Haka kazee katakua kamechanganyikiwa?Figisufigisu na ujinga huu wa kuweka public kweli? kwa hyo wanawambia umma kuwa wao hawapendi kuongozwa.This is non sense at the highest level.Barua imetumwa kwenye magroup yetu ya WhatsApp ya chuoni UDSM.View attachment 798750View attachment 798751View attachment 798752
Barua imetumwa kwenye magroup yetu ya WhatsApp ya chuoni UDSM.View attachment 798750View attachment 798751View attachment 798752
Acha kutengeneza barua ya kugushi utafugwa kijana na hakuna atakusaidia humu JF. Fuatilia masomo yako kijana!!Barua imetumwa kwenye magroup yetu ya WhatsApp ya chuoni UDSM.View attachment 798750View attachment 798751View attachment 798752
HahahahaHiki chama kiko ICU muda wowote kinakata roho na hata watu wa kujitolea kukizika watakosena.
AmekwishaAcha kutengeneza barua ya kugushi utafugwa kijana na hakuna atakusaidia humu JF. Fuatilia masomo yako kijana!!