Barua inayowatesa Mangula na Membe hii hapa!

tunahitaji kuchunguza ukweli wa barua hii lakoni kwa akili za kawaida kama kwelio imetungwa huyu jamaa kiboko make kama matukio yanaenda kwa mpangilio mzuri. ok ila hizi ni siasa za CCM. mbona mifano ya waheshimiwa watukanaji ni mingi. Kevela katumia CDM kama mfano kuwa wana siasa za kibabe sasa sijui yeye analalamika nini?
 
Watu wangesoma kwa makini contents za hii barua badala ya kuangalia style. MODs hii thread inafaa kwenye jukwaa la siasa. Kuna mambo ya msingi ya kujadili kutokana na hayo yaliyoandikwa.

NB: Magufuli anaumwa na nani? maana kwenye barua inaonekana kuna mtu anaandaliwa kuchukuwa nafasi yake? Hapa tuunganishe na safari ya Pinda kwenda jimboni kwa Magufuli ili kumzima na bomoabomoa!
 
NIKIWA SHULE YA MSINGI NILUFUNDISHWA YAFUATAYO JUU YA UANDISHI WA BARUA YA
1. Barua lazima iwe na tarehe ya kuandikwa isipokuwa kama ni ya kirafiki zaidi (informal)
2. Barua ya kiofisi inakuwa na anuani mbili, yaani ya mwandikiwa na mwandishi pale juu
3. Majina ya watu huandikwa kwa herufi kubwa (hata jina lake mwenyewe mwandishi kaandika herufi ndogo
4. mtiririko wa barua & mpangilio wa mawazo
5. Uzingatiaji wa Punctuation marks (alama za uandishi kama .,!?)(";: n.k
6. Seriousness katika barua za kikazi

Barua hii ina maswali mengi kuliko majibu inayojaribu kutoa kwa MWANDISHI MWENYE NGAZI YA ELIMU YA MASTERS
 
Jamani jamani hapa JF, mbona tunaharaka sana? Hatutaki kuhoji japo kidogo, tunakuwa na haraka ya kumjibu mtoa uzi. Mfano mzuri jamaa katoa hata watu gani wamepewa nakala za barua hii. Cha kwanza tunatakiwa tuhakikishe kama hii barua ni kweli ipo au imetungiwa humu humu JF? Na kwa kupitia wenye nakala je ilivyoandikwa hiyo barua na ilivyorushwa humu JF ni kama ilivyo na hakuna chumvi zilizoongezwa kwa malengo yeyote yale? Tukishakuwa na uhakika wa hayo hapo ndipo tunakuwa na haki ya kisomi ya kumjibu mtoa uzi. Hapa wachangia wamekimbilia tu UCCM na UChadema. Hivi havitusaidii sana. Hoja ya msingi hapa ni hii tuhuma ya rushwa.
Ndugu yangu nimekupongeza sana kwa Ushauli huu!!!
Humu Jf Kuna watu wa namna mbali mbali: Kuna wasomi na wasiosoma na tupo katika madaraja mbalimbali ya elimu: Kutokana na michango ya watu unaweza kugudua kuwa Mtu fulani huenda ni elimu fulani au ni mtu wa tabia fulani:

Upo Ushahidi kuwa tungekuwa tnafahamiana huenda tusingejibizana kwa kuhofia kujivunjia heshima!!
Ukweli ni kwamba barua hiyo imeandikwa hata kwenye gazeti la Mwananchi leo hivyo watu walipaswa kufanya utafiti kwanza ndipo waanze kuchangia na sio kujibu bila data.

Pia tahadhali iliyopo ni kwamba CCM nao wapo humu humu wanavuruga mada hii???
 
Hii barua siyo original copy inaoyesha imefanyiwa editing, hasa yale maneno yaliyoko kwenye mabano. Kwa maana hiyo huenda kuna maneno yaliyoongezwa au kupunguzwa, anyway tuendelee kuijadili.
 
