Jamaa hataki maandamano yalindwe kwa amani na yamalizike salama yeye anachotaka yasifanyike tuMkuu imekupahasira Sana, maoni yake tu, Sijui Kama yamekuumiza Sana Mpaka utoe ya Moyoni. Hii Ndo democracy mkuu[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mimi ninadhani unamuonea sana Jenerali Mwamunyange. Salamu zako hizo kama kweli ulikuwa unafaka kufikisha kunakohusika ungetuma kwa Kamanda Mkuu wa Majeshi Yote nchini.Kwako jenerali mwamunyange :
Mimi Technically bila kushinikizwa na mtu nikiwa na akili timamu nimeamua kukuandikia barua fupi nikikumbusha baadhi ya mambo muhimu!!
Kwanza kabisa napenda kukupongeza kwa moyo wangu wote kwa taasisi yako ya JWTZ kutofungamana na upande wewete yaani kuwa huru!!
Hongera kwa ujenzi wa taasisi imara ya kijeshi isiyoyumba na imekuwa nembo ya kuigwa kote Afrika mashariki na kati!!!
Kuonyesha kuwa taasisi yako ni imara sijasikia yafuatayo!!!
Sijasikia wafanyakazi hewa wakitangazwa kutoka kwenye taasisi yako!!
Sijasikia wanajeshi wakijiingiza kwenye siasa uchaguzi uliopita kama walivyofanya polisi wa Taifa ili!!
Sijasikia ukipeleka mrejesho wa pesa ikulu kama walivyoufata Bunge,Mahakama, na tume ya uchaguzi ili linaonyesha Taasisi yako ni imara na ndio taasisi pekee iliyobaki ambayo haifanyi kazi kisiasa!!!!
Lengo la kukuandikia barua hii ni kukupongeza na kukutaka uendelee kufanya kazi hivyo hivyo bila kuingiliwa na mtu au taasisi yeyote kwa masilai ya Taifa (wananchi).
Umefanya mambo makubwa sana kwenye operations za Kongo, Comoro na sudani kusini!!!!
Nataka nikushauri kitu kimoja hakikisha ulinzi wa taifa lako na usikubali mtu yeyote avuruge amani ya nchi kwa namna yeyote!!
Nchi hii ni yetu wote hakuna mtu hata mmoja Mwenye hatimiliki !!
Waambie police wasikubali kuingia kwenye mtego wa kusumbua waandamanaji kuelekea Operations Ukuta !!! Walindeni watu ikiwezekana tandazeni barabara za kupita na police wafunge kamera kwa ajiri ya kulinda usalama wa Mali za RAIA!!!
Wanajeshi wazunguke mipaka yetu waweke ulinzi wa hali ya juu kwenye mipaka yetu kwani inawezekana pia kuna mipango miovu inaweza sukwa kwa ajiri ya kuwabambikiza kesi RAIA na viongozi wa vyama vya siasa kuwa wanaleta fujo na ugaidi na kuja kusababisha kufutwa kwa chama Fulani!!!
Ni hayo tu kwa Leo natamani barua hii ikufikie wewe mwenyewe uisome lakini ninachojua kuna wanajeshi wa kutosha huku jamii forumu watakufikishia ujumbe huu!!
Amani ya nchi yetu iko mikononi mwa jeshi lako !!
HAMANI=AMANIAsante sana mleta hoja tunataka hamani Heri wapatanishi maana wao wataitwa wana waMungu
Soma utaona alichoandika mkuuUmeandika nini hapa
Mkuu usiliingize Jeshi katika porojo za kisiasa,halafu jiongeze kidogo mkuu....CDF (tena mweledi kama huyu tuliyenae) anaanzaje kuwaelekeza jambo polisi? au ulimaanisha IGP? Mbona machief tulionao wanatambua majukumu yao sidhani kama wanahitaji kukumbushwa kwa barua za mtandaoni tena zilizoandikwa KI-HAPA NA PALE.Kwako jenerali mwamunyange :
Mimi Technically bila kushinikizwa na mtu nikiwa na akili timamu nimeamua kukuandikia barua fupi nikikumbusha baadhi ya mambo muhimu!!
Kwanza kabisa napenda kukupongeza kwa moyo wangu wote kwa taasisi yako ya JWTZ kutofungamana na upande wewete yaani kuwa huru!!
Hongera kwa ujenzi wa taasisi imara ya kijeshi isiyoyumba na imekuwa nembo ya kuigwa kote Afrika mashariki na kati!!!
Kuonyesha kuwa taasisi yako ni imara sijasikia yafuatayo!!!
Sijasikia wafanyakazi hewa wakitangazwa kutoka kwenye taasisi yako!!
Sijasikia wanajeshi wakijiingiza kwenye siasa uchaguzi uliopita kama walivyofanya polisi wa Taifa ili!!
Sijasikia ukipeleka mrejesho wa pesa ikulu kama walivyoufata Bunge,Mahakama, na tume ya uchaguzi ili linaonyesha Taasisi yako ni imara na ndio taasisi pekee iliyobaki ambayo haifanyi kazi kisiasa!!!!
Lengo la kukuandikia barua hii ni kukupongeza na kukutaka uendelee kufanya kazi hivyo hivyo bila kuingiliwa na mtu au taasisi yeyote kwa masilai ya Taifa (wananchi).
Umefanya mambo makubwa sana kwenye operations za Kongo, Comoro na sudani kusini!!!!
