Barua kwa Jenerali Devi's Mwamunyange (JWTZ)

Natamani jamaa wewe ungetokea siku ya maandamano wakuvunje kiuno ili ujue serikali ya awamu ya 5 siyo dhaifu. Maana unaandika hisia za uongo pamoja na kuwa upo nje ya nchi mjiinga na nyang'au weee
Watu wanaotoa kauli kama hizi eti utasikia wanaipenda nchi yao. Shame.
 
Kwako jenerali mwamunyange :

Mimi Technically bila kushinikizwa na mtu nikiwa na akili timamu nimeamua kukuandikia barua fupi nikikumbusha baadhi ya mambo muhimu!!

Kwanza kabisa napenda kukupongeza kwa moyo wangu wote kwa taasisi yako ya JWTZ kutofungamana na upande wewete yaani kuwa huru!!

Ongera kwa ujenzi wa taasisi imara ya kijeshi isiyoyumba na imekuwa nembo ya kuigwa kote Afrika mashariki na kati!!!

Kuonyesha kuwa taasisi yako ni imara sijasikia yafuatayo!!!

Sijasikia wafanyakazi hewa wakitangazwa kutoka kwenye taasisi yako!!

Sijasikia wanajeshi wakijiingiza kwenye siasa uchaguzi uliopita kama walivyofanya polisi wa Taifa ili!!

Sijasikia ukipeleka mrejesho wa pesa ikulu kama walivyoufata Bunge,Mahakama, na tume ya uchaguzi ili linaonyesha Taasisi yako ni imara na ndio taasisi pekee iliyobaki ambayo haifanyi kazi kisiasa!!!!

Lengo la kukuandikia barua hii ni kukupongeza na kukutaka uendelee kufanya kazi hivyo hivyo bila kuingiliwa na mtu au taasisi yeyote kwa masilai ya Taifa (wananchi).

Umefanya mambo makubwa sana kwenye operations za Kongo, Comoro na sudani kusini!!!!

Nataka nikushauri kitu kimoja hakikisha ulinzi wa taifa lako na usikubali mtu yeyote avuruge amani ya nchi kwa namna yeyote!!
Nchi hii ni yetu wote hakuna mtu hata mmoja Mwenye hatimiliki !!

Waambie police wasikubali kuingia kwenye mtego wa kusumbua waandamanaji kuelekea Operations Ukuta !!!
Walindeni watu ikiwezekana tandazeni barabara za kupita na police wafunge kamera kwa ajiri ya kulinda usalama wa Mali za RAIA!!!
Wanajeshi wazunguke mipaka yetu waweke ulinzi wa hali ya juu kwenye mipaka yetu kwani inawezekana pia kuna mipango miovu inaweza sukwa kwa ajiri ya kuwabambikiza kesi RAIA na viongozi wa vyama vya siasa kuwa wanaleta fujo na ugaidi na kuja kusababisha kufutwa kwa chama Fulani!!!

Ni hayo tu kwa Leo natamani barua hii ikufikie wewe mwenyewe uisome lakini ninachojua kuna wanajeshi wa kutosha huku jamii forumu watakufikishia ujumbe huu!!

Amani ya nchi yetu iko mikononi mwa jeshi lako !!
Jambo usilolijua usiliseme, ukisema utaonekana ni namna gani usivyojua.
 
Mimi sijasoma huu ujumbe lakini naamini atasoma yeye mwenyewe akitulia,[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Sipendi majitu yanayotishia watu kwa kutoa maoni yao binafsi. Eti oooh kwa kuwa upo nje ya nchi, sasa kama yupo nje amemtusi baba yako??? Lenyewe ndio lina matusi eti fisadi Lowasa, maccm yanakera sana, ukiwa ccm msafi ukitoka fisadi.
 
Hahaha labda unaringa kwa sababu unaishi nje ya TZ lkn kumbuka msemo usemao kwamba Serikali ina mkono mrefu, sijakwambia hivyo kukutisha ila kukushauri tu usianzishe moto usiokuwa na kazi nao!
Bado una ndugu na jamaa hapa Bongo hivyo kuwa mwangalifu na hasira zako zisije zikakuponza kwani si mbowe wala fisadi lowasa watakaojitoa kukutea siku likikukuta la kukuta!
Hii ni Afrika na kuishi Ulaya/USA kusikufanye uone kama TZ ni kama USA/Ulaya, TZ bado ni Afrika, hivyo kuwa mwangalifu na angalia maisha yako zaidi, kwani unaweza kushangaa mbowe, tundu Septemba 2 ukawaona wanakunywa juisi Ikulu huku wakikenua meno na kwa furaha!

Ubarikiwe na Mungu akupe busara za kutambua kwamba maisha ni zaidi ya mbowe na fisadi lowasa isitoshe wao, familia na koo zao zote ni matajiri na wanaishi vizuri sana tu!
[quote uid=191696 name="SNAP J" post=17324582]Acha unafiki .[/QUOTE]<br />Binafsi sijaona shida kwenye hoja yake, ila umenistua baada ya kuona una personal attacks kwa baadhi ya watu.
 
Hahaha labda unaringa kwa sababu unaishi nje ya TZ lkn kumbuka msemo usemao kwamba Serikali ina mkono mrefu, sijakwambia hivyo kukutisha ila kukushauri tu usianzishe moto usiokuwa na kazi nao!
Bado una ndugu na jamaa hapa Bongo hivyo kuwa mwangalifu na hasira zako zisije zikakuponza kwani si mbowe wala fisadi lowasa watakaojitoa kukutea siku likikukuta la kukuta!
Hii ni Afrika na kuishi Ulaya/USA kusikufanye uone kama TZ ni kama USA/Ulaya, TZ bado ni Afrika, hivyo kuwa mwangalifu na angalia maisha yako zaidi, kwani unaweza kushangaa mbowe, tundu Septemba 2 ukawaona wanakunywa juisi Ikulu huku wakikenua meno na kwa furaha!

Ubarikiwe na Mungu akupe busara za kutambua kwamba maisha ni zaidi ya mbowe na fisadi lowasa isitoshe wao, familia na koo zao zote ni matajiri na wanaishi vizuri sana tu!
Umeandika nini hapa
 
[emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji3] [emoji28] [emoji23] [emoji3]
 
Ulichokiandika umekifikiria lakini??
Au ndiyo unatuonesha uwezo ulionao katika kusoma na kuandika?
 
Kama nilivyoandika kwamba sijakutisha ila nimekwambia tu kwamba hii ni Afrika na usitafute shida ambayo haipo, mambo ya Jeshi TZ / Afrika siyo ya kuyaingilia na ndiyo maana unaona hata wao wako kimya hivyo nimekupa tu ushauri, hata akina fisadi lowasa, mbowe, tundu lisu hawasemi chochote kuhusu Jeshi letu au unafikiri wao hawana cha kusema kuhusu JWTZ?
Hivyo nimekupa tu ushauri kuwa mwangalifu hizi ni siasa tu!
umendika nn sasa?
 
Barbarosa aliyekunyima utajiri na maisha mazuri ni nani?Acha kuandika mambo yasio na maana.
 
This is New. Kwahiyo unataka Jeshi liingilie majukumu ya Polisi?? Unataka kitokee nini hapo??
 
Back
Top Bottom