NIKIWA SHULE YA MSINGI NILUFUNDISHWA YAFUATAYO JUU YA UANDISHI WA BARUA YA
1. Barua lazima iwe na tarehe ya kuandikwa isipokuwa kama ni ya kirafiki zaidi (informal)
2. Barua ya kiofisi inakuwa na anuani mbili, yaani ya mwandikiwa na mwandishi pale juu
3. Majina ya watu huandikwa kwa herufi kubwa (hata jina lake mwenyewe mwandishi kaandika herufi ndogo
4. mtiririko wa barua & mpangilio wa mawazo
5. Uzingatiaji wa Punctuation marks (alama za uandishi kama .,!?)(";: n.k
6. Seriousness katika barua za kikazi

Barua hii ina maswali mengi kuliko majibu inayojaribu kutoa kwa MWANDISHI MWENYE NGAZI YA ELIMU YA MASTERS

Fanya utafiti usiwe Mvivu!!!
Barua hiyo imetoka katika gazt la mwananchi story ipo front page
Acha ushabiki
 
Hii barua siyo original copy inaoyesha imefanyiwa editing, hasa yale maneno yaliyoko kwenye mabano. Kwa maana hiyo huenda kuna maneno yaliyoongezwa au kupunguzwa, anyway tuendelee kuijadili.
Barua ipo gzt Mwananch na Gzt Mtanzani !!!!

Fanya utafiti
 
NIKIWA SHULE YA MSINGI NILUFUNDISHWA YAFUATAYO JUU YA UANDISHI WA BARUA YA
1. Barua lazima iwe na tarehe ya kuandikwa isipokuwa kama ni ya kirafiki zaidi (informal)
2. Barua ya kiofisi inakuwa na anuani mbili, yaani ya mwandikiwa na mwandishi pale juu
3. Majina ya watu huandikwa kwa herufi kubwa (hata jina lake mwenyewe mwandishi kaandika herufi ndogo
4. mtiririko wa barua & mpangilio wa mawazo
5. Uzingatiaji wa Punctuation marks (alama za uandishi kama .,!?)(";: n.k
6. Seriousness katika barua za kikazi

Barua hii ina maswali mengi kuliko majibu inayojaribu kutoa kwa MWANDISHI MWENYE NGAZI YA ELIMU YA MASTERS

Acha uvivu Soma Gzt Mwananchi leo!!!!!!!!!
Na Zabron

ALIYEKUWA Mbunge wa Njombe Magharibi (CCM), Yono Kevela amemtuhumu Makamu Mwenyekiti wa CCM Philip Mangula kwa kuvuruga uchaguzi wa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) ya chama hicho, Wilaya ya Wanging'ombe kwa kuwabeba baadhi ya wagombea.
Katika madai yake ambayo ameyakatia rufani, Kevela amesema katika uchaguzi huo uliofanyika Julai 29 mwaka huu, mbali na kuwabeba wagombea hao, Mangula alishiriki kutengeneza makundi ya vitisho, rushwa na lugha za kejeli dhidi yake.

Alisema siku ya uchaguzi akiwa amekaa meza kuu, Mangula alipopewa nafasi ya kuhutubia, aliwaambia wajumbe kuhakikisha Kevela na mgombea mwingine Hamisi Nurdin hawapiti.

"Mangula alisema watu hao wasichaguliwe kwa kuwa wana malengo tofauti na yale ya kukitumikia chama," alidai Kevela. Malengo yaliyodaiwa katika rufani hiyo ni kuwa Kevela anautaka ubunge wa Njombe Magharibi na Nurdin ana nia ya kutaka Makao Makuu ya Wilaya ya Wanging'ombe yawe Igwachanya.

Rufani hiyo imetaja tuhuma nyingine dhidi ya Mangula kuwa ni timu yake kutangaza kuwa Kevela amejitoa kwenye uchaguzi… "Hili liliathiri pia ushindi wangu katika uchaguzi huo."
Rufani hiyo ya Kevela nakala yake imepelekwa kwa Katibu Mkuu na Mwenyekiti wa CCM, Idara ya Usalama na Maadili ya CCM, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa chama hicho na Mkuu wa Wilaya ya Wanging'ombe.

Kevela katika rufaa yake hiyo, anataka matokeo ya uchaguzi huo yafutwe kwa kuwa ulikiuka vifungu kadhaa vya kanuni kikiwamo cha Miiko ya Shughuli za Uchaguzi na Uteuzi wa wagombea ukurasa wa 39, cha Kanuni za Uteuzi toleo la Februari 2010, Kifungu namba 22 (1-6). Hata hivyo, pamoja na kukata rufani hiyo, Kevela amesema ana shaka kwamba haki itatendeka kwani, mtu anayemlalamikia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, ambayo kulingana na Kanuni za Uchaguzi za CCM, ndiyo itakayopitia malalamiko hayo na kuyatolea uamuzi.
Kamati hiyo inatakiwa iwe imekamilisha kazi yake ndani ya miezi sita na Mangula alipoulizwa kuhusiana na tuhuma hizo dhidi yake alisema hazijamfikia na wala hazijui.

