Je, sababu zilizotumika kuzifungia nyimbo kama Kibamia na Nyegezi hazipaswi kuwa hizo hizo kukifungia kipindi cha Bao la asubuhi cha Bongo Fm(TBC Fm ya zamani).
Mkuu kuna kipindi cha michezo Bongo Fm kinaanza saa 1-3 asubuhi kinaitwa Bao la asubuhi. Kwangu mimi naona hili jina lina ukakasi kama yalivokuwa Kibamia na NYEGEzi
Nyegezi sio tusi japo kuna kikundi cha watu walitaka kuleta maana yao. Hili ni jina la kata,mtaa na stand maarufu Mwanza. Kuna nyegezi stand na nyegezi kona na watu wameshazoea na kuliona jina la kawaida tu
Mkuu kuna kipindi cha michezo Bongo Fm kinaanza saa 1-3 asubuhi kinaitwa Bao la asubuhi. Kwangu mimi naona hili jina lina ukakasi kama yalivokuwa Kibamia na NYEGEzi