Barua ya wazi kwa Bw. James Mbatia

Barua ya wazi kwa Bw. James Mbatia

jet limesha changanya linakaribia anga za ikulu lowasssaaa jumbo jet hatuwezi sikia tena sauti za wafa maji:flypig:
 
Mr Mbatia ukweli ndio huo, jitafakari na ukubali umekosea sana hata kama ni tamaa ya feza jitafakari na ujisahihishe bado mapema.
Mlitaka vyama vya upinzani visishirikiane?hao wanaosemwa wamebanwa jee wameomba ubunge au udiwani wakazuiliwa?jee wame kisaidia nini nccr kukua ktk maeneo yao.Erick Shigongo ni kada wa ccm mfanyakaxi wa Riz1 kule dar live hatitegemei afurahie ukawa hata siku moja.Mh.Mbatia songa mbele achana na wapiga majungu
 
Kati ya watu wasiojitambua ni pamoja na Huyu jamaa wa magazeti ya UDAKU.Huyu jamaa huwa anajifanya anajua saana lkn for sure ni kwamba he know nothing at all.Yeye mwenyewe maisha yake anayaendesha Kwa kutegemea ndagu za BARIADI Kwa kuua ndugu zake.AMWOMBE Saana shetani wake ili isije ikatokea akaharibu ndagu yake na utajiri wake ukafa kifo cha mende CHALIIIIIIIII.
Ndagu... Uwiiiiii. Hebu fafanua kidogo mkuu. Alishafanya Ndagu gani kali mpaka akatajirika huyu jamaa?
 
"Wao wanahubiri migawanyiko (dini, ukanda, ukabila) sisi tunahubiri umoja" - James Mbatia.
Na sio umoja wa midomoni bali kwa kuangalia maslahi mapana ya nchi you just forgo chama chako kwa maslahi mapana ya taifa. Ni wazi Shigongo umoja huu umemuuma mpaka anatamani wagawanyike tena. Kuna haja gani ya kuwa na vyama mia huku ccm ikiendelea kubakia madarakani!?
Wanaosema mabadiliko na kuyaelewa ni kwamba yana sura nyingi sana ikiwa ni pamoja na kupoteza original identity. Chukulia mfano mbegu inavyokuja kutoa mche ili kutoa matunda mengine zaidi, inaoza na kupasuka kwa 'maumivu' kwanza then kitu kizuri kinaota.
Shigongo ungana na redio ya watu muendelee kubrain wash wachache waliobakia huko!
 
Chadema ndio iliyotoa mgombea wa Rais, sasa kwenye bango ukiweka vyama kibao lengo ni kuwachanganya wapigakura?
 
shigongo

achana nalo
washaLIFISADI Kwenye Acc yange;

Uwezi shindana na nguvu ya Mungu ; Slaa ana maono na mungu anakusudi lake ; Toka kapuliza dawa ya mende yameaanza kutoka na weak weapon .
Kumtumia Roze Kamili; Mambo ya ustawi wa Jamii anayaleta kwenye press

Sikiliza mambo ya maana hapa
 
Bila sahaka Shigongo endapo kama ni yeye kweli aliyeandika haya maneno niliyosoma hapa, basi huenda ana matatizo kiasi ya akili ya kufikiri.

Ni vigumu kutuamisha kuwa kwa kujiunga na UKAWA NCCR ndio mwisho wake,

Ni vigumu kutuamisha kuwa lengo kubwa la Mbatia kuiunga na UKAWA ni kupata madaraka (Ikizingatiwa kuwa Mbatia alikuwa mbunge na ana uwezo wa kugombea VUNJO na kushinda ubunge.

NI vugumu kutuamisha kuwa katika mabango ya mgombea wa CHADEMA (Haji Dunu na Lowasa) kuwena nembo ya NCCR, CUF au NLD; na ikiwa Tume ya uchagyuzi inawatambua hawa kama wagombea wa CDM na siyo UKAWA.



Ndugu yangu na mtani wangu Shigongo, Watanzania tupo makini sana na huyo Mbatia unayemuandikia hii barua pia naye yupo makini. UKAWA ipo makini sana katika kufanya maamuzi na hawakurupuki. Wanasoma alama za nyakati.


Hivyo kwa barua hii mimi bbinafsi kwa upeo wangu bado naomba jitahidi kutafuta namna nyingine ya kuuvunja UKAWA kwa kigezo cha kuweka kutoelewana ndani yetu.