"Hayo hayajanifikia na siyajui. Hata hiyo rufaa haiji kwangu. Malalamiko yote yanashughulikiwa na jopo la wataalamu kabla ya kufikishwa kwetu. Hivi sasa malalamiko yote yako katika hatua ya uchambuzi na kimsingi yatakayoshughulikiwa ni yale yanayohusu rushwa pekee."

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipotakiwa kutoa ufafanuzi kuhusu madai hayo alisema asingeweza kufanya hivyo kwa kuwa alikuwa na siku chache tangu alipoanza kazi hiyo na kutaka aulizwe Katibu wake wa Halmashauri Kuu Taifa, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.

Alipoulizwa, Nape alimtaka mrufani kutokuwa na wasiwasi juu ya kutendewa haki akisema kwa kawaida rufani hazisikilizwi na mtu mmoja.

Alisema baada ya kuchambuliwa, rufani zote zinafikishwa katika kikao cha sekretarieti ambayo huzipitia na kuzipeleka katika Kamati ya Usalama na Maadili kisha Kamati Kuu na yapo ambayo huishia katika ngazi hiyo na mengine kupelekwa hadi Halmashauri Kuu kwa hatua zaidi.

Nape alisisitiza kuwa hakuna uamuzi utakaofanywa na mtu mmoja … "Labda aseme (Kevela), kuwa hana imani na Kamati Kuu ya chama chake na hapo ndipo labda tutaangalia kanuni zinasemaje lakini kwa sasa hali halisi ndiyo hiyo," alisema.
Source: Mwananchi
 
Swala la rushwa ndani ya chaguzi za uongozi CCM sio habari. Mwka 2005 wakati wa mchakato wa kutafuta mpeperusha bendera ya CCM, Mgombea nafasi ya urais, kamati za siasa za mikoa zilitaarifu kuwa mtandao wa Jakaya Mrisho Kikwete ULITUMIA RUSHWA KUWASHWISHI WAJUMBE wampigie kura. Raisi Benjamini William Mkapa aliandika dokezo Usalama wa Taifa kupata ukweli wa tuhuma hizo. Jibu toka Usalama wa Taifa lilikuwa " makundi ya wagombea wote wametumia rushwa. Tofauti ni kuzidiana kiasi tu. Mtandao wa JK ulionekana kutumia kiasi kikubwa kupita makundi mengine yote" Nikimunukuu kauli ya Mwenyekiti wa CCM ndugu Benjamini William Mkapa alisema" WOTE WAMEPUNGUKIWA NA UTUKUFU" Mchakato ukaendelea kwa watu wasio nautukufu kugombea nafasi ya uraisi wa nchi. Philip Mangula alikuwa Katibu Mkuu wa CCM. (Mtendaji Mkuu)
Wakati wa uchaguzi wa CWT mjini Dodoma Mwenyekiti wa CCM Jakaya Mrisho Kikwete alilalamika kukithiri kwa rushwa. Raisi aliendelea tena kulalamikia uchaguzi wa UVCCM kutawaliwa na rushwa.
Hivyo swala la rushwa ndani ya CCM SIO HABARI, ni kitu cha kawaida kabisa. Swali la kujiuliza na hatutapata jibu, ni vipi Phillip Mangula ataweza kubatilisha chaguzi zilizoendeshwa kwa rushwa ikiwa Mwenyekiti wake Benjamini William Mkapa alishindwa? Ni vipi Raisi na Mwenyekiti wa CCM aliyechaguliwa kwa rushwa kubwa kuliko wote ataweza kuwaadhibu wanachama wenzake wanaotaka kupata uongozi kwa mbinu ileile aliyoitumia yeye kupata uongozi?Atapata wapi ujasiri wa kukema na kuchukua hatua?
Jamani jamani hapa JF, mbona tunaharaka sana? Hatutaki kuhoji japo kidogo, tunakuwa na haraka ya kumjibu mtoa uzi. Mfano mzuri jamaa katoa hata watu gani wamepewa nakala za barua hii. Cha kwanza tunatakiwa tuhakikishe kama hii barua ni kweli ipo au imetungiwa humu humu JF? Na kwa kupitia wenye nakala je ilivyoandikwa hiyo barua na ilivyorushwa humu JF ni kama ilivyo na hakuna chumvi zilizoongezwa kwa malengo yeyote yale? Tukishakuwa na uhakika wa hayo hapo ndipo tunakuwa na haki ya kisomi ya kumjibu mtoa uzi. Hapa wachangia wamekimbilia tu UCCM na UChadema. Hivi havitusaidii sana. Hoja ya msingi hapa ni hii tuhuma ya rushwa.
 
