Barua kutoka kwa Mtanzania aliyefungwa Hong Kong kwa kukamatwa na Madawa ya Kulevya

Pole sana dada yangu!!
Kwangu mimi naona ujumbe umefika Japo najua tatizo la WATANZANIA walio wengi ni ubishi bila kuzingatia ujumbe uliobebwa (wasoma Biblia wanamjua TOMASO)
Ukweli ni kuwa: kule China na Korea mtu akikamatwa na madawa huwa anauwawa na sio kufungwa hivyo dada yupo sahihi kabisa kuwa Hongkong hukumu zina unafuu
Hongkong ni sehemu iliyopo chini ya Uangalizi wa China ila inasheria zake
Be ware!

 
View attachment 347350

TAMAA mbaya sana, tunashukuru kwa hii barua ya kutoa onyo, ila nasi wabongo hasa wale tunaopenda kukaa chini ya miti, frame za maduka au bar/pub, huku tukipiga zogo na kuwasifia majambazi, mafisadi na wezi wa mali za umma, hili liwe fundisho kwetu, kutoka sio lazima ufanye haya mambo..msikilizeni na mfuatilie ya JPM, mtatoka tu..
 
mj.inga wewe,ugumu wa maisha ndo uuze unga kuharibu jamii inayotuzunguka??si ungeenda kijijini ukalime?ndugu yangu kaharibikiwa na hii biashara chafu.after all una bahati wewe ungenyongwa tu,kuliko kukaa gerezani na kula bure
 
Y hawataaji wanaowatuma analalamika tu aliemtuma yupo anakula raha na familia yake si amtaje sasa heee
 
Really!? ''..Usilete madawa Hongkong au Bara la Asia''.

I think this letter is strategically designed to pose threat/warning to drug-traffickers in attempt to reduce the size of the problem... In my thinking, it could possibly be written by Tz embassy or Hongkong with an intention of discouraging the business...

I may be wrong anyway..
Try u will knw from her or embassy
 
Really!? ''..Usilete madawa Hongkong au Bara la Asia''.

I think this letter is strategically designed to pose threat/warning to drug-traffickers in attempt to reduce the size of the problem... In my thinking, it could possibly be written by Tz embassy or Hongkong with an intention of discouraging the business...

I may be wrong anyway..
You're an idiot. Nadhani wewe unatakiwa ukamatwe utakuwa muuza madawa ya kulevya. Kwa nini unaonesha kusema ni uongo wakati mweka post ni verified user??? Omba samahani otherwise vyombo vya dola vitakusaks popote ulipo.
 
hiyo barua ni kwa kuwatisha watu tu, aliye jela tena HK asingekuwa na mda wakuwaza hivo au hata kuandika.
 
Atutolee upuuzi wake hapa eti serikali ya ccm......... sijui ya j p....... ndio maisha yamekua magumu kuliko kipindi ameanza upunda aseme kipindi anaenda jela sukar ilikua sh ngapi leo huku namanyele kilo 7000 kwa akili zake bora angekamatwa china anyongwe tu mama huko hong yupo huru sana ndio maana anatuletea upuuzi eti serikali ya cc...........
 
Hapo aliposema kuwa nchi nyingine za Asia wana adhabu kali ananikumbusha Indonesia na raisi wao joko widodo. Kuna wafaransa, waingereza,wabrazil na waaustralia wamenyongwa licha ya serikali za nchi zao kuwaombea msamaha kwa Indonesia. Yule jamaa widodo Hana huruma kabisa kwa wasafirishaji unga,anasema wasafirishaji WA unga hawana huruma kwa kuuwa wananchi wake hivyo hawana budi kupata adhabu kali. Ukipatikana na hatia Ni risasi Tu,yupo dada WA kifilipino aliponea chupu chupu dakika ya mwisho kabla ya kupelekwa kunyongwa iligundulika akibambikiwa madawa kwenye begi lake bila kujua.
 
You're an idiot. Nadhani wewe unatakiwa ukamatwe utakuwa muuza madawa ya kulevya. Kwa nini unaonesha kusema ni uongo wakati mweka post ni verified user??? Omba samahani otherwise vyombo vya dola vitakusaks popote ulipo.
wewe ndio a bigger idiot. Just because somebody is a verified user doesn't make his word sacred. I mean, Le Mutuz was once a verified user humu kwa jina lake, lakini alikuwa ndio muongo namba moja na tulimkimbiza hapa. Don't believe everything you read big girl, that's beyond idiocy.

Hii barua haina jina, haina kosa alilofungiwa, haisemi hukumu, haielezi alitumwa na syndicate gani au aliisha vipi, haina nothing, how can it be believable, much less a deterrent? Sasa sana inatoa mchongo wa nchi zenye majela mazuri ya kupeleka madawa just in case ukimalizwa. This a fake thing, a total waste of time.
 
Usihatarishe maisha kwa kutafuta utajiri, kama utajiri upo hapahapa tanzania unaweza ukawini bila kwenda nje ya nchi na madawa.
 
Huyo ni muuza unga mzoefu alikuwa anajua kwamba anaangamiza vizazi sasa mshahara wake ndio huu hana anae mfundisha ajililie mwenyewe tunajua maisha magumu ndio tufanye mambo ya haramu? Asitwambie maisha magumu maana hiyo hela ya kununua madawa ya kulevya na nauli ya ndege inatosha kuchukua Mahindi Mpanda kupeleka Mwanza ukakunja noti Mpuuzi sana
 
Afu bana barua za stori wanazileta public lakini zile zinazowataja drug lord ambao ndio tatizo haswa hawazitoi
 
I hope the word goes out there! Hakuna short cut ya mafanikio! Lakini pia sidhani kama inatosha tu kuwakamata wasafirishaji, vipi kuhusu wafanyabiashara wenyewe?! Au wapo juu ya sheria....?!

Just curious.
Angewataja waliomtuma ingesaidia zaidi. Nakubali, njaa na ugumu wa maisha imempelekea kubeba mzigo. kutotataja waliomtuja haja solve tatizo. ingekua vyema kama angewataja wakajulikana maana wengi wanaponzwa na hawa matajiri wachache. taking advantage ya njaa yako. Very sad....
 
Back
Top Bottom