Barua kutoka kwa Mtanzania aliyefungwa Hong Kong kwa kukamatwa na Madawa ya Kulevya

Fr John Wotherspoon

Senior Member
Aug 3, 2013
108
180
inmate-01.jpg

inmate-02.jpg

inmate-03.jpg

inmate-04.jpg


Her story and her warning about the danger of being arranged/tricked/forced to bring drugs to HK.

I hope this letter will continue to stop people taking drugs from Tanzania to Hong Kong.
 
Really!? ''..Usilete madawa Hongkong au Bara la Asia''.

I think this letter is strategically designed to pose threat/warning to drug-traffickers in attempt to reduce the size of the problem... In my thinking, it could possibly be written by Tz embassy or Hongkong with an intention of discouraging the business...

I may be wrong anyway..
 
Really!? ''..Usilete madawa Hongkong au Bara la Asia''.

I think this letter is strategically designed to pose threat/warning to drug-traffickers in attempt to reduce the size of the problem... In my thinking, it could possibly be written by Tz embassy or Hongkong with an intention of discouraging the business...

I may be wrong anyway..

Fr John Wotherspoon is a "Verified User", and is well known for his efforts in the fight against drug trafficking! He has visited Tanzania and has visited families of Tanzanians imprisoned in HK. Do you have a substantial reason to doubt him?
 
kuuza madawa kunataka usikivu ni wewe mwenyewe kujitambua...wauza sumu wakatazwe kwa barua...
Ukijitambua utakuwa msikivu kwa maonyo yanayotolewa kwa njia mbali mbali. Pia ukiwa msikivu utapata taarifa zinazopatikana kutoka vyanzo mbalimbali (ikiwemo barua) na kusaidia kujitambua zaidi. Hivyo kwa muuza madawa kuacha au kuendelea kuuza kutategemea usikivu na kujitambua kwake.
 
I hope the word goes out there! Hakuna short cut ya mafanikio! Lakini pia sidhani kama inatosha tu kuwakamata wasafirishaji, vipi kuhusu wafanyabiashara wenyewe?! Au wapo juu ya sheria....?!

Just curious.
 
Nyaka one tupo pamoja sielewi tunapishana wapi ila mimi naona kutoa Elimu na ajira kwa vijana kutafanya watu wajitambue na ukiangalia vijana wengi wanaohihusisha na drug wengi Elimu yao ipo chini ya pia...hata ukiona waliopo jela Fransistown..Kempton park..China..Hongkong..Chile..Spain na Italy wengi hawana Elimu ni ngumu kumtoa mtu na elimu yakena ajira yake akashawishika kufanya huo upuuzi..hiyo barua ni waraka tuu ambao hata hao wazee wa nyunga wataupitia...
 
Angetumia muda huo kuwaomba radhi watu wote walio patwa na majanga ya matumizi ya haya madaya, pole hata wewe uliambiwa hukusikia na hata usinge ambiwa unajua madhara ya haya madawa ila umeishia kutoa maonyo mengi kwa kuogopa miaka ya kukaa magereza kuliko madhara yasababishwayo na haya madawa. Ila ujumbe umefika .
 
Fungweni2 bhn maana mkipata vihela vyenu ndo mnakuja kutusumbua hapa kwa hyo naona bora wengn muwe mnakua chambo bata nyie
 
Ningekuonea huruma kama ungemtaja aliyekugeuza punda, kutokumtaja inaonesha ukitoka utaendelea na deal zako. Sikupi pole acha uendelee kuvuna ulichopanda, ungekua hujui kama hayo yote yangekutokea ungebeba hayo madawa hadharani
 
Back
Top Bottom