Barua Kwa Rais Kikwete Toka Tarime

"MWITA MATTEO acha dharau ndg yangu, wagogo wa leo siyo wale wa enzi za Malecela. Juzi nilikuwa dodoma nikafanikiwa kutembelea vijiji vyote jimbo la bahi, kata 8 jimbo la mtela, kata 10 dodo mjini. Kwa taarifa yako nimeona jinsi gani watu walivyo ichoka ccm na mabadiliko makubwa janakuja! Wana jf ninampango wa kufanya utafiti majimbo mengine matatu kwa kata zote thn nitawaletea hoja hapa jamvini muijadili, na pia kwa kuwa mimi ni mtumishi wa umma nawatafuta akina Mnyika, Zitto, Mdee au kiongozi yeyote wa cdm niwape mbinu mmbadala ya kuichukua dodoma.nb hata kama chadema wangesimamisha jiwe bahi katika uchaguzi uliopita jiwe hilo lingeshinda kwa kishondo."
 
raha moja wote hawa wanafanya vurugu kudai maslahi yao..na kama umewasikia wote wanaomba serikali yetu iwasaidie.
Nakubaliana sana na MS, raisi JK amekuwa tumain kubwa sana kwa wananchi hasa waliokataa tamaa na maisha. Nimekuwa nikitembea na mh kwenye mikoa mbali mbali na hili nimelishuhudia.
Nashukuru kwa kutujuza bwana Rejao a.k.a cameroon kumbe 'unatembea' na JK
 
WATZ WENGI BADO WANAMUAMINI JK KAMA NDIO KIMBILIO LAO.
Nimejaribu kufanya uatfiti wa kina . nilipita karibu Mikoa 18 kujua hali ya kisiasa nchini.
Mikoa hiyo ni wazi inamuunga mkono jk kwa kiasi kikubwa.
mikoa michache ambayo imeingia kasumba ya CDM lkn bado mikoa mingi inaimani ya jk kama ndio mkombozi wao
Mikoa inayomuunga mkono kwa asilimia kubwa ni
1)Dar = 90%
2)pwani=99%
3)Morogoro=89%
4)Dodoma=99%
4)Rukwa=90%
5)Tabora=89%
4)iringa=89%
nitawasisha rasmi kwa waandishi wabari kuhusu Utafiti huo hivi karibuni

Acha kutuaminisha uongo.
 
Back
Top Bottom