"Based on true story" movies

😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kuna muvi zinajua kukamata hisia za watu aisee, angalia muvi inaitwa Traffic Light ni indian movie. India watu wanamaisha magumu sana.
mkuu hii movie ya traffic light mbona nimeisaka sana sijaipata... jina ndio ilo kweli
 
Beats of no nation. Hii ni ya afrika ya mangaribi huko nahisi nigeria. Jinsi dogo mmoja anavyojiunga na makundi ya kihalifu baada ya kushuhudia familia yake ikiuwawa
 
Wadau,

True story movies zinakuwa nzuri na zenye mafundisho ya maisha tunayoishi kila siku,
Weka list yako ya movie yoyote unaijua ambayo ni tukio la kweli lililotekea past au ni story ya mtu ya ukweli kabisa.

List yangu fupi kuna;
1. Beautiful mind
2. Persuit of happiness
3. Titanic
4. Shawnshak redemption na Pablo Escobar naona nae wamtolea series zake kabisa!

Wadau ebu endeleeni na hii list ya hizi movies za ukweli ukweli.
hii namba nne naikubali mno!!jamaa anatoroka jela..kwa muda mreefu..anatoa udongo kidogo kidogo
 
Back
Top Bottom