Nataka nikushauri kitu kimoja hakikisha ulinzi wa taifa lako na usikubali mtu yeyote avuruge amani ya nchi kwa namna yeyote!!
Nchi hii ni yetu wote hakuna mtu hata mmoja Mwenye hatimiliki !!
Waambie police wasikubali kuingia kwenye mtego wa kusumbua waandamanaji kuelekea Operations Ukuta !!! Walindeni watu ikiwezekana tandazeni barabara za kupita na police wafunge kamera kwa ajiri ya kulinda usalama wa Mali za RAIA!!!
Wanajeshi wazunguke mipaka yetu waweke ulinzi wa hali ya juu kwenye mipaka yetu kwani inawezekana pia kuna mipango miovu inaweza sukwa kwa ajiri ya kuwabambikiza kesi RAIA na viongozi wa vyama vya siasa kuwa wanaleta fujo na ugaidi na kuja kusababisha kufutwa kwa chama Fulani!!!
Ni hayo tu kwa Leo natamani barua hii ikufikie wewe mwenyewe uisome lakini ninachojua kuna wanajeshi wa kutosha huku jamii forumu watakufikishia ujumbe huu!!
Amani ya nchi yetu iko mikononi mwa jeshi lako !!
Uhuru wa mawazo ueshimiwe!!Mkuu usiliingize Jeshi katika porojo za kisiasa,halafu jiongeze kidogo mkuu....CDF (tena mweledi kama huyu tuliyenae) anaanzaje kuwaelekeza jambo polisi? au ulimaanisha IGP? Mbona machief tulionao wanatambua majukumu yao sidhani kama wanahitaji kukumbushwa kwa barua za mtandaoni tena zilizoandikwa KI-HAPA NA PALE.
Nakubaliana nawe lakini huku tunawekana sawa,kama ni muungwana utakubali kuwa barua yako ina mapungufu,tukianza na hapo unaposhauri mkuu wa majeshi awaambie polisi....,kama ulikuwa unaamini kuwa hilo ni jukumu lake basi ni wazi pia unaamini kwa kuwa bado hajawaambia basi amekosea,ndio mana nasi tunatumia muda huu kukuweka sawa.Uhuru wa mawazo ueshimiwe!!
Umeanza vizuri huku mwisho umetimbanya kabisaKwako jenerali mwamunyange :
Mimi Technically bila kushinikizwa na mtu nikiwa na akili timamu nimeamua kukuandikia barua fupi nikikumbusha baadhi ya mambo muhimu!!
Kwanza kabisa napenda kukupongeza kwa moyo wangu wote kwa taasisi yako ya JWTZ kutofungamana na upande wewete yaani kuwa huru!!
Hongera kwa ujenzi wa taasisi imara ya kijeshi isiyoyumba na imekuwa nembo ya kuigwa kote Afrika mashariki na kati!!!
Kuonyesha kuwa taasisi yako ni imara sijasikia yafuatayo!!!
Sijasikia wafanyakazi hewa wakitangazwa kutoka kwenye taasisi yako!!
Sijasikia wanajeshi wakijiingiza kwenye siasa uchaguzi uliopita kama walivyofanya polisi wa Taifa ili!!
Sijasikia ukipeleka mrejesho wa pesa ikulu kama walivyoufata Bunge,Mahakama, na tume ya uchaguzi ili linaonyesha Taasisi yako ni imara na ndio taasisi pekee iliyobaki ambayo haifanyi kazi kisiasa!!!!
Lengo la kukuandikia barua hii ni kukupongeza na kukutaka uendelee kufanya kazi hivyo hivyo bila kuingiliwa na mtu au taasisi yeyote kwa masilai ya Taifa (wananchi).
Umefanya mambo makubwa sana kwenye operations za Kongo, Comoro na sudani kusini!!!!
Nataka nikushauri kitu kimoja hakikisha ulinzi wa taifa lako na usikubali mtu yeyote avuruge amani ya nchi kwa namna yeyote!!
Nchi hii ni yetu wote hakuna mtu hata mmoja Mwenye hatimiliki !!
Waambie police wasikubali kuingia kwenye mtego wa kusumbua waandamanaji kuelekea Operations Ukuta !!! Walindeni watu ikiwezekana tandazeni barabara za kupita na police wafunge kamera kwa ajiri ya kulinda usalama wa Mali za RAIA!!!
Wanajeshi wazunguke mipaka yetu waweke ulinzi wa hali ya juu kwenye mipaka yetu kwani inawezekana pia kuna mipango miovu inaweza sukwa kwa ajiri ya kuwabambikiza kesi RAIA na viongozi wa vyama vya siasa kuwa wanaleta fujo na ugaidi na kuja kusababisha kufutwa kwa chama Fulani!!!
Ni hayo tu kwa Leo natamani barua hii ikufikie wewe mwenyewe uisome lakini ninachojua kuna wanajeshi wa kutosha huku jamii forumu watakufikishia ujumbe huu!!
Amani ya nchi yetu iko mikononi mwa jeshi lako !!
Wewe unaonekana ni kiumbe dhaifu na unae ogopa sana.......Ndiyo ni demokrasia na ndiyo maana nikasema hapa ni Afrika/TZ na siyo USA/Ulaya, mambo mengine ni kuyaacha tu kwa maana mwisho wa siku hizi ni siasa tu na hamna haja ya kujiletea matatizo bila ya sababu, ninafahamu watu waliopata matatizo, ndiyo maana nikamuonya!