Barua ya Mpenzi wangu 1990s

Barua ya Mpenzi wangu 1990s

Hahaahaha siku hizi bila kununua smart phone hulambi mzigo

Ndio shida ya sasa. Na ukitaka upige mzigo mtaa mzima siku hizi, fanya lobbing tafuta watu kama wawili waanze kukutangaza mtaani kuwa nawe upo kwenye mgawo wa Escrow. Watapanga foleni wote ila wakijajagundua kumbe sio kweli magunia ya matusi ni stahili yako!
 
Bado iliyoandikwa na red pen, lol
Msalmie rav wako!!
 
hahaaahaa ikishaandikwa kwa red pen ujue kibuti hicho

Inaandikwa na red pen then kopa linachorwa linatiwa mkuki afu unadondosha damu..... hahahahaaaa niliwah kuandikiwa barua ya hivi, saiv yule kaka ni traffic!!
 
Basi basi ishia hapo hapo Mama hahahahaa kama vile nakuona unavyomuona kipindi hicho Loh, ujana raha aiseee
 
Hahahahahaha lol!!!! Yangu sijamuona muhusika mpaka karatasi niliyoandikia imechakaa, inabidi nikae chini niandike nyingine na kuitia nakshi za maua mazuri yapendeza lol!!!! umenikumbusha mrembo mmoja shule ya msingi. Huyu alikuwa mrembo kweli na alikuwa mbele yangu darasa moja na sehemu zetu za kufanya usafi wa shule kila siku asubuhi kabla ya kuingia darasani zilikuwa karibu karibu. Siku moja akaniambia usifagie mie nitakuwa nakufagilia kila siku. Nikamwambia ahsante na pia kumtaarifu kwamba sitakuwa naenda tena maeneo yale maana najua yeye atanifagilia mie nitaenda kucheza. Akaniambia hapana hata kama nakufagilia eneo lako uwe unakuja kila asubuhi, mie sitafagia mpaka nikuone kwamba umekuja shule lol!!!! Mengine kapuni 🙂🙂

hahahahahaaa darasa la saba hio mwanangu, acha kabisa. tulikua tunaita LY hata sikua nafahamu maana yake, huku nimevaa soksi ndefu na raba zinaitwa DH, saa hizi nimezeeka kabisa, Mkuu BAK ya kwako iko wapi?
 
hahahaaahahaaa aione Chocs peke yake
Hahahahahaha lol!!!! Yangu sijamuona muhusika mpaka karatasi niliyoandikia imechakaa, inabidi nikae chini niandike nyingine na kuitia nakshi za maua mazuri yapendeza lol!!!! umenikumbusha mrembo mmoja shule ya msingi. Huyu alikuwa mrembo kweli na alikuwa mbele yangu darasa moja na sehemu zetu za kufanya usafi wa shule kila siku asubuhi kabla ya kuingia darasani zilikuwa karibu karibu. Siku moja akaniambia usifagie mie nitakuwa nakufagilia kila siku. Nikamwambia ahsante na pia kumtaarifu kwamba sitakuwa naenda tena maeneo yale maana najua yeye atanifagilia mie nitaenda kucheza. Akaniambia hapana hata kama nakufagilia eneo lako uwe unakuja kila asubuhi, mie sitafagia mpaka nikuone kwamba umekuja shule lol!!!! Mengine kapuni 🙂🙂
 
Last edited by a moderator:
hahahaha!!! godilavu uko juu hata Escrow haoni ndani! umenikumbusha mbali sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom