Thubutu kusema chochote against ukutane na panga lilolomuua SimbaHapo ni sarakasi zimeanza ama ndiyo "damage Control" inafanyika??
Soon mtamwita kamanda bila magwanda, CHADUMA MnamatatizoBashe ndio mbunge pekee wa CCM aliye na ujasiri. Nafkiri ni kwa kuwa hana njaa sana
Hahahaah ana uraia wa nchi mbili.!Ivi huyo jamaa ni raia halali?
Kwani sisi ni migration??Ivi huyo jamaa ni raia halali?
Mbona wako wengi huko walioshiba tena sana, lakini wanayoyafanya ni pumba tupuBashe ndio mbunge pekee wa CCM aliye na ujasiri. Nafkiri ni kwa kuwa hana njaa sana
Kuwa mbunge makini sio lazima uwe CDMBashe CCM hakukufai,nenda kwa Makamanda CDM.
Kuwa mbunge makini sio lazima uwe CDM
Akienda kinyume na fikra sahihi za mwenyekiti, atahamishiwa nyumbani kwa Lema.Thubutu kusema chochote against ukutane na panga lilolomuua Simba
CHADEMA kuna wabunge gani makini zaidi ya Lisu, Upendo na Mwita Waitara?Bashe CCM hakukufai,nenda kwa Makamanda CDM.