Nimependa sehemu moja tu mahususi hawa jamaa yaani Makonda na mwenzie six wamepata vyeo kwa kuwatukana watu au kudhalilisha watu🙁😀😀!!!they disqualified ila kwakujua matusi na ufitini wamepata vyeo na ukiangalia idadi kubwa ya mtaji wa ccm ni vijana wanamna hii,wabovu kitaaluma,wabovu kiutendaji,niwezi namba moja,wafitini na wachawi ..hata ile kauli ya mzee Mkapa kwenye kigoda cha mwalimu, kuwa vijana wasasa hawajui kujenga hoja ni watu wa kulalamika dhahiri alikuwa anazungumzia vijana wachama chake,alafu JF ndio wengi ukileta hoja ya kupinga chama chao wao ni matusi tu na kutafuta sympathy