BASATA na adhabu ya Shilole

BASATA na adhabu ya Shilole

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
40,949
Reaction score
74,431
Baraza la sanaa la Taifa (BASATA) ambalo lipo kisheria, majuzi lilimhukumu msanii Shilole asijihusishe na masuala ya sanaa kwa mwaka mmoja kutokana na kukiuka taratibu zilizowekwa na kuvunja maadili. Hivi tunapozungumza msanii huyo yuko kwenye adhabu hiyo.

Lakini jambo la ajabu ni kuwa CCM pamoja na kufahamu adhabu hiyo wao wameidharau na kumchukua Shilole ili aambatane na mgombea wao wa Urais na kupanda majukwaani kushiriki shughuli za muziki kinyume na adhabu yake. Jee hiyo sio dharau kwa mamlaka iliyotoa adhabu?

BASATA nao kama jambo hilo lingefanywa na wengine wangekaa kimya kama walivyo sasa?

Nadhani sasa wasanii na watu wengine waelewe kuwa adhabu zinazotolewa na mabaraza haya ni za magazetini tuu hivyo hakuna haja ya kuziheshimu wao waendelee na mambo yao tuu.


ImageUploadedByJamiiForums1441087678.672125.jpg
Hiyo ni Songea kwenye Mkutano. Pia Njombe alikuwa jukwaani..
 
CCM watwambie imekuaje huyu shishi baby maarufu kwajina au shilole alifungiwa na basata mwaka mzima (miezi 12 ) na wao wamemuita akatumbuize pale sasa maana yake nini ubabe au vipi?? au kwamb amri za basata hazipandi juu ya chama cha mapinduz?? Wangekuwa UKAWA ndo wamemuita aimbe daah ungesikia majungu yake
 
mkuu amri za BASATA mwisho wake ni kwenye magazeti, jangwan kila mtu ni shangwe za shishi beb, hahah Chama dola hicho mkuu hahah
 
ccm watwambie imekuaje huyu shishi baby maarufu kwajina au shilole alifungiwa na basata mwaka mzima (miezi 12 ) na wao wamemuita akatumbuize pale sasa maana yake nini ubabe au vipi?? au kwamb amri za basata hazipandi juu ya chama cha mapinduz?? wangekuwa ukawa ndo wamemuita aimbe daah ungesikia majungu yake

Pic sasa
 
Watu wameinunua hii inch mimi Niko tayari kuishi Rwanda kuliko kuona kila jambo ni unyonyaji Watanzania bwana shida
 
Nenda hata leo ukadeki vyoo vya stand ya rwanda zuzu wewe
 
mkuu amri za BASATA mwisho wake ni kwenye magazeti, jangwan kila mtu ni shangwe za shishi beb, hahah Chama dola hicho mkuu hahah

Kwa maccm watashangiria jambo hilo kama mazuzu tu
 
CCM watwambie imekuaje huyu shishi baby maarufu kwajina au shilole alifungiwa na basata mwaka mzima (miezi 12 ) na wao wamemuita akatumbuize pale sasa maana yake nini ubabe au vipi?? au kwamb amri za basata hazipandi juu ya chama cha mapinduz?? Wangekuwa UKAWA ndo wamemuita aimbe daah ungesikia majungu yake

Ukawa mna akili ndogo
Kwahio ccm ndo wako responsible na masuala ya wasanii
Are they BASATA?


bora hata tungewauliza nyinyi Ukawa maana mgombea wenu ndo mkuu wa wasanii tz
 
Unashangaa CCM kutokutii sheria? Achana na Shishi baby yapo mengine 1. Marufuku ya maandamano 2. Abiria kubebwa katika malori 3. Kuzidisha muda wa Kampeni 4. Lugha ya matusi katika Kampeni....Hayo yote ni katika uzinduzi tu huku maelfu wakishuhudia uwanjani na LIVE kupitia TV na Redio. ..Je huko mikoani hali itakuwaje?
 
Hiki ndio chama tawala bwana wewe hutaki wamualike na wakati hata hiyo BASATA iko chini ya CCM?

attachment.php
 

Attachments

  • Shilole.jpg
    Shilole.jpg
    37.5 KB · Views: 586
Mbona UKAWA wanatembea na fisadi, mteja namba moja wa mahamaka maalum ya mjizi na mafisadi ya Magufuli?
 
Back
Top Bottom