ni management and control cost haziepukiki ukiweka kampuni moja incase wakihongwa waka corrupt system nchi ina fail South Africa wana mifumo naneNchi masikini hii tuwalipaje 30 b kufanya cyber security tu.
Na mbona bado tunaibiwa kama kweli wanalinda?
Bora kuwalipa mgambo wa jiji walinde kwa mshahara wa laki 2 kwa mweizi kuliko kuibiwa mara mbili?
Kama tumewasikiliza nyie toka uhuru hadi leo mnatudanganya tu kila uchaguzi sound, wacha tumsikilize na habilJamaa ni MUONGO KUPITILIZA.
Hata mtu aliyefanya kazi ya Junior Systems Admin anajua jamaa anaongea upuuzi. Hana access wala control ya mfumo wowote.
Ila kwa sababu watu hawajasoma wanaamini chochote bila kuelewa.
Eti nilimpigia simu Chair wa DP World 😂😂
Eti nimeandika barua meli za mizigo na ndege zisije nchini, na watu wanaitikia 😂😂
Hivi si mnafahamu hizo kampuni zote zina World class risk departments?
Ndege bado zinaenda Venezuela ambapo mmarekani kasanction karibu kila kitu na yupo standby kuvamia nchi itakuwa Tanzania?
Akili za kuambiwa ……..
Kwahiyo kuomba kuona hizo barua alizosema ametuma ni upuuzi si ndio?Amfuate kwenye live, anatusumbua hapa ili tumdiss au kumpuuza habil, hatumpuuzi
Wajinga hao bora kulipa masai walinde bot.ni management and control cost haziepukiki ukiweka kampuni moja incase wakihongwa waka corrupt system nchi ina fail South Africa wana mifumo nane
Me navyomuelewa, kama ni genuine ni kwamba ana watu ndani ya system wenye access....hiyo tumehack ni lugha tuJamaa ni MUONGO KUPITILIZA.
Hata mtu aliyefanya kazi ya Junior Systems Admin anajua jamaa anaongea upuuzi. Hana access wala control ya mfumo wowote.
Toa Mange hapo.katapeli kengine kama MANGE TU HUYOO
ahaaa ahaaaaa ahaaa mifumo inalindwa na rungu sio? google google clouds ina walinzi kampuni ngapi na ili makampuni makubwa yakubali kuweka data zao kwao ni bilions of dolar , ndo dunia inapoelekea haikwepeki tena sisi nadhani tupo nyuma sana ilitakiwa na website zote za serikali ziwe securedWajinga hao bora kulipa masai walinde bot.
Camera moja kua nayo wewe ingine mpa habil mpige picha za kutoshaRudia kuandika ulichoandika.. nakala mbili mbili mpe moja Gerson Msigwa na nyingine mpe Dr. Mwigulu Nchemba usiache kufanya hivyo
Kachukue posho ila desa bovu uliloleta tumelikataa kwa wivu mkubwaKwahiyo kuomba kuona hizo barua alizosema ametuma ni upuuzi si ndio?
Bro hakikisha D9 unakaa front sawa?
Mwambie Gerson Msigwa na George SimbachaweneCamera moja kua nayo wewe ingine mpa habil mpige picha za kutosha
Teeth wapo ahead!!!...taarifa...
Website za serikali gani?ahaaa ahaaaaa ahaaa mifumo inalindwa na rungu sio? google google clouds ina walinzi kampuni ngapi na ili makampuni makubwa yakubali kuweka data zao kwao ni bilions of dolar , ndo dunia inapoelekea haikwepeki tena sisi nadhani tupo nyuma sana ilitakiwa na website zote za serikali ziwe secured