tunahitaji kuchunguza ukweli wa barua hii lakoni kwa akili za kawaida kama kwelio imetungwa huyu jamaa kiboko make kama matukio yanaenda kwa mpangilio mzuri. ok ila hizi ni siasa za CCM. mbona mifano ya waheshimiwa watukanaji ni mingi. Kevela katumia CDM kama mfano kuwa wana siasa za kibabe sasa sijui yeye analalamika nini?
Gzti Mwananchi lleo
ALIYEKUWA Mbunge wa Njombe Magharibi (CCM), Yono Kevela amemtuhumu Makamu Mwenyekiti wa CCM Philip Mangula kwa kuvuruga uchaguzi wa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) ya chama hicho, Wilaya ya Wanging’ombe kwa kuwabeba baadhi ya wagombea.
Katika madai yake ambayo ameyakatia rufani, Kevela amesema katika uchaguzi huo uliofanyika Julai 29 mwaka huu, mbali na kuwabeba wagombea hao, Mangula alishiriki kutengeneza makundi ya vitisho, rushwa na lugha za kejeli dhidi yake.

Alisema siku ya uchaguzi akiwa amekaa meza kuu, Mangula alipopewa nafasi ya kuhutubia, aliwaambia wajumbe kuhakikisha Kevela na mgombea mwingine Hamisi Nurdin hawapiti.

“Mangula alisema watu hao wasichaguliwe kwa kuwa wana malengo tofauti na yale ya kukitumikia chama,” alidai Kevela. Malengo yaliyodaiwa katika rufani hiyo ni kuwa Kevela anautaka ubunge wa Njombe Magharibi na Nurdin ana nia ya kutaka Makao Makuu ya Wilaya ya Wanging’ombe yawe Igwachanya.

Rufani hiyo imetaja tuhuma nyingine dhidi ya Mangula kuwa ni timu yake kutangaza kuwa Kevela amejitoa kwenye uchaguzi… “Hili liliathiri pia ushindi wangu katika uchaguzi huo.”
Rufani hiyo ya Kevela nakala yake imepelekwa kwa Katibu Mkuu na Mwenyekiti wa CCM, Idara ya Usalama na Maadili ya CCM, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa chama hicho na Mkuu wa Wilaya ya Wanging’ombe.

Kevela katika rufaa yake hiyo, anataka matokeo ya uchaguzi huo yafutwe kwa kuwa ulikiuka vifungu kadhaa vya kanuni kikiwamo cha Miiko ya Shughuli za Uchaguzi na Uteuzi wa wagombea ukurasa wa 39, cha Kanuni za Uteuzi toleo la Februari 2010, Kifungu namba 22 (1-6). Hata hivyo, pamoja na kukata rufani hiyo, Kevela amesema ana shaka kwamba haki itatendeka kwani, mtu anayemlalamikia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, ambayo kulingana na Kanuni za Uchaguzi za CCM, ndiyo itakayopitia malalamiko hayo na kuyatolea uamuzi.
Kamati hiyo inatakiwa iwe imekamilisha kazi yake ndani ya miezi sita na Mangula alipoulizwa kuhusiana na tuhuma hizo dhidi yake alisema hazijamfikia na wala hazijui.

“Hayo hayajanifikia na siyajui. Hata hiyo rufaa haiji kwangu. Malalamiko yote yanashughulikiwa na jopo la wataalamu kabla ya kufikishwa kwetu. Hivi sasa malalamiko yote yako katika hatua ya uchambuzi na kimsingi yatakayoshughulikiwa ni yale yanayohusu rushwa pekee.”

