Hivi Mbumbumbu ni nani kati ya
Lukosi na
adolay ambaye anamjua Hussein Bashe na Mohamedi Bashe?
Ni kwa mwenye akili za KICHAA ndiye anayejiunga CHADEMA leo
ni KIPOFU ndio anaiona inanyemelea Madaraka
2020 na hasa kwa Jimbo la Nzega
Kwa Ikulu ni bado sana, malizeni matatizo ya ndani na mkishindwa muulizeni Mrema alivyokoswa koswa kumalizwa na kina Marando kule Tanga, km sio kuvuliwa kibaraghashee na kufichwa chini ya meza, aliyekuwa na kibandiko alirushwa ghorofani na MUNGU mkubwa yupo hai lakini kiuno. ....
Bado safisheni MASHUSHU na wenye tamaa ya MADARAKA km Biashara kwao