BASATA mmeshindwa kazi, mjitathimini

SN.BARRY

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2012
Posts
4,047
Reaction score
8,989
"Ana dela jipya chupi ya zamani"... nyimbo kama hii ya Miss Buza inafundisha nini jamii na nyie mmeruhusu ipigwe?

Badilisheni jina kutoka BASATA muitwe BANGOTA
 
Sio kila nyimbo lazima iwe na lengo la kufundisha.

Kuna mda watu wanahitaji kuburudika na sio kufundishwa,

nyimbo Kama hizo Ni kwa ajili burudani

Hamna tusi pale, labda ulitengeneze mwenyewe.
 
Sio kila nyimbo lazima iwe na lengo la kufundisha.

Kuna mda watu wanahitaji kuburudika na sio kufundishwa,

nyimbo Kama hizo Ni kwa ajili burudani

Hamna tusi pale, labda ulitengeneze mwenyewe.
Eti eeh! Sawa Great Thinker
 
za kingereza unasikiliza ukitafsiri kwa kiswahili unaweza kasirika na matusi yaliyopo
Ni shida tupu mkuu. Nashukuru kama na wewe umegundua hayo matusi.
 
Hongereni BASATA kusikia hiki kilio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…