Je BASATA wataichukulia hatua TBC?

Nyamesocho

JF-Expert Member
May 5, 2023
476
1,244
Taifa lipo kwenye maombolezo lakini TV ya Taifa TBC2 inapiga miziki ya bongo fleva na miziki mingine isiyoendana na maombolezo ambapo mtu asiye na taarifa na msiba akifungulia tbc2 atafikiri hiyo nchi haipo kwenye maombolezo

Juzi BASATA walitangaza kuwa kipindi hiki cha maombolezo vyombo vya habari Tv na redio wazingatie nyimbo za maombolezo lakini TBC2 tena TV ya Taifa hamna kitu

Je BASATA watawachukulia hatua TBC ?
 
Mzee Mwinyi aiishi simple life na anazikwa ki-simple tu. Safi sana 👏

Waislamu kwa ujumla huwa wananikosha sana kwenye ishu za misiba na ndoa. Hakuna mbwembwe na mambo yasiyo ya lazima.

Tuliokuwepo tuliona Mzee Mwinyi alipoachiwa nchi ikiwa hoi bin taaban kiuchumi ujamaa uchwara wa Nyerere umepamba moto watu tunapanga mistari hata kununua Colgate na sukari.

Rest easy Mr. President. Ulifanya kiasi ulichoweza!
 
Taifa lipo kwenye maombolezo lakini TV ya Taifa TBC2 inapiga miziki ya bongo fleva na miziki mingine isiyoendana na maombolezo ambapo mtu asiye na taarifa na msiba akifungulia tbc2 atafikiri hiyo nchi haipo kwenye maombolezo

Juzi BASATA walitangaza kuwa kipindi hiki cha maombolezo vyombo vya habari Tv na redio wazingatie nyimbo za maombolezo lakini TBC2 tena TV ya Taifa hamna kitu

Je BASATA watawachukulia hatua TBC ?
Ufalme haujipingi wenyewe
 
Back
Top Bottom