Barua ya wazi kwa Bw. James Mbatia

Shigongo huyu huyu ninayemjua ama mwingine? huyu msanii wa udaku ndio leo ana uchungu na NCCR?! au anataka watoto wa kitanzania waendelee kuwa wajinga ili soko la majarida yake fake ya udaku liendelee kuwepo?! basi amekosea kwani Tanzania inazaliwa upya coming general election 2015, soko katafute kwingine

huo sasa ni wivu; kuna uhusiano gani wa magazeti yake na hicho alichokiandika; kama ukawa mnadhani mabadiliko ni kunyima watu haki ya kujiingizia kipato kwa shughuli halali kabisa sahauni.
 
Shigongo huyu mkurugenzi wa Dar LIVE ya Rizmoko wa TD (tezi tume) ha ha ha ha! umetumwa wewe! We acha kumwandikia barua mpeni bilion 50 anaachana na ukawa fasta.
 
Ukawa kindakindaki ni CHADEMA na CUF. sasa ukitaka kuiuwa mmalize Mbowe na Maalimu Seif! Msifikri kijingajinga nyie jamaa wa lumumba, wakati mmewachomoa prof na Dk lakini bado mnaona UKAWA going stronger and stronger.
 
ccm watahakikisha wanaisambaratisha UKAWA kwa gharama zozote. Wamemmaliza LIpumba sasa zamu ya Mbatia, na hasa alivyowapiga bakola alivyofafanua SERA YA UKAWA ambayo CCM wanasema haitekelezeki, sera ya ELIMU BURE MPAKA CHUO KIKUU
 
Inashangaza sana. Hawahawa siku zote wamekuwa wakusema bila kuungana upunzani hauwezi kuchukua nchi. Sasa wameungana mnaanza kuja rena na single mpya eti NCCR umemezwa. Sasa sijui wanataka nini! Na anayeandika haya ni kada wa ccm! Kwa hiyo nccr ni muhimu kuliko muungano wao?
 
harakati za kuuvunja UKAWA, ili ccm iweze kupumua inatakiwa UKAWA wasambaratike vinginevyo ccm inaelekea ICU
 
Na Bado Huu Ni Mwanzo Tu, Mtaandika Burua Nyingi Sana Mwaka Huu Hapa Hutujapita Kwenye Mikoa Mikubwa Mbeya, Mwanza, Arusha, Na Bira Shaka Hiyo Ndio Mikoa Ya Madiriko, Makaidi Vipi Sioa Rafikiako?
 
unapoteza muda wewe kibalaka Wa ccm,kifupi umetumwa na hutaweza kuwabadili watanzania,sasa kama ni barua ya mbatia kwanini uilete jamiiforum,fara nini.
 
Back
Top Bottom