Bashe lipa wafanyakazi wako

Bashe lipa wafanyakazi wako

Habari Wana jukwaa,Takribani miezi miwili imepita toka kampuni ya new habari ltd ilipowaondoa wafanyakazi wake kwa kuwapunguza kazi (retrenchment). Wakaahidiwa kuwa pesa zao za mishahara ya nyuma na stahiki za kupunguzwa kazi watalipwa ndani ya siku kumi na tano kadri ya barua walizopewa.Sasa ni miezi miwili na hakuna taarifa yeyote toka kwa CEO wa kampuni ndugu Bashe.Tunalileta Hilo jukwaani ili tuwasaidie Hawa ndugu zetu wapate stahiki zao.maana maisha yao ni ya shida kwa wale tulionao mtaani.
Anahangaika na masuala ya Mh.Kinana na Mzee Makamba huku Wafanyakazi wake hawalipi Mishahara
 
Dogo mganga njaa tu. Halafu kigazeti chenyewe kinaandika majunguuuu
 
Mimi namwelewa Bashe kapigwa pini mpaka mkanda matundu yameisha kaamua kusalimu amri lakini anasahau aliyejinasibu kwa kufunga kwa mkono yuko nje ya uzio anachungulia mabaki
 
Back
Top Bottom