Bashe: Nilishawahi kushukiwa kama mwewe na hayati Magufuli, Rais Samia ni photocopy ya Magufuli

Mwambieni huyo waziri mdogo kwamba Bei ya mbolea imepanda kutoka 50000 Hadi 100000.
Hayo ndio Mambo ya kushuhulikia sio kuuza sura clouds
 
Narudia tena tumuache marehemu apumzike kwa amani...

Bashe ni mwanasiasa malayamalaya,,,hana msimamo kabisa
 
Narudia tena tumuache marehemu apumzike kwa amani...

Bashe ni mwanasiasa malayamalaya,,,hana msimamo kabisa
Malaya ni hawa hapa
20211028_123608.jpg
 
Kazi aliyoifanya miaka mitano tu inatosha maana itadumu vizazi hadi vizazi. Nayo ni ya ukombozi wa kifkra kwa waliomwelewa na kuielewa falsafa ya Magufuli.
Nimepita mikoani huko , nikakutana na kijana wa kawaida tu kijiweni... Akasema ukombozi wa fikra aliyofanya mzee Magufuli ni urithi tosha kwake na umemfanya kujitambua ... Kwa kweli sikutarajia jibu kama hilo.. Kijana ameiva sana ...
 
Hiyo ni nzuri sana
 
TABIA ZA NDUGAI KULINGANA NA MAVAZI:

1. Akivaa Joho la Spika;

"...Huna cha kunifanya. Pambana na kitu kingine lakini sio Ndugai."

2. Akivaa Suti ya Koti na Tai:

"Mhe. Rais sisi Bunge tunakushukuru na kukupongeza kwa kutuletea pesa nyingi...Shilingi Trilioni 1.3 ni nyingi na yote inaenda kutuletea maendeleo."

3. Akivaa Shati la Kitenge;

"Hebu fikiria, juzi mama ameenda kukopa sh.1.3 Trilioni. Miaka 60 ya Uhuru tutembeze bakuli...ipo siku nchi hii itapigwa mnada."

4. Akivaa Suti ya "Kaunda:"

"Nimekosa mimi, nimekosa sana. Nimekosa mimi, Mungu anisamehe, Watanzania nisameheni."
 
Rule of thumb: huwezi kuwa bingwa kwa kuondoa/kumzuia mshindani wako kwenye mpamabano

Ndio maana tunaambiwa usimsifu mkimbiaji bila kumsifu mkimbizaji pia

Mathalani utakuwa Mjinga sana unapomsifu Magu bila kumsema Lisu

Halikadharika nitashangaa ukimsifu SSH bila kumpongeza ................... anaempelekesha!!!

................. huu ndio mtihani wetu kwa sasa
Anajua ukweli sema kwa vile ni msomali lazima asifie asije kamatwa na uhamiaji
 
Magufuli alikuwa na mazuri na mabaya yake kama tulivyo wengine wote, tusijidanganye, kuendelea kumsema vibaya hakutufanyi wengine tuwe watakatifu.

Lilikuwa jambazi la kukatwa mkono , aliwaibia watu akiba zao za benki na zile sehemu za kubadilisha pesa bila kusahau nyumba alizowavunjia watuy na ile michango ya waathirika kule Bukoba
 
Lilikuwa jambazi la kukatwa mkono , aliwaibia watu akiba zao za benki na zile sehemu za kubadilisha pesa bila kusahau nyumba alizowavunjia watuy na ile michango ya waathirika kule Bukoba
Tulia dawa ikuingie
 
hivi duniani tunahangakia matumbo tyu au kuna mengine?kabla hajapata ulaji alikuwa mkosoaji mzuri wa mwendazake ila baada ya kupewa unaibu waziri kageuka wakala wa kusifia hata pasipostahili sifa..

kama serikali yetu ingewekeza kwenye vipaji bila shaka kwenye unafki wangeweka kipaumbele
Mkuu ukiwa mezani na unakula huwa unaongea?
 
Back
Top Bottom