barua ya wazi kwa wanajangwani

barua ya wazi kwa wanajangwani

jorojo

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
1,642
Reaction score
12
jaman wanajangwani mwezi wa nane ndo huu sasa kama kunamtu anayefahamu kuhusu uwanja wetu wa kisasa ulipo fikia atuelezee jaman nawasilisha kwenu wana jf
 
kwani uliambiwa mwez wa nane utakuwa tayar umekamilika na kuanza kutumika?
 
barua iko wapi sasa..!!???wkati mwingine tuache upuuzi basi
 
jaman wanajangwani mwezi wa nane ndo huu sasa kama kunamtu anayefahamu kuhusu uwanja wetu wa kisasa ulipo fikia atuelezee jaman nawasilisha kwenu wana jf

hii ndo barua gani sasa?ya kirafiki,kiofisi au mwaliko?mbona hata sanduku la posta silioni?
Ficha upumbavu wako usifiche busara zako!
Kama cha kupost huna piga kimya tutajua kama upo
 
Back
Top Bottom