Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,535
- 139,844
Akija huko si atakuwa mpinzani wa ule utaratibu wa Mwenyekiti kubadili katiba nje ya vikao?Kama mnavyofahamu Mh.Bashe anedhalilishwa sana jana mjini Dodoma katika vikao vya CCM akituhumiwa kupinga mabadiliko ya Katiba ya CCM. Mh.Bashe aliwekwa ndani kwa amri ya ngazi za juu. Habari zilizoenea zinasema kwamba kosa ilikuwa kupinga mabadiliko ya katiba ya CCM. Hakuna taarifa tofauti zilizotolewa
Mh.Bashe amedhalilishwa kwa kutumia hali yake kikatiba na kidemokrasia lakini ajabu ameonekana sio mwenzao. Ni wengi wanaopinga mabadiliko haya isipokuwa uchumia tumbo na kuwekewa vikwazo ndio kinachowafunga midomo
Kwa tunaojua misimamo ya Bashe hili sio jambo la ajabu. Bashe ana akili za ki Chadema Chadema hivyo anatakiwa kwenda kwenye kundi la ndege anaofanana nao
Bashe amekuwa hivyo ndani na nje ya bunge. Bashe ametishiwa kufukuzwa kwa kosa la kusimamia demokrasia na Chadema ni chama cha Kidemokesia-Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Kwa niaba ya makamanda ninasema Bashe CCM sio mahali pako,usisubiri uvuliwe uanachama,jiuzuru na ujiunge na makamanda wenzao wa Chama cha Demokrasia.Muulize Mh.Esta Bulaya utamu wa Chadema
Kama mnavyofahamu Mh.Bashe anedhalilishwa sana jana mjini Dodoma katika vikao vya CCM akituhumiwa kupinga mabadiliko ya Katiba ya CCM. Mh.Bashe aliwekwa ndani kwa amri ya ngazi za juu. Habari zilizoenea zinasema kwamba kosa ilikuwa kupinga mabadiliko ya katiba ya CCM. Hakuna taarifa tofauti zilizotolewa
Mh.Bashe amedhalilishwa kwa kutumia hali yake kikatiba na kidemokrasia lakini ajabu ameonekana sio mwenzao. Ni wengi wanaopinga mabadiliko haya isipokuwa uchumia tumbo na kuwekewa vikwazo ndio kinachowafunga midomo
Kwa tunaojua misimamo ya Bashe hili sio jambo la ajabu. Bashe ana akili za ki Chadema Chadema hivyo anatakiwa kwenda kwenye kundi la ndege anaofanana nao
Bashe amekuwa hivyo ndani na nje ya bunge. Bashe ametishiwa kufukuzwa kwa kosa la kusimamia demokrasia na Chadema ni chama cha Kidemokesia-Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Kwa niaba ya makamanda ninasema Bashe CCM sio mahali pako,usisubiri uvuliwe uanachama,jiuzuru na ujiunge na makamanda wenzao wa Chama cha Demokrasia.Muulize Mh.Esta Bulaya utamu wa Chadema
Mjinga mwenyewekwa hiyo chadema atasema ndioooo kwa mbowe??
acha ujinga
Muda Wa kupokea takamwili umefikaKama mnavyofahamu Mh.Bashe anedhalilishwa sana jana mjini Dodoma katika vikao vya CCM akituhumiwa kupinga mabadiliko ya Katiba ya CCM. Mh.Bashe aliwekwa ndani kwa amri ya ngazi za juu. Habari zilizoenea zinasema kwamba kosa ilikuwa kupinga mabadiliko ya katiba ya CCM. Hakuna taarifa tofauti zilizotolewa
Mh.Bashe amedhalilishwa kwa kutumia hali yake kikatiba na kidemokrasia lakini ajabu ameonekana sio mwenzao. Ni wengi wanaopinga mabadiliko haya isipokuwa uchumia tumbo na kuwekewa vikwazo ndio kinachowafunga midomo
Kwa tunaojua misimamo ya Bashe hili sio jambo la ajabu. Bashe ana akili za ki Chadema Chadema hivyo anatakiwa kwenda kwenye kundi la ndege anaofanana nao
Bashe amekuwa hivyo ndani na nje ya bunge. Bashe ametishiwa kufukuzwa kwa kosa la kusimamia demokrasia na Chadema ni chama cha Kidemokesia-Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Kwa niaba ya makamanda ninasema Bashe CCM sio mahali pako,usisubiri uvuliwe uanachama,jiuzuru na ujiunge na makamanda wenzao wa Chama cha Demokrasia.Muulize Mh.Esta Bulaya utamu wa Chadema
Aende akagombee kwenye majimbo inapokubalika chademaOf course, Bashe ha-fit kabisa CCM sema nadhani hana imani na wana-Nzega manake Tabora kwa ujumla wake wamekunywa maji ya bendera ya CCM!!!