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipotakiwa kutoa ufafanuzi kuhusu madai hayo alisema asingeweza kufanya hivyo kwa kuwa alikuwa na siku chache tangu alipoanza kazi hiyo na kutaka aulizwe Katibu wake wa Halmashauri Kuu Taifa, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.

Alipoulizwa, Nape alimtaka mrufani kutokuwa na wasiwasi juu ya kutendewa haki akisema kwa kawaida rufani hazisikilizwi na mtu mmoja.

Alisema baada ya kuchambuliwa, rufani zote zinafikishwa katika kikao cha sekretarieti ambayo huzipitia na kuzipeleka katika Kamati ya Usalama na Maadili kisha Kamati Kuu na yapo ambayo huishia katika ngazi hiyo na mengine kupelekwa hadi Halmashauri Kuu kwa hatua zaidi.

Nape alisisitiza kuwa hakuna uamuzi utakaofanywa na mtu mmoja … “Labda aseme (Kevela), kuwa hana imani na Kamati Kuu ya chama chake na hapo ndipo labda tutaangalia kanuni zinasemaje lakini kwa sasa hali halisi ndiyo hiyo,” alisema.
 
kweli KEVELA ni tahila anayemalizia dozi mirembe....anaandika barua ktk JF anajifanya ameituma kwa chairman?
Barua gani haina SAHIHI? ameshindwa hata ku-scan hiyo original letter? na kwa nini akihusishwe chama cha CHADEMA?

....amulize nyimbo FITINA zake zimedunda kwa Eng.Lwenge,sasa wewe KIHIYO mwenye SHAHADA feki utaweza kwa MATHEMATICIAN and senior ENGINEER?....MANGULA ni kiboko ya wala RUSHWA subiri pigo la mwisho
Acha ushabiki na uvivu soma gzt Mwananchi
ALIYEKUWA Mbunge wa Njombe Magharibi (CCM), Yono Kevela amemtuhumu Makamu Mwenyekiti wa CCM Philip Mangula kwa kuvuruga uchaguzi wa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) ya chama hicho, Wilaya ya Wanging'ombe kwa kuwabeba baadhi ya wagombea.
Katika madai yake ambayo ameyakatia rufani, Kevela amesema katika uchaguzi huo uliofanyika Julai 29 mwaka huu, mbali na kuwabeba wagombea hao, Mangula alishiriki kutengeneza makundi ya vitisho, rushwa na lugha za kejeli dhidi yake.

Alisema siku ya uchaguzi akiwa amekaa meza kuu, Mangula alipopewa nafasi ya kuhutubia, aliwaambia wajumbe kuhakikisha Kevela na mgombea mwingine Hamisi Nurdin hawapiti.

"Mangula alisema watu hao wasichaguliwe kwa kuwa wana malengo tofauti na yale ya kukitumikia chama," alidai Kevela. Malengo yaliyodaiwa katika rufani hiyo ni kuwa Kevela anautaka ubunge wa Njombe Magharibi na Nurdin ana nia ya kutaka Makao Makuu ya Wilaya ya Wanging'ombe yawe Igwachanya.

Rufani hiyo imetaja tuhuma nyingine dhidi ya Mangula kuwa ni timu yake kutangaza kuwa Kevela amejitoa kwenye uchaguzi… "Hili liliathiri pia ushindi wangu katika uchaguzi huo."
Rufani hiyo ya Kevela nakala yake imepelekwa kwa Katibu Mkuu na Mwenyekiti wa CCM, Idara ya Usalama na Maadili ya CCM, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa chama hicho na Mkuu wa Wilaya ya Wanging'ombe.

Kevela katika rufaa yake hiyo, anataka matokeo ya uchaguzi huo yafutwe kwa kuwa ulikiuka vifungu kadhaa vya kanuni kikiwamo cha Miiko ya Shughuli za Uchaguzi na Uteuzi wa wagombea ukurasa wa 39, cha Kanuni za Uteuzi toleo la Februari 2010, Kifungu namba 22 (1-6). Hata hivyo, pamoja na kukata rufani hiyo, Kevela amesema ana shaka kwamba haki itatendeka kwani, mtu anayemlalamikia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, ambayo kulingana na Kanuni za Uchaguzi za CCM, ndiyo itakayopitia malalamiko hayo na kuyatolea uamuzi.
Kamati hiyo inatakiwa iwe imekamilisha kazi yake ndani ya miezi sita na Mangula alipoulizwa kuhusiana na tuhuma hizo dhidi yake alisema hazijamfikia na wala hazijui.

