Alex Fredrick
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 680
- 1,338
“Leo ni siku Muhimu sana si kwa Tanzania tu bali kwa Afrika nzima katika suala la biashara madini, nawashukuru sana Barrick pamoja na watanzania wazalendo walioshiriki katika mazungumzo haya” - Rais Magufuli.
Wale Watanzania wenzetu ambao mnavinasaba vya kina Thomaso nadhani leo mtakuwa kwa kiasi fulani mnaanza kumuelewa Rais Magufuli kwa ufasaha na kwanini alibadilisha Sheria zote za Madini 2017.
Kwa mwenendo huu Rais Magufuli sisi kama Taifa bado tunamuhitaji sana kwenye Medani za Uongozi nchini
Tuwe wakweli tu sioni kiongozi sampuli ya RAIS MAGUFULI kwa haya makubwa aliyotutendea ndani ya miaka mitano ambayo bado haijaisha.
#RAISMAGUFULI KIOO TUELEKEACHO 2020
Alex Fredrick
Dar es salaam Tanzania East Africa
Sent using Jamii Forums mobile app