WATANZANIA WA LEO WANATAKA MABADILIKO, WAMECHOSHWA NA SIASA ZA MAJUKWAANI. TUNAHITAJI VITENDO NA SIYO KUTUONYESHA KATIKATI YA BAHARI NA KUTUAMBIA "PALE KUNA ASALI MKINICHAGUA NITAENDA KUWALETEA"

Sisi tunafikiria tulikupa nafasi kwa miaka 50, umetufanyia nini???



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Hakuna ubaya wa kuwa na vyama vichache badala ya utitiri
 
Daa ndugu yangu chigongo nilikuwa nakuheshimu sana ,mnapo ungana ni lazima kunavitu ukubali kuvitoa sadaka. Mbatia ana mnadi mgombea wachadema kwakuwa ndiye aliyebeba jukumu la ukawa kwa hiyo ulitaka mbatia au wanaCUF wawe wana nadi wagombea wepi wa uraisi,chigongo nakujua ww ni kada wa kile chama choo kama padre alivyokiita uwashauri wenzako wa chama ambacho padre amekiita choo waache kukodisha vijana na kuleta fujo miitaani badala ya kutoa huo ushauri wako wa kipuuzi kwa mbatia.



ASANTE SANA KAKA KWA KUTUHABARISHA!!! KUMBE NCCR kama CHADEMA ni MALI ya FAMILIA Duuu kimeo....MTU na dada yake... KAMA ILIVYO UKAWA WATU NA BINAMU ZAO...... ASANTE SANA KAKA KWA TAARIFA NA TUTAISAMBAZA KAMA MOTO WA PETROLI....
 
If you want to win dare. Alisema Cainage mwana philosophy. Woga huua au hupumbaza.
Brovo Mbatia umechanganya brilliance na cleverness una competence ya hali ya juu.
Kati ya viwili Ukawa mtapata vyote au kimojawapo. Mna upper hand kuupata urais na pia mna upper hand kupata wabunge wengi. Moja kati ya viwili au viwili vyote kwenu mutakuwa mumefanikiwa sana. Itokee mukose vyote hiyo ni ajali kama ajali nyingine na hapo ndipo philosophy ya Cainage inakuja.
Kwa vyote au kimojawapo mtaweza kusukuma Katiba ya Wananchi mbele.
Katika katiba ya wananchi hata mkiua vtama vyote na ukawa kikawa chama cha vyama vyote kuna ubaya gani.
Kazana Kamanda Mbatia.
 
Mtoa mada anahamasisha utengano,ninaomba tumpuuze,UKAWA tusonge mbele kuing'oa ccm madarakani 25 october 2015.
 
Na huyu anataka aitwe mwandishi mahiri wa kuaminika!!!
 
Anadai ameokoka ila ana wanawake kibao nje..tuanzie hapo kwanza yeye shigon msafi?

Katika maisha yako jitahidi sana kujihepusha na kujadiri maisha binafsi ya watu ..ni mtizamo tu.
 
Daa ndugu yangu chigongo nilikuwa nakuheshimu sana ,mnapo ungana ni lazima kunavitu ukubali kuvitoa sadaka. Mbatia ana mnadi mgombea wachadema kwakuwa ndiye aliyebeba jukumu la ukawa kwa hiyo ulitaka mbatia au wanaCUF wawe wana nadi wagombea wepi wa uraisi,chigongo nakujua ww ni kada wa kile chama choo kama padre alivyokiita uwashauri wenzako wa chama ambacho padre amekiita choo waache kukodisha vijana na kuleta fujo miitaani badala ya kutoa huo ushauri wako wa kipuuzi kwa mbatia.
Mbatia James wako wangapi humu jukwaani?
 
ASANTE SANA KAKA KWA KUTUHABARISHA!!! KUMBE NCCR kama CHADEMA ni MALI ya FAMILIA Duuu kimeo....MTU na dada yake... KAMA ILIVYO UKAWA WATU NA BINAMU ZAO...... ASANTE SANA KAKA KWA TAARIFA NA TUTAISAMBAZA KAMA MOTO WA PETROLI....
Achakujitoa ufahamu issue ya familia hapo inakujaje?
 
CCM siku zote na wakoloni wote wamefanikiwa kutawala muda mrefu kwa kutumia style hii ya devide and rule. Kama sio chama ni dini, kama sio dini ukanda, kama sio ukanda hofu nk. Sasa na wewe shigongo unatuletea story zile zile. Hivi kwanini ccm mnatuona sisi ni mambwiga sana!? No maana mnatuita wapumbavu na malofa!
 
Narrow mindedness and utter selfishness think globally but act locally, kwa upofu huo huo utatwambia tuikatae East
African fédération na SADCC! wacha mawazo ya ujima, usimfundishe James woga weye!

My Take :
Naona kama kuna ukweli hivi
 
Back
Top Bottom