Barua ya kukataa kazi

Barua ya kukataa kazi

God knows

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
276
Reaction score
173
Nimeamua kufukua makaburi.

Ilikuwa mwaka 2013. Niliajiriwa kwenye kampuni X kama IT Technician. Walinitaka nifanye probation kwa muda wa mwezi mmoja ndipo wanipe mkataba na waniconfirm kazini.

Nilifanya kazi ule mwezi wa probation ukapita. Hawakusema chochote so my assumption ni kwamba nilipita ile probation yao. Baada ya mwezi wa kwanza kupita, nikaanza kufuatilia mkataba wa kazi. HR akawa anizungusha kila siku kwamba mara sijui nauandaa, mara sijui mkurugenzi hajasaini, n.k. Nikawa mvumilivu.

Mshahara ulitakiwa kutoka tarehe 24 September, wakanipa mkataba tarehe 19 September huku wakiniambia saini mkataba ili tuweze kuendelea kuprocess mishahara ya wafanyakazi wote. As if mimi ndio kikwazo.

Kilichonifanya nikatae ile kazi ni kufuatia kushushwa mshahara kwenye mkataba tofuati na ule tuliokubaliana wakati wa interview. Na walishaniwekea mtego kwa sababu wanajua hela zinatoka, so ningeshawishika tu kusaini ule mkataba. Nikaamua kuandika barua hii ya kukataa kazi.

Capture.PNG

Niliondoka siku hiyo hiyo ya tarehe 20 September, saa 6 mchana. Hata huo mshahara wao nilikuwa siutaki tena.

Kuna watu wana courage ya kufanya hivi leo?

It was only possible during those years when men were men. Nawasilisha.
 
MKUU NI KAMPUNI GANI HIYO?NAITAKA KAZI HIYO KWA MSHAHARA HUO HUO ULOKATAA WEWE.
 
Mwaka 2002 Kilombero Sugar (Ilovo) walinipa offer baada ya usaili ulofanyika mara 2, Dsm na kiwandani kule kidatu. Walinipa mkataba lakini malipo yake sikukubaliana nayo kulingana na mazingira ya kazi na masharti ya mkataba. Nilijaribu kushawishi waongeze kidogo lakini wakasema haiwezekani. Basi nikakataa hiyo “offer” .Haikuwa rahisi sababu sikuwa na kazi yoyote bado na hata nauli ya kwenda usaili (Dar - Kidatu) nilikuwa nimeomba kwa mtu.
*So, I guess, men were men those days*

Nikipoaga kiwandani niliwaambia wasiniite tena bila kufika pale ambapo niliomba wafike (bado ulikuwa mshahara mdogo pamoja na hiyo nyongeza niliyoomba). Hata hivyo baada ya wiki hivi waliniita kiwandani nikajua wameamua kupanda dau. Kufika habari ikawa ileile, nikapelekwa kwa mzungu mwingine akaniambia “you have to take our offer as it is, or leave it”. Nikapata mshangao kwamba sasa waliniitia nini wakati hawajabadili chochote. Nikakataa tena wakanirudishia nauli yangu nikaondoka.

Nikaja kupata kazi zingine ambazo zilikuwa bora zaidi.

Msingi wangu ilikuwa kuamini Mungu atanipa kazi bora zaidi, maana hiyo niliyokataa nili-bargain kiungwana sana lakini bado wakakataa nikajua nikilazimisha sitaifanya kwa furaha kwa hiyo utendaji utakuwa chini, nami nitaonekana sikufaa hata kupewa hiyo kazi.

“Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, wala usizitegemee akili zako mwenyewe, katika njia zako zote umkiri yeye, naye atayanyoosha mapito yako”.

Asanteni..
 
View attachment 614400

Niliondoka siku hiyo hiyo ya tarehe 20 September, saa 6 mchana. Hata huo mshahara wao nilikuwa siutaki tena.

Kuna watu wana courage ya kufanya hivi leo?

