Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Thank you so much kwa kuwa mkweli . Wanawake ni viumbe tofauti sana Eeee Mungu wabariki wanawake wote na uwaongezee moyo wa kusamehe na uvumilivu zaidi.Ablessed na Heaven on earth nawaapia na ajitokeze mwanaume atakayejibu kuwa atamsamehe mkewe kama mwallu alivyonifanyia....iDoubt kama yupo. Women r a special kind of creation. #respect
Afu we heveni umenieka pending sana ujue....bin waiting tangu juz sio furesh ivo.
Ablessed na Heaven on earth nawaapia na ajitokeze mwanaume atakayejibu kuwa atamsamehe mkewe kama mwallu alivyonifanyia....iDoubt kama yupo. Women r a special kind of creation. #respect
Afu we heveni umenieka pending sana ujue....bin waiting tangu juz sio furesh ivo.
hii stori ni wimbo wa dada mmoja sijui anaitwa nani.....kwenye AUDI yule dada aliimba VOGUE....story na wimbo ule ni sawa kabisa sijui nani kaiba kwa mwenzie....
Mahir: Mento mke wa mtu sumu.
Mento: Aaaa, wapi! Mi nina maziwa.
Ona sasa, sijuwi maziwa yamekatika na kuwa mtindi. Ila ndiyo siku ya kufa nyani tena ivoo....
Usiwe mvivu kama babu Asprin wewe...isome umuite na mumeo Erickb52 na mashemeji zako Arushaone na Filipo na LiverpoolFC waisome...maana yaweza wakuta haya!
Salaam dada AshaDii,
I am humbled and thanks for the contribution.
Ila shukran kubwa na za kipekee zimwendee mke wangu kipenzi mwallu ( Cc: Kaizer na mwekundu ) kwa kunikubali hata baada ya yote haya...love u babes, I certainly will make it up to u soon.
Ngoja kuna NDOA mpya hapa ya Hamidini na Madame B inatakiwa iige mfano wa penzi la mfano la Mentor na MwalluAblessed na Heaven on earth nawaapia na ajitokeze mwanaume atakayejibu kuwa atamsamehe mkewe kama mwallu alivyonifanyia....iDoubt kama yupo. Women r a special kind of creation. #respect
Afu we heveni umenieka pending sana ujue....bin waiting tangu juz sio furesh ivo.
Nice story
Mentor!!ni
somo zuri kwa watu wanaoendekeza uzinzi na kutoka nje ya ndoa hata kwa
sisi ambao hatujaingia kwenye ndoa,majaribu na misukosuko wanayopitia
wanandoa ni foundation nzuri ya kujenga uhusiano madhubuti na imara
kwasababu unachallenge subira na uvumilivu wao,pamoja na kujiifunza
mapungufu ya wenza hao!
- Ustahamilivu na kusameheana ni mambo muhimu sana kwenye mahusiano
yoyote.
mwallu
has a big heart and true love it takes a lot of courage to go through
what she did and still hold on and stay strong...ijapokuwa
Mentor
alinogewa na kusahau hata kwanini alimuoa yule alomuoa na si huyo
mlimbwende mwengine!TAMAA MBELE MAUTI NYUMA!!Ni vyema tukajifunza jinsi
ya kudhibiti tamaa zetu za kimwili!- Ndugu sio watu wakutegemea 100% ukiwa na matatizo ndio unaona utu wa
watu.. Ndio maana wazungu wanasema familiy ni wife,husband and children
hao wengine ni relatives.- Ulifanya jambo la maana kuandika ile barua ya wosia..cause you can
never predict the future so we should always be prepared for
anything..like having enough savings now while we flourishh..- Felix is a true friend,sio sifa kuwa na marafiki chungu nzima,binafsi
bora niwe na rafiki mmoja tu ambae namuamini na najua ni rafiki wa
kweli AKUFAAYE KWA DHIKI NDIO RAFIKI
too long wengine tuna allergy ya kusoma mavitu marefu.
Mahir: Mento mke wa mtu sumu.
Mento: Aaaa, wapi! Mi nina maziwa.
Ona sasa, sijuwi maziwa yamekatika na kuwa mtindi. Ila ndiyo siku ya kufa nyani tena ivoo....
pretty artistic style,,hongera xana mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie,,ila leo hii kupata mwanamke kama huyo sijuii wote candyshop"after money"
hii isikupate 2. . .let it be as story to us.