Barua kutoka kwa Mtanzania aliyefungwa Hong Kong kwa kukamatwa na Madawa ya Kulevya

sasa bila kuweka jina hapo hakuna suluhisho la ugonjwa huu,leta habari kamimi mimi fulani bin fulani.
 
Really!? ''..Usilete madawa Hongkong au Bara la Asia''.

I think this letter is strategically designed to pose threat/warning to drug-traffickers in attempt to reduce the size of the problem... In my thinking, it could possibly be written by Tz embassy or Hongkong with an intention of discouraging the business...

I may be wrong anyway..
We are of the same thinking
 
Nilikuwa Magomeni, mwaka 2013 niliwasikia wadada wanapiga stroy, amerudi fresh yule, amehama sikuhizi habebi wa bosi tena, ah lakini bosi bahili, milioni 4 tu analipa bwana' mwingine akamjibu kwa yule mhindi analipa mil 6 bibi,. Aha ndiyo maana anajeri siku hizi manake kabla ya kwenda alikuwa na madeni hata ndani alikuwa hatoki.
Aisee ! wanajazana ujinga tu wanasahau kwamba MAJUTO always ni MJUKUU
 
I hope the word goes out there! Hakuna short cut ya mafanikio! Lakini pia sidhani kama inatosha tu kuwakamata wasafirishaji, vipi kuhusu wafanyabiashara wenyewe?! Au wapo juu ya sheria....?!

Just curious.
Tatizo wao wanakaa mbali na mzigo...hata wakikamatwa hakuna ushahidi
 
Many thanks to so many readers for so many comments. I will print and post them to the lady in prison in HK, asking her to send me a reply which I can post in the next month or so. I wonder how she will react when she is called "a fake"?
For info re the prison she is in, Google "Lo Wu correctional institution Hong Kong". Not a fake prison made by Photoshop, but a real building made out of concrete and bricks and iron bars. The lady is one of more than 100 African women inmates in that prison.

For people who think her letter and I am not genuine, I attach my HK prison pass and I repeat my invitation to check these files:

Africa File

2015

2013

Letters from African inmates in Hong Kong prisons

If after checking these files you still think the letter and I are not genuine, then, well, I warmly welcome you to the Flat Earth Society!

Fr John Wotherspoon, a HK prison chaplain

p.s. You are also welcome to check the daily menu of my website www.v2catholic.com which often has new letters from inmates, and other items re drug mules in Hong Kong.

pp.s. Please help spread the word about a Nigerian gang operating in the departure lounge of Dubai Airport. Eight Africans are now in prison in HK awaiting sentence for drug trafficking after being tricked into carrying drugs to HK for the Nigerians who said things like "I bought too many items at duty free, would you please help me carry some?" ...or "I bought too many biscuits/chocolates...would you like to buy some?". Poor people got to HK and were dumbfounded to learn they were carrying drugs ...and face a minimum of 9 years in prison (after cuts) ....no excuses.
 
Attachments

  • 2016-02-11-CSD-pass-01.jpg
    2016-02-11-CSD-pass-01.jpg
    8.9 KB · Views: 46
Hii history inanitoa machozi ....nakumbuka wakati niko chuo mwaka wa pili,kaka yangu kabisa anaitwa mackel tulizaliwa wawil tu na yy ndio mkubwa wazaz walituacha wadogo lakin yy akiwa kanipita ten yrs.kutokana na ugumu wa maisha na kupambana mm nisome yy akaacha shule A level na kujihusisha na biashara ya unga,kwel alipata mafanikia sana ghafla akajenga nyumba moja kali kimara ,mm akanitoa sec ndanda na kunipeleka st meths maisha yakawa matam pesa ya kutumia iikuwa haikauki bank na gar alininunulia mdogo wake,mwaka 2014 akawa ajarud tz mwaka mzima lakin si kawaida yake lakin pesa alilkwa ananitumia na kuanza ujenz mwingine kibamba ,alikuwa ana nisisitiza kuwa nisome sana na yy akirud safar hii ata deal tena na hizo mishe,mwez December wakamdaka hong kong wakati anatoka afghanistan......mwaka huu wamemuhukum miaka 22 kaanza kifungo mwez wa pili...alikuwa na miaka 35 .naamin iko siku milango itafungunga nitakuona tena brow
mic u ....
Pole ndugu yako...aliamua kujiingiza kwenye biashara haramu ili ndugu yake usome ..kwakuwa kafungwa usifilisi Mali zake Jela sio kaburi tegeme atarudi Nyumbani atafarijika...akikuta mahari pakuanzia hatajutia uamuzi wake lkn ukidhani kufungwa kwake ndio mwisho akirudi akikuta ndivyosivyo...utamtambua
 
hiyo barua ni kwa kuwatisha watu tu, aliye jela tena HK asingekuwa na mda wakuwaza hivo au hata kuandika.
Mkuu ushawahi kuishi Jela? ukifungwa vifungo virefu utakuwa unalia miaka yote siutakufa....Ukishafungwa unatakiwa kujikubali...so inatakiwa maish yaendelee haijalishi uko jela au mtaani
 