It was only possible during those years when men were men. Nawasilisha.
Me nakuelewa sana. Nakuelewa bcoz ninazo barua tatu za mtindo huo, it takes courage and a daring person, even if it means to start under the ground.
Cheers
 
Mwaka 2002 Kilombero Sugar (Ilovo) walinipa offer baada ya usaili ulofanyika mara 2, Dsm na kiwandani kule kidatu. Walinipa mkataba lakini malipo yake sikukubaliana nayo kulingana na mazingira ya kazi na masharti ya mkataba. Nilijaribu kushawishi waongeze kidogo lakini wakasema haiwezekani. Basi nikakataa hiyo “offer” .Haikuwa rahisi sababu sikuwa na kazi yoyote bado na hata nauli ya kwenda usaili (Dar - Kidatu) nilikuwa nimeomba kwa mtu.
*So, I guess, men were men those days*

Nikipoaga kiwandani niliwaambia wasiniite tena bila kufika pale ambapo niliomba wafike (bado ulikuwa mshahara mdogo pamoja na hiyo nyongeza niliyoomba). Hata hivyo baada ya wiki hivi waliniita kiwandani nikajua wameamua kupanda dau. Kufika habari ikawa ileile, nikapelekwa kwa mzungu mwingine akaniambia “you have to take our offer as it is, or leave it”. Nikapata mshangao kwamba sasa waliniitia nini wakati hawajabadili chochote. Nikakataa tena wakanirudishia nauli yangu nikaondoka.

Nikaja kupata kazi zingine ambazo zilikuwa bora zaidi.

Msingi wangu ilikuwa kuamini Mungu atanipa kazi bora zaidi, maana hiyo niliyokataa nili-bargain kiungwana sana lakini bado wakakataa nikajua nikilazimisha sitaifanya kwa furaha kwa hiyo utendaji utakuwa chini, nami nitaonekana sikufaa hata kupewa hiyo kazi.

“Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, wala usizitegemee akili zako mwenyewe, katika njia zako zote umkiri yeye, naye atayanyoosha mapito yako”.

Asanteni..
Ameen, umenifanya nifikirie sana my broo
 
Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, wala usizitegemee akili zako mwenyewe, katika njia zako zote umkiri yeye, naye atayanyoosha mapito yako”.
Ahsante sana mkuu kwa huu ujumbe mujarabuu,,,, ntaiimba hii sehemu kwa siku tatu coz am swimming in the same sea apa
 
Mwaka 2002 Kilombero Sugar (Ilovo) walinipa offer baada ya usaili ulofanyika mara 2, Dsm na kiwandani kule kidatu. Walinipa mkataba lakini malipo yake sikukubaliana nayo kulingana na mazingira ya kazi na masharti ya mkataba. Nilijaribu kushawishi waongeze kidogo lakini wakasema haiwezekani. Basi nikakataa hiyo “offer” .Haikuwa rahisi sababu sikuwa na kazi yoyote bado na hata nauli ya kwenda usaili (Dar - Kidatu) nilikuwa nimeomba kwa mtu.
*So, I guess, men were men those days*

Nikipoaga kiwandani niliwaambia wasiniite tena bila kufika pale ambapo niliomba wafike (bado ulikuwa mshahara mdogo pamoja na hiyo nyongeza niliyoomba). Hata hivyo baada ya wiki hivi waliniita kiwandani nikajua wameamua kupanda dau. Kufika habari ikawa ileile, nikapelekwa kwa mzungu mwingine akaniambia “you have to take our offer as it is, or leave it”. Nikapata mshangao kwamba sasa waliniitia nini wakati hawajabadili chochote. Nikakataa tena wakanirudishia nauli yangu nikaondoka.

Nikaja kupata kazi zingine ambazo zilikuwa bora zaidi.

Msingi wangu ilikuwa kuamini Mungu atanipa kazi bora zaidi, maana hiyo niliyokataa nili-bargain kiungwana sana lakini bado wakakataa nikajua nikilazimisha sitaifanya kwa furaha kwa hiyo utendaji utakuwa chini, nami nitaonekana sikufaa hata kupewa hiyo kazi.

“Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, wala usizitegemee akili zako mwenyewe, katika njia zako zote umkiri yeye, naye atayanyoosha mapito yako”.

Asanteni..
Amen
 
Back
Top Bottom