Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
Watoto hwapendi xhuleeeee!
Hivi kuweka x kwenye s ni ujanja ama?
Ungeandika shule badala ya xhule ungepungua nini?!
Jf nahic kuna members hawajui kuandika
Hivi kuweka x kwenye s ni ujanja ama?
Ungeandika shule badala ya xhule ungepungua nini?!
nimegombana na wengi kisa huu uandishi,alafu ni watu wazimaHivi kuweka x kwenye s ni ujanja ama?
Ungeandika shule badala ya xhule ungepungua nini?!