haya njo magulumangu wangu. Nikitype a we unatype b. Mambo kusaidiana. Au sio?Husninyoooooooooooooooooooooooooooooo nakuona unapotype hiyo keyboard...subiri tu nije na yale mambo yetu...usifute fute mistari eeehhhh
Saaafi saana... AshaDii is Proud of her fellow JF Member Magulumalu.....
haya njo magulumangu wangu. Nikitype a we unatype b. Mambo kusaidiana. Au sio?
Magu naona unaanza mambo mengine hapa
Ngoja nikae pembeni niwatizame
unajua huyu bibie bwana anajua sana nini anamaanisha...ngoja usiharibu kidogo tusikie atasema nini tukianza na hizi herufi mie naziita The wonder of the beggining and the End.
story hii nimejifunza mengi
Ndo maana nikasema nikae pembeni niwaachie wenye meno watafune maana nikikaa hapa nazusha kiwingu bure
uwiiiiii! Nitashiiiiiindwa..!Hlf mr rock anatuchabo. Hebu mmwagie upupu.Husninyo jamani, kwanini tuanzie na A then B? sipati mwendelezo hapo...vipi tukianzia I na kuendelea mwishoni tumalizie U? huoni hapo inaleta maan jamani?
mwenyewe si umemuona kakimbilia sijui kwa Lizzy au kwa mchungaji Masanilo kunisemea hahahaha
haya baba we pita, ila ukumbuke kutia nyama yako viungo leo.Ameenda kwa Lizzy maana kaanzisha story za bucha sijui mapishi sijui nyama naona hata simwelewi vile ndo kakimbilia hukouwiiiiii! Nitashiiiiiindwa..!Hlf mr rock anatuchabo. Hebu mmwagie upupu. Mshindwe mna mlegee mimi hapa sipigi chabo ila napita tuu mtaa wa tatu kutokea kwenu
uwiiiiii! Nitashiiiiiindwa..!Hlf mr rock anatuchabo. Hebu mmwagie upupu.
Utamweza Lizzy? nilisema husninyo atakimbilia huko tuuu...bucha, sijui nini...aaahhh nimeshindwa hata kuelezea...Ameenda kwa Lizzy maana kaanzisha story za bucha sijui mapishi sijui nyama naona hata simwelewi vile ndo kakimbilia huko
uwiiiiii! Nitashiiiiiindwa..!Hlf mr rock anatuchabo. Hebu mmwagie upupu.
Mshindwe mna mlegee mimi hapa sipigi chabo ila napita tuu mtaa wa tatu kutokea kwenu
Dah Mr rocky bwana kaharibu...njoo kule mitaa yetu si unakumbuka eeeeeeeeeeehhhhhhh....Ngoja nimwagie pilipili kabisa akome
Maneno mazito sana hayo Janeti, lakini asante kwa uaminifu wako kwa Magulu.
Nyie napita bana sina ubavu wa kusogea hapo napita huku kw aakina Lizzy kuna nyama na viungo na bucha na wapishi hata silewi ila leo nataka nikampikie Lizzy mpaka ajing'ate ulimi . Nyie endeleeni tuu kuongea wala siwasikiii
HUKO kwa Lizzy bwana mmmhhhh mie napaogopa kulishwa nyama ya mbwa maana bucha zingine bwana mhhh
Kwa Liizzy ni balaa maana unafundishw anamna ya kupika na kuonja nyama na unahikishiwa kuwa nyama yako itakuwa tamu tuu hata kama imekonda. Nenda kule uje umpikie wa ubani hatakuacha kamwe