Hata CUF ya Lipumba enzi hizo ipo CUF kweli kweli; Tabora hawakuinga mkono hadi hivi majuzi possibly kutokana na nguvu ya UKAWA!!!
Chief Saidi Abdallah Fundikira pamoja na kuwa Chifu wao; lakini wana Tabora hawakutaka kabisa kumuunga mkono na UMD yake hadi mzee wa watu akaamua kurudi CCM alipojiona ndo basi tena!!!
In short, Kanda ya Kati ni wamebugia vya kutosha maji ya bendera ya kijani....
Nadhani hicho kinachomvunja nguvu Bashe... maji ya bendera yaliyonywewa na kuogwa na wana-Tabora!! Lakini nadhani anasahau tu kwamba anaweza kushindwa kuibadili Tabora mzima kama ilivyokuwa kwa Lissu kwa Singida mzima lakini anaweza kuibadili angalau Nzega kama alivyofanikiwa Lissu Singida Magharibi!!!
Huyo msomali akienda tu kujiunga na chama cha wahalifu, tutajua na yeye ni muhalifu sugu.Of course, Bashe ha-fit kabisa CCM sema nadhani hana imani na wana-Nzega manake Tabora kwa ujumla wake wamekunywa maji ya bendera ya CCM!!!
Hata CUF ya Lipumba enzi hizo ipo CUF kweli kweli; Tabora hawakuinga mkono hadi hivi majuzi possibly kutokana na nguvu ya UKAWA!!!
Chief Saidi Abdallah Fundikira pamoja na kuwa Chifu wao; lakini wana Tabora hawakutaka kabisa kumuunga mkono na UMD yake hadi mzee wa watu akaamua kurudi CCM alipojiona ndo basi tena!!!
In short, Kanda ya Kati ni wamebugia vya kutosha maji ya bendera ya kijani....
Nadhani hicho kinachomvunja nguvu Bashe... maji ya bendera yaliyonywewa na kuogwa na wana-Tabora!! Lakini nadhani anasahau tu kwamba anaweza kushindwa kuibadili Tabora mzima kama ilivyokuwa kwa Lissu kwa Singida mzima lakini anaweza kuibadili angalau Nzega kama alivyofanikiwa Lissu Singida Magharibi!!!
Mwisho atadhalikishwa na kuitwa masalia,msaliti kama ZitoAkija huko si atakuwa mpinzani wa ule utaratibu wa Mwenyekiti kubadili katiba nje ya vikao?
We jamaa kiazi sana, hivi si bora hao ccm wanakaa vikao na kubadili katiba kama halmashauri, yenye watu toka Tz nzima.Mjinga mwenyewe
Hujui kitu wewe,kaulizie kama hujasoma kokote,jambo hilo lilijadiliwa vikaoni na likakubalika na likakubalika pia mpaka UKAWA yote,na kwa taarifa yako wala sio Mbowe aliyeleta hiyo ajenda,tuulize tunaoingia vikaoni,We jamaa kiazi sana, hivi si bora hao ccm wanakaa vikao na kubadili katiba kama halmashauri, yenye watu toka Tz nzima.
Niambie yule jamaa wa machame alikubaliana na nani kubadili "utaratibu" na kumpa EL bendera ya CDM.
Nadhani akili za kichadema chadema Bashe hatakubaliana nazo, ndio maana hata Zitto alishindwa akili za kichadema chadema...[emoji12]
Eti akili za kichadema, mlimshindwa Zitto mtamuweza Bashe.. Changamoto anazotoa Bashe CCM, ingekua Chadema, angenuniwa na watu wote wa Chadema..Kwa tunaojua misimamo ya Bashe hili sio jambo la ajabu. Bashe ana akili za ki Chadema Chadema hivyo anatakiwa kwenda kwenye kundi la ndege anaofanana nao
lowasa kugombea ilipita kwa ridhaa ya UKAWA nzima from lipumba to makaidi na hata slaa alihusika ssa ni nani huyo aliebadili gia angani wakati ilikuwa makubaliano ya pamoja?? kosa likwapi??We jamaa kiazi sana, hivi si bora hao ccm wanakaa vikao na kubadili katiba kama halmashauri, yenye watu toka Tz nzima.