BARUA KWA WAZIRI WA AFYA

opec

Member
Nov 29, 2016
9
6
Pole kwa majukumu ya utumishi wa umma.

Mh. Naomba utupia macho yako hapa: panakera sana!


Kuna hii taasisi inaitwa Pharmacy council of Tanzania,
Hatuelewi umakini wa utendaji kazi wake ukoje.... Ni utata mtupu!!!
Can you imagine watu walimaliza chuo mwaka 2015 hadi leo hawajapata usajili na hivyo hawajapata ruhusa ya kuajirika wala kujiajiri professionally maana sheria inawataka wapate usajili kwenye baraza hilo ndipo waweze kupractise.
Kumekuwa na ucheleweshaji na urasimu wa hali ya juu ktk taasisi hii.
Watoto wetu wanaumia... Maisha ni magumu... Wamesoma ila ni kama hawakusoma.. Ajira zinatangazwa zinawapita kushoto hawawezi kuajiriwa kisa hawajasajiliwa licha ya kuwa wameshafanya na kufaulu mitihani ya baraza hilo.
 
Back
Top Bottom