteza mwelekeo miaka ya 1990s
 
Bashe forever speaks the truth
 
Nani sasa aliyienguliwa kwa haki huko CCM? Maana walikatwa walikuwa wengi sana.
 
Bashe ni mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya New Habari ambayo ndio wamiliki wa gazeti la Mtanzania kampuni inayomilikiwa Rostam Azizi rafiki yake mkubwa Lowassa unganisha doti hapo...sina uhakika kama habari siku hizi zinapitia News room au zinatoka kwenye Simu na kuchapishwa....yapo mambo mengi ya kuandika huko Vijijini Wananchi wakaelimika.....
 
Nani sasa aliyienguliwa kwa haki huko CCM? Maana walikatwa walikuwa wengi sana.
ALIYEONEWA KULIKO WOTE NI JAJI LUBUVA JAJI MZIMA ANALAZIMISHWA KUIBA KURA SIJUI TUNGEMKAMATA ANGEJIFICHA CHINI YA DARAJA GANI LA HUYU MKANDARASI ALIYEMSAIDIA KUIBA KURA ZETU
 
Nani sasa aliyienguliwa kwa haki huko CCM? Maana walikatwa walikuwa wengi sana.
ALIYEONEWA KULIKO WOTE NI JAJI LUBUVA JAJI MZIMA ANALAZIMISHWA KUIBA KURA SIJUI TUNGEMKAMATA ANGEJIFICHA CHINI YA DARAJA GANI LA HUYU MKANDARASI ALIYEMSAIDIA KUIBA KURA ZETU
 
Huyu jamaa sometimes anaongeaga points, ila muda mwingine huwa anatapika pumba tu kama hili nalo pumba.
Yaani kati ya wagombea 40 wa urais Ccm ni huyo mzee tu hakutemdewa haki au anafikir kuwa kwa 7bu aliweza kumuongoza yeye na watanzania wote wanaweza kuongozwa na huyo babu.
 
Bashe anasema uonevu CCM hakuanza na Lowassa.
Lowassa ndiye ametaka kuionea CCM kwa kusema atakuwa rais "nje au ndani ya CCM"
 
Bashe ana tafsiri yake binafsi ya neno 'kuonewa' ni kwamba tu anatamani tujiunge naye kutafsiri kama anavyotafsiri yeye.
 
Bashe umekuwa shujaa na jasiri ,lakini pia umekuwa na mapenzi ya dhati na mzee Lowassa maana tangu kufukuzwa kwake na kuonewa huko hakuna mwanaCCM aliyesema hayo hadharani,sasa je umejipangaje kukabiliana na mfumo huo wa uonevu ukiwa bado umo ndani ya mfumo? Je,huoni kama unajitengenezea mazingira ya wanaCCM wenzio kukuchukia?
Nakuombea kwa Mungu akulinde na kukuongoza kwakuwa unadhihirisha kuwa una nia njema na thabiti kwa taifa letu kwa kuthiubutu kuusema ukweli unaoumiza kwa walengwa ,Mungu akujaalie pia fikra ,maono,busara na hekima katika maisha yako ya kisiasa na utimize majukumu yako kwa ufasaha.Nakunasihi sana jihadhari kwa kuwa rangi yako wanaweza wakasema wewe si Mtanzania wakati wowote na kama ulivyosema kuwa hawa jama ni wazee wa scandal.Kila la kheri Mh.Bashe jipange na uchunguzi wa Uhamiaji dhidi yako.
 
Team EL wasahau yaliyopita wagange yajayo.
It won't help them to keep crying!
 
Muache kulalamika huko UKAWA kwamba Bwana fulani alionewa!!
Hata wana chadema walionewa kwa kunyimwa demokrasia ya kugombea kuteuliwa na chama kupeperusha bendera ya chadema kwenye nafasi ya urais 2015
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…