"Hayo hayajanifikia na siyajui. Hata hiyo rufaa haiji kwangu. Malalamiko yote yanashughulikiwa na jopo la wataalamu kabla ya kufikishwa kwetu. Hivi sasa malalamiko yote yako katika hatua ya uchambuzi na kimsingi yatakayoshughulikiwa ni yale yanayohusu rushwa pekee."

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipotakiwa kutoa ufafanuzi kuhusu madai hayo alisema asingeweza kufanya hivyo kwa kuwa alikuwa na siku chache tangu alipoanza kazi hiyo na kutaka aulizwe Katibu wake wa Halmashauri Kuu Taifa, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.

Alipoulizwa, Nape alimtaka mrufani kutokuwa na wasiwasi juu ya kutendewa haki akisema kwa kawaida rufani hazisikilizwi na mtu mmoja.

Alisema baada ya kuchambuliwa, rufani zote zinafikishwa katika kikao cha sekretarieti ambayo huzipitia na kuzipeleka katika Kamati ya Usalama na Maadili kisha Kamati Kuu na yapo ambayo huishia katika ngazi hiyo na mengine kupelekwa hadi Halmashauri Kuu kwa hatua zaidi.

Nape alisisitiza kuwa hakuna uamuzi utakaofanywa na mtu mmoja … "Labda aseme (Kevela), kuwa hana imani na Kamati Kuu ya chama chake na hapo ndipo labda tutaangalia kanuni zinasemaje lakini kwa sasa hali halisi ndiyo hiyo," alisema.
 
Nyambaaaf gamba,unalalamika nini? Si ndo zenu? Unalialia nini hapa? Uliambiwa ni lazima upite NEC? SHUKURU MUNGU WALIKUZUSHIA UGONJWA WA AKILI, NEXT TIME HAWASHINDWI KUKUBAMBIKIA KESI YA KUBAKA MBUZI.! THAT IS YOUR TYPE CCMIS!
 
Siku zote alikuwa hajui kuwa huo ndio utaratibu wa CCM...? Sipendi watu walioshindwa halafu wanabaki kulalamika tu...! Kwetu uswahilini ukishaona mpira umejaa rafu unajiandaa, maana either utie mpira kwapani uondoke au subiri ngumi zilike....!
Kulalamika ni lazima kama haki haijatendeka!!!
CCM waliiba kura na rushwa ikatembea Kikwete akapita leo Kikwete hawezi hata kugombea Jimbo la Ubungo kupambana na Mnyika. Kwa aibu ameondoa ile Kesi!!!!!!!!
 
kweli KEVELA ni tahila anayemalizia dozi mirembe....anaandika barua ktk JF anajifanya ameituma kwa chairman?
Barua gani haina SAHIHI? ameshindwa hata ku-scan hiyo original letter? na kwa nini akihusishwe chama cha CHADEMA?

....amulize nyimbo FITINA zake zimedunda kwa Eng.Lwenge,sasa wewe KIHIYO mwenye SHAHADA feki utaweza kwa MATHEMATICIAN and senior ENGINEER?....MANGULA ni kiboko ya wala RUSHWA subiri pigo la mwisho
Usitudanganye hapa!!1
1. Lwenge ni Mwizi alifukuzwa TANROAD!!!
2.Alikamatwa na PCCB kwa Rushwa na hata leo anathuma za Rushwa hapo

Sasa Kama unakula naye endelea!!!!!!!!!!!!!
 
siiamini barua isiyokuwa na tarehe asilani..

ALIYEKUWA Mbunge wa Njombe Magharibi (CCM), Yono Kevela amemtuhumu Makamu Mwenyekiti wa CCM Philip Mangula kwa kuvuruga uchaguzi wa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) ya chama hicho, Wilaya ya Wanging’ombe kwa kuwabeba baadhi ya wagombea.
Katika madai yake ambayo ameyakatia rufani, Kevela amesema katika uchaguzi huo uliofanyika Julai 29 mwaka huu, mbali na kuwabeba wagombea hao, Mangula alishiriki kutengeneza makundi ya vitisho, rushwa na lugha za kejeli dhidi yake.

