Tanzania Nchi Yetu Sote
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 529
- 905
Mkuu yani hili haliitaji hata kupindisha, CV ya Mwakyembe inajulikana wala sio ya kuitafuta hata kwa darubini.Umeshajiuliza BASATA wataandikaje barua ya kuuruhusu tena wimbo wa Ney. Maana wameshasema hauna maadili sasa sijui maadili yanapatikana wapi na anayeyapima ni nani? Wakati BASATA wanasema hauna maadili, Wizara na Rais wanasema wimbo uko vizuri sana.
Umeshajiuliza nani aliyewatuma Polisi akamkamate Ney? Nani aliyewatuma Basata waufungie wimbo? Je taasisi hizi zinafuata sheria kweli? Au Je Kauli ya wizara kuuruhusu wimbo nayo imezingatia sheria? Kwasababu chombo mlichokipa dhamana ya kusimamia sanaa kimesema wimbo hauna maadili, Wizara mnasema hapana, hapa kuna mmoja lazima awe Ameingizwa chaka na mwenzake!!
Kuitumia akili yako ni muhimu sana ktk uchambuzi wa mambo kadhaa ndani ya taifa letu.
Acha Movie Iendelee, naona Kama asemavyo Ney, Viongozi nao wanashindana Kukiki.
*NGUMU KUMEZA*
Hapo middle kisheti Bashite Kaka... Halafu this time hakuongea na Mshua kabla..Umeshajiuliza BASATA wataandikaje barua ya kuuruhusu tena wimbo wa Ney. Maana wameshasema hauna maadili sasa sijui maadili yanapatikana wapi na anayeyapima ni nani? Wakati BASATA wanasema hauna maadili, Wizara na Rais wanasema wimbo uko vizuri sana.
Umeshajiuliza nani aliyewatuma Polisi akamkamate Ney? Nani aliyewatuma Basata waufungie wimbo? Je taasisi hizi zinafuata sheria kweli? Au Je Kauli ya wizara kuuruhusu wimbo nayo imezingatia sheria? Kwasababu chombo mlichokipa dhamana ya kusimamia sanaa kimesema wimbo hauna maadili, Wizara mnasema hapana, hapa kuna mmoja lazima awe Ameingizwa chaka na mwenzake!!
Kuitumia akili yako ni muhimu sana ktk uchambuzi wa mambo kadhaa ndani ya taifa letu.
Acha Movie Iendelee, naona Kama asemavyo Ney, Viongozi nao wanashindana Kukiki.
*NGUMU KUMEZA*
Hapana mkuu si unavyofikiri bali mamlaka kuu wizara na basata walikuwa katika maafikiano ,kilichoendelea ndicho kikaifanya serikali ijitoe fasta.Hao Basata walitaka Kiki kwa mkuu
unawaza mbaliHapana mkuu si unavyofikiri bali mamlaka kuu wizara na basata walikuwa katika maafikiano ,kilichoendelea ndicho kikaifanya serikali ijitoe fasta.
Fikiri ule mzozo ungetinga mahakamani halafu wakili kibatala angetaka serikali iwalete au kuwathibitishwa waliotukanwa au mtego mkuu wangetaka kuhoji kama kweli Rais anamjua Bashite unadhani wa kolomije angesalimika?
Upuuzi tu sirikali moja kauli tofauti.pumbavu kabisaUmeshajiuliza BASATA wataandikaje barua ya kuuruhusu tena wimbo wa Ney. Maana wameshasema hauna maadili sasa sijui maadili yanapatikana wapi na anayeyapima ni nani? Wakati BASATA wanasema hauna maadili, Wizara na Rais wanasema wimbo uko vizuri sana.