Fedha za ndani alipe watumishi kwanzaHuu ni mchango wa Bashe mbunge wa nzega.
Hataki serikali itumie fedha za makusanyo kufanyia miradi na mfano alioutoa ni ujenzi wa Reli ya Kati ambayo imekuwa ni kiunganishi kikubwa kati ya mikoa ya mashariki na magharibi .
Badala yake anataka serikali itumie PPP.
Kwani we unatakaje....Ulitakaje?
Huyo Alshababi anakaribia kuwa kumbikumbi.Huu ni mchango wa Bashe mbunge wa nzega.
Hataki serikali itumie fedha za makusanyo kufanyia miradi na mfano alioutoa ni ujenzi wa Reli ya Kati ambayo imekuwa ni kiunganishi kikubwa kati ya mikoa ya mashariki na magharibi .
Badala yake anataka serikali itumie PPP.
yuko sahihi...Huu ni mchango wa Bashe mbunge wa nzega.
Hataki serikali itumie fedha za makusanyo kufanyia miradi na mfano alioutoa ni ujenzi wa Reli ya Kati ambayo imekuwa ni kiunganishi kikubwa kati ya mikoa ya mashariki na magharibi .
Badala yake anataka serikali itumie PPP.
Hivi wewe ndg yangu utakuwa lini, kwani kuchangia hapa ni lazima, kama huna wazo la maana kwa nini usikae kimya kwanza nina wasiwasi na uraifa wako. Watanzania tukiwa na mawazo mgando ya aina yako hatuwezi kufika pipote.Tumenunua zile takataka za kupaa angani na tumeona ilivyotugharimu mpaka sasa.
Kwa sasa bei ya vyakula ipo juu, naona ni vyema hizo pesa ziwekezwe kwa wakulima ili kupunguza ukali wa maisha.
Wamekusanya bilion9 ndani ya miezi6 unaona takatakaTumenunua zile takataka za kupaa angani na tumeona ilivyotugharimu mpaka sasa.
Kwa sasa bei ya vyakula ipo juu, naona ni vyema hizo pesa ziwekezwe kwa wakulima ili kupunguza ukali wa maisha.
Wakati mwngine huwa najiuliza hivi wewe ni mtu mzima au mtoto, je una afya njema au una upungufu wa akiri ufanyike utaratibu wa kukuwahisha milembe.Hospital hazipo nasikia zote zimehamishiwa kwenye first aid kit ya bombadier.
zipoSijui ni nani alisema ila nauliza, kwenu kuna dawa kwenye hospitali???
nasikia jamaa ana mkwanja balaa, eti ndiye aliyepewa tenda ya kuingiza vipuri, na mitambo mikubwa kwa ajili ya migodi karibu yote nchini. Sina hakika kama taarifa hizo ni za kweli!Labda alitaka serikali ikope kwa Rostam.
Umechangia hoja na wewe.. DaaahBashe ni wakupuuziwa tu. Ataturudisha nyuma.
Unajidhalilisha, tofauti ya wewe na Bashe ni moja tu... Bashe ana akili na Uchungu kwa WaTzToka lini Msomali akawa na uchungu na Tanzania?
Labda umechangia wewe peke ako. Mkuu.Umechangia hoja na wewe.. Daaah
Mumegubdua lini kuwa msomali wakati mumempa ubunge,na wengine nyadhifa kubwa zaidi.Toka lini Msomali akawa na uchungu na Tanzania?