Hii history inanitoa machozi ....nakumbuka wakati niko chuo mwaka wa pili,kaka yangu kabisa anaitwa mackel tulizaliwa wawil tu na yy ndio mkubwa wazaz walituacha wadogo lakin yy akiwa kanipita ten yrs.kutokana na ugumu wa maisha na kupambana mm nisome yy akaacha shule A level na kujihusisha na biashara ya unga,kwel alipata mafanikia sana ghafla akajenga nyumba moja kali kimara ,mm akanitoa sec ndanda na kunipeleka st meths maisha yakawa matam pesa ya kutumia iikuwa haikauki bank na gar alininunulia mdogo wake,mwaka 2014 akawa ajarud tz mwaka mzima lakin si kawaida yake lakin pesa alilkwa ananitumia na kuanza ujenz mwingine kibamba ,alikuwa ana nisisitiza kuwa nisome sana na yy akirud safar hii ata deal tena na hizo mishe,mwez December wakamdaka hong kong wakati anatoka afghanistan......mwaka huu wamemuhukum miaka 22 kaanza kifungo mwez wa pili...alikuwa na miaka 35 .naamin iko siku milango itafungunga nitakuona tena brow
mic u ....
Dah, so sorry Mkuu, Mungu akutie nguvu
I know, u must be missing him with sincerity......hata hizo Nyumba hazina thamani tena ukifikiria mtu aliekupenda namna hiyo
MUOMBEE MUNGU KAKA
 
View attachment 347350
View attachment 347351
View attachment 347352
View attachment 347353

Her story and her warning about the danger of being arranged/tricked/forced to bring drugs to HK.

I hope this letter will continue to stop people taking drugs from Tanzania to Hong Kong.
Kwa uhuru wa JF, ni bora jina lake lingeonyeshwa na kama kuna mawasiliano ya kiasi hiki, Tumuombe mwandishi aweke majina ya waliomtuma.

Kuna wakati wauza unga wa Dar walitajwa sana pamoja na huyo mheshimiwa mmoja.
 
Many thanks to so many readers for so many comments. I will print and post them to the lady in prison in HK, asking her to send me a reply which I can post in the next month or so. I wonder how she will react when she is called "a fake"?
For info re the prison she is in, Google "Lo Wu correctional institution Hong Kong". Not a fake prison made by Photoshop, but a real building made out of concrete and bricks and iron bars. The lady is one of more than 100 African women inmates in that prison.

For people who think her letter and I am not genuine, I attach my HK prison pass and I repeat my invitation to check these files:

Africa File

2015

2013

Letters from African inmates in Hong Kong prisons

If after checking these files you still think the letter and I are not genuine, then, well, I warmly welcome you to the Flat Earth Society!

Fr John Wotherspoon, a HK prison chaplain

p.s. You are also welcome to check the daily menu of my website www.v2catholic.com which often has new letters from inmates, and other items re drug mules in Hong Kong.

pp.s. Please help spread the word about a Nigerian gang operating in the departure lounge of Dubai Airport. Eight Africans are now in prison in HK awaiting sentence for drug trafficking after being tricked into carrying drugs to HK for the Nigerians who said things like "I bought too many items at duty free, would you please help me carry some?" ...or "I bought too many biscuits/chocolates...would you like to buy some?". Poor people got to HK and were dumbfounded to learn they were carrying drugs ...and face a minimum of 9 years in prison (after cuts) ....no excuses.

Mkuu Father John I'm listening to ur interview on Cloud's power breakfast right now. Ur doing a great job!!!

Pse update here too - the status of tanzanians in hong kong prisons, the drug mules hunt, etc.
 
View attachment 347350
View attachment 347351
View attachment 347352
View attachment 347353

Her story and her warning about the danger of being arranged/tricked/forced to bring drugs to HK.

I hope this letter will continue to stop people taking drugs from Tanzania to Hong Kong.
Wabongo tunajijuwa kwa kupenda kutusua mapema, iwe kufoji vyeti, kuiba, ufisadi au madawa ya kulevya, JPM anasisitiza kukicha, tufanye kazi, biashara kubwa au ndogondogo, tuache kukaa mbele ya maframes, ma-saloons, chini ya miti au barabarani tukihesabu magari..
Tusipobadilika basi hawa wanaijeria siye tutaendelea kuwa punda kwao...
 
Pole, Ndugu Mtanzania. Hata sisi huku nyumbani ni wafungwa wa Magufuli, hatuijui kesho yetu. Hali ni mbaya sana mtaani. TUNALIMIA MENO ILI NENO LITIMIE.
Nawatoto wetu hawana madarasa ya kusomea.
Na tumekatazwa kuhoji. Tumaini letu kwa sasa lipo kwa Trumpawapige vikwazo vya kiuchumi hawa wateseji wetu huku.
Relax ndugu, kula chakula piga gym siku zisogee, jela tumejengewa watu acha maisha yaende.
 
Back
Top Bottom