sijakata tamaa ila tulimpata kiongozi kama Papa France I nadhani hata dodoma tuta hamia ila jamani pamoja na mjukumu mazito yanayo fanywa na CDM kwa kuikumbusha serikali kwa maneno nadhani sasa kuna haja ya kufanya kwa matendo kwa mfano tikianza na kufuatilia mambo yoye ambayo hayajachukuliwa hatua na serilali ina faa sasa tuyafuatolie na tijue hatima yake nita elrza machache kama vile suala la madawati kwenye mashule,pili watu wanaojenga hoteli bila kuzingatia sheria za ardhi mfano malaika hoteli mwanza mie nasikia tu muwekezaji kakouka sheri lakini mpaka dakika hii hakuna hatua yeyote.sasa Tanzania mpaka lini tuishia kutoa maagizo tu?