Bashe kuongea na vyombo vya Habari, ni kueleza ukweli na kukanusha upotoshaji unaoendelea

Kila kiumbe lazima kisome namba, kumbe na mapapa pia wameanza kuota namba za kichina?!tuumie wote tuuu,maisha yenyee hayasomeki
 
Hapo ni sarakasi zimeanza ama ndiyo "damage Control" inafanyika??
Another new episode
Ili uwe raia halali inabidi uwe na nidhamu ya woga au mdomo wenye glue?????? Inabidi uwe na pua kama kitumbua ndo uwe raia au inabidi uwe na rangi ya mpingo??? Tumechoka kusikia hii. Nchi hii siyo wa wabantu pekee kuna wengine tulikutwa humu kama wasonji, wabarbaig, wasandawi, wamasaai, wahima wa ngara na biharamulo, sasa tumeanza kuambiwa siyo raia wakati tumekuwa hapa zaidi ya miaka zaidi ya kalne 9 sasa nyinyi wakuja toka naigeria na senegal mmekuwa raia kuliko sisi? Soma history halafu rudi hapa.
 
Back
Top Bottom