Eng ibird
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 714
- 1,056
Kwan nimemgusa Misoji?[emoji23]Acha kuharibu binti za watu kijana
Kwan nimemgusa Misoji?[emoji23]Acha kuharibu binti za watu kijana
...unatuwekea ukuta, hutaki vidume tufurahi na roho zetu.!ndoa gharamaaa, Misoji mwenyewe ndoa ya Bomani hataki,anataka ya ku-post.!Mshindwe na mlegee
Sina roho mbaya, Ila siwezi kubariki wahuni mmchezee Misoji kisha mkimbie.una roho mbaya, hutaki vidume tufurahi na roho zetu.!ndoa gharamaaa, Misoji mwenyewe ndoa ya Bomani hataki,anataka ya ku-post.!
Kwani hujawatamani?Kwan nimemgusa Misoji?[emoji23]
Amen amen!!Mwenye masikio na asikie.
tutamlinnda kwa wengine hatutokwendaSina roho mbaya, Ila siwezi kubariki wahuni mmchezee Misoji kisha mkimbie
Sijawahi omba msaada wa kibinadamu wa ulinzi kwa Misoji, wala sihitaji mlinzi wa namna hiyo kwa sababu Mungu ndiye mlinzi wake.tutamlinnda kwa wengine hatutokwenda
..kama Riziki ya mbwa ipo miguuni mwake basi amini Riziki ya mtu ipo kwa mtu...naomba nielewe mimi ni mtu mzima mwenzio, nitamlinda na kwa mwingine sitokwenda..Sijawahi omba msaada wa kibinadamu wa ulinzi kwa Misoji, wala sihitaji mlinzi wa namna hiyo kwa sababu Mungu ndiye mlinzi wake.
Na iwe hivyo.Mwenye sikio na asikie
ova...
Naona una kiherehere cha kutamani kuingia kambi ya fisi 😀..kama Riziki ya mbwa ipo miguuni mwake basi amini Riziki ya mtu ipo kwa mtu...naomba nielewe mimi ni mtu mzima mwenzio, nitamlinda na kwa mwingine sitokwenda.
kambi naimudu, me mwenyewe nguchiro 😀Naona una kiherehere cha kutamani kuingia kambi ya fisi 😀
Subiri kidogo halafu utanipa mrejesho iwapo unaweza vinjari kambi ya fisi.
Ungekuwa nguchiro ungekuwa umeshaliwa na fisi kijana 😀kambi naimudu, me mwenyewe nguchiro 😀
ahahaha...basi mimi mwenyewe mamba..fisi hali mzoga wa mamba.!Ungekuwa nguchiro ungekuwa umeshaliwa na fisi kijana 😀
Hata ujibadili uwe mamba we ni chakula tu ya fisi 😁ahahaha...basi mimi mwenyewe mamba..fisi hali mzoga wa mamba.!
fisi kwa mamba hatoboi..acha ubishi aisee.Hata ujibadili uwe mamba we ni chakula tu ya fisi 😁
Naona huwajui fisi wewe, usije lalamila huko mbeleni kuwa sikukwambia kuwa fisi habagui mlo 😁fisi kwa mamba hatoboi..acha ubishi aisee.
Bonge moja la ujumbe. Hongera sana natamani huu ujumbe uwafikie wahusika kadiri iwezekanavyo.Kwema huko binti yangu!
Tumekukumbuka sana binti yetu, mimi na mama yako tumekuwa tukikuombea sana upate mtu sahihi wa kukuoa. Jana ulipotutumia ujumbe kwamba umepata mchumba tulifurahi sana, tuna endelea kukusisitiza uishi maisha yampendezayo Mungu, tumekulea vizuri tangu utoto hadi umekua ukapata kazi huko jijini Dar unakoishi sasa na umepata na mchumba huko.
Misoji sisi wazazi tunakuombea kwa Mungu ufanikiwe na kutimiza malengo uliyojiwekea.Tunakupa ushauri ukusaidie unapojiandaa kuelekea katika ndoa takatifu siku zijazo.
Acha Kujifanya Mke Wakati Wa Uchumba! usiende kufua nguo za mchumba wako , wala kutandika kitanda ama kumuandalia chochote nyumbani kwake
Vaa mavazi ya kuustili vyema mwili wako mnapokuwa peke yenu, kamwe Usithubutu kufungua miguu yako kwa ajili yake!
Tambua wewe ni wa thamani sana hata shetani analijua hilo
Jithamini na kujiheshimu, Je, hutambui jinsi bidhaa inavyozidi kuwa adimu, ndivyo inavyothaminiwa zaidi? Binti mfalme, mpe mchumba wako sababu ya kukutafuta kama hazina iliyofichwa. Sema hapana kwa ngono hadi usiku wa harusi yako.
Usipuuze sms ama simu zake, - mwache aanzishe mazungumzo. Usikatae zawadi zake- ila usimuombe zawadi. Mweke nje ya nyumba yako na wewe ukae mbali na nyumba yake.
Namalizia kwa kusisitiza "Acha Kujifanya mke wakati wa uchumba"
Wasalaam baba yako.
Utawafikia bila shaka.Bonge moja la ujumbe. Hongera sana natamani huu ujumbe uwafikie wahusika kadiri iwezekanavyo.