Alisema siku ya uchaguzi akiwa amekaa meza kuu, Mangula alipopewa nafasi ya kuhutubia, aliwaambia wajumbe kuhakikisha Kevela na mgombea mwingine Hamisi Nurdin hawapiti.

“Mangula alisema watu hao wasichaguliwe kwa kuwa wana malengo tofauti na yale ya kukitumikia chama,” alidai Kevela. Malengo yaliyodaiwa katika rufani hiyo ni kuwa Kevela anautaka ubunge wa Njombe Magharibi na Nurdin ana nia ya kutaka Makao Makuu ya Wilaya ya Wanging’ombe yawe Igwachanya.

Rufani hiyo imetaja tuhuma nyingine dhidi ya Mangula kuwa ni timu yake kutangaza kuwa Kevela amejitoa kwenye uchaguzi… “Hili liliathiri pia ushindi wangu katika uchaguzi huo.”
Rufani hiyo ya Kevela nakala yake imepelekwa kwa Katibu Mkuu na Mwenyekiti wa CCM, Idara ya Usalama na Maadili ya CCM, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa chama hicho na Mkuu wa Wilaya ya Wanging’ombe.

Kevela katika rufaa yake hiyo, anataka matokeo ya uchaguzi huo yafutwe kwa kuwa ulikiuka vifungu kadhaa vya kanuni kikiwamo cha Miiko ya Shughuli za Uchaguzi na Uteuzi wa wagombea ukurasa wa 39, cha Kanuni za Uteuzi toleo la Februari 2010, Kifungu namba 22 (1-6). Hata hivyo, pamoja na kukata rufani hiyo, Kevela amesema ana shaka kwamba haki itatendeka kwani, mtu anayemlalamikia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, ambayo kulingana na Kanuni za Uchaguzi za CCM, ndiyo itakayopitia malalamiko hayo na kuyatolea uamuzi.
Kamati hiyo inatakiwa iwe imekamilisha kazi yake ndani ya miezi sita na Mangula alipoulizwa kuhusiana na tuhuma hizo dhidi yake alisema hazijamfikia na wala hazijui.

“Hayo hayajanifikia na siyajui. Hata hiyo rufaa haiji kwangu. Malalamiko yote yanashughulikiwa na jopo la wataalamu kabla ya kufikishwa kwetu. Hivi sasa malalamiko yote yako katika hatua ya uchambuzi na kimsingi yatakayoshughulikiwa ni yale yanayohusu rushwa pekee.”

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipotakiwa kutoa ufafanuzi kuhusu madai hayo alisema asingeweza kufanya hivyo kwa kuwa alikuwa na siku chache tangu alipoanza kazi hiyo na kutaka aulizwe Katibu wake wa Halmashauri Kuu Taifa, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.

Alipoulizwa, Nape alimtaka mrufani kutokuwa na wasiwasi juu ya kutendewa haki akisema kwa kawaida rufani hazisikilizwi na mtu mmoja.

Alisema baada ya kuchambuliwa, rufani zote zinafikishwa katika kikao cha sekretarieti ambayo huzipitia na kuzipeleka katika Kamati ya Usalama na Maadili kisha Kamati Kuu na yapo ambayo huishia katika ngazi hiyo na mengine kupelekwa hadi Halmashauri Kuu kwa hatua zaidi.

Nape alisisitiza kuwa hakuna uamuzi utakaofanywa na mtu mmoja … “Labda aseme (Kevela), kuwa hana imani na Kamati Kuu ya chama chake na hapo ndipo labda tutaangalia kanuni zinasemaje lakini kwa sasa hali halisi ndiyo hiyo,” alisema.
 
Kulalamika ni lazima kama haki haijatendeka!!!
CCM waliiba kura na rushwa ikatembea Kikwete akapita leo Kikwete hawezi hata kugombea Jimbo la Ubungo kupambana na Mnyika. Kwa aibu ameondoa ile Kesi!!!!!!!!

Nani msafi ndani ya CCM mpaka alalamikie wengine...? Ilichofanyika ni kuwa yeye kazidiwa kete sasa anaanza kulalama....hakujua CCM ni wezi na wachakachuaji!
 
Back
Top Bottom