Barua kwa Dr. W. Slaa

Barua kwa Dr. W. Slaa

Mkuu mimi naipenda sana M4C lakini hapo kwenye red kuna walakini. Lema hawezi kutekeleza majukumu ya Dr. Slaa hata kidogo. Tukubali kila mtu ana umuhimu kwenye chama ila Dr. Slaa kumlinganisha na Lema.... (unanipa maswali sana na uwezo wako wa kuzipambanua siasa za Tanzania)
you did't get me right...i did't say that Lema should take Slaa's responsibilities.....Slaa can stay as secreatry..just as Mbowe is a chairman(and an MP).......huyu Lema anaweza kufanya mambo mengine e.g kuhamsisha wanachama ...si lazima afanye haya akiwa secretary.......read and understand things...don't run into foolish conclusions here....by the way mi si mwanasiasa....and never will be......
 
kama nimemuelewa vizuri alimaanisha shughuli za uhamasishaji, si ukatibu mkuu, NAWEZA SAHIHISHWA.
you are very correct and i have just answered him....anakurupuka na conclusion zisizo na kichwa....
 
Back
Top Bottom