Barua za Ajira Portal

aah vipi kuhusu leseni mkuu isiporenew inakua kesi kwli???
 
Kuweka hy cv sio kosa mpaka ikufanye usiwe selected, ila ni vizuri ukaandaa cv tofaut na hiyo na hii ndo ushauri wangu kuliko kutumia hy ya kwenye system
 
[emoji23][emoji23] Daaah nmecheka sana,
Kuna mtu hajui kitu flani lkn swali analouliza inaonyesha huyu ana uelewa kichwani.

Halafu kuna mwingine anauliza swali, hilo swali linamuonyesha huyu mtu hana akili timamu.
Mimi kuna uzi nilikwambia unajikuta mjuaji na una ego sana ukaishia kunitukana ogopa sana mtu baki akwambie haya

Sasa mfano hapo ulishindwa vipi kumjibu vizuri tu ngonjera zote za nini?

Be humble there is always a bigger fish than you
 
Oya wadau, halafu hizi barua tunazo upload ajira portal ni lazima tuzitype au tunaweza kuandika hata kwa mkono tu ?
 
Wakuu msaada wenu..
Naupload picha, na verification documents naambiwa already exist na ndio vitu nilivyobakiza..pliz kama kuna yoyote anayeweza kunisaidia tafadhali maana nimegomea kwenye 95%
 
Kwanza hizi barua ni kwa lugha gani tunaandika mbona matangaxo yako kwa kiswahili
 
Oya wadau, halafu hizi barua tunazo upload ajira portal ni lazima tuzitype au tunaweza kuandika hata kwa mkono tu ?
Nakushauri fanya typing ila kwenye sign weka kwa mkono. Kama utafanya typing kwenye simu bc kuna app inaitwa docu-sign unaweza kuitumia kuweka sign, pia nashauri uweke ile sign ya kuchanganya-changanya
Kwanza hizi barua ni kwa lugha gani tunaandika mbona matangaxo yako kwa kiswahili
Angalia hy post ya kazi ipo kwa lugha gan, kama ni Kiswahili bc barua andika kwa kiswahili, kama ni English bc barua andika kwa English.
Mimi kuna uzi nilikwambia unajikuta mjuaji na una ego sana ukaishia kunitukana ogopa sana mtu baki akwambie haya

Sasa mfano hapo ulishindwa vipi kumjibu vizuri tu ngonjera zote za nini?

Be humble there is always a bigger fish than you
Nilikutukana.? Kukuambia ukweli ndio kukutukana.? Em copy & paste Hiyo comment yangu Nione hilo tusi. Kuna mambo ww kama kijana/mtu mzima ni lazima uyajue hata kwa kutumia akili za watoto sio kila kitu ufundishwe, mbona mapenzi mnajua bila kufundishwa.
 
Nakushauri fanya typing ila kwenye sign weka kwa mkono. Kama utafanya typing kwenye simu bc kuna app inaitwa docu-sign unaweza kuitumia kuweka sign, pia nashauri uweke ile sign ya kuchanganya-changanya
Thanks bro👍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…