Barua Ya Wazi Kwa Mheshimiwa Jaji Mkuu

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,202
218
BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA JAJI MKUU KUHUSU MAHAKAMA MWANZO TEMEKE

Mheshimiwa

Napenda kuleta kwako malalamiko yangu kuhusu mahakama ya mwanzo Temeke hapa Dares salaam.mahakama hii kwenye masuala ya mirathi ya wanyonge wanatumia dhuluma kuwanyima haki wenye haki yao na kutoa haki kwa watu wasiositahilia haki.

Mimi. watoto wa dada yangu wameachiwa nyumba na bibi yao mzaa baba iliyopo Tandika marehemu ameacha wosia wa mahakama kabla ya kufariki kwake kuwa wajukuu wangu warithi hii nyumba kwani hii nyumba ilijengwa na babu yao mzaa baba kwa kusudio niishii na watoto wake wawili.mmoja marehemu kwa hiyo watoto wa marehemu warithi upande wa baba yao.
Baba ya kufariki huyu bibi.baba yao mmoja alienda mahakamani kufungua mirathi bila ya kikao cha wana ndugu na kufungua mirathi.tuliitwa mahakama na kuamrishwa na hakimu mama muta tukae pale kwenye mti kumchague msimamizi wa mirathi.tulifanya kama tulivyolazimishwa na hakimu muta.tukitegemea tutatendewa haki kwani baada ya msimamizi wa mirathi kuchaguliwa.ilibidi shauri litangazwe gazeti siku 90 tokea siku ile ya tarehe 26/3/2007.kwani hii mirathi ni mwaka 1003/2006 na kikao tumekaa 26/3/2008.kisheria hasingeendelea na ile faili ya kufoji.yeye aliendelea baada ya kumsikiliza msimamizi wa mirathi isiyotimia ambaye ka mali nyingine za marehemu hakuziweka zaidi ya nyumba.hakimu halitoa uamuzi kuwa msimamizi wa mirathi pia ni mrithi.na tukate rufaa mahakama ya wilaya.baada ya siku 30. tulipeleka barua kwa mfawidhi tarehe 29/3/2007. cha ajabu barua ilifichwa kwa mpiga mashine jina lake Rehema. MPAKA MUDA UKAMALIZIKA WA RUFAA.TULIENDA MPAKA KWA MFAWIDHI WILAYA NA TUKAPEWA NAKALA YA HUKUMU ISIYOSOMEKA.WAMEKULA.SASA NITAPATA WAPI HAKI YA WAJOMBA ZANGU MIMI NA HIVI SASA WATOTO WAMETOLEWA KWENYE URITHI NA HUYU MSIMAMIZI.NAOMBA UTUSAIDIE HILI SUALA KUSUDI WATOTO WA DADA YANGU WAPATE HAKI YAO.KWANI KUNA MASHAMBA YA BIBI YAO HAYAPO KWENYE MIRATHI TUNAOMBA UFUTE HII MIRATHI TUANZE TENA UPYA NA MSIMAMIZI MWINGINE.
 
Back
Top Bottom