jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,401
- 4,965
Nchi za wenzetu tukio kama kudhalilishwa kwa binti yetu India lingesababisha maandamano makubwa ya wanaharakati wa mambo ya wanawake kwenda ubalozi wa india. Hapa Tanzania naona wanawake mmechukulia poa tu.
Hivi makundi yote haya ya kutetea wanawake ikiwamo... Tamwa na NGOs lukuki za wanawake,.. kina Bisimba, kina Gyumi, kina maria sarungi, hata kina Joyce kiria ndio mmekubali yaishe tu? Hakuna maandamano wala tamko lolote kwenda ubalozi wa India? Kama nyie hamsemi watasema kina nani?