Barua aliyoacha Mama

brightrich

Senior Member
Nov 19, 2010
136
26
Binti: Hello baba,
Baba: Sema binti yangu
Binti: Nimempenda huyu mlinzi wa hapa nyumbani, nimeamua kutoroka nikaolewe nae.
Baba: Pumbafu kweli wewe unadhani ntashtuka? Safari njema na nisikuone tena sura yako.
Binti: Samahani baba, nilikuwa nakusomea barua aliyoacha mama,
Baba: Umesema??????? Pumbavuu sana!!!! wameenda wapiiii!!! :A S 20::A S 20:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom