Barrick kusalimu amri na kukubali kusaini makubaliano, Rais Magufuli ni kioo na alama ya taifa kuhusu uzalendo uliotukuka

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
680
1,338
“Leo ni siku Muhimu sana si kwa Tanzania tu bali kwa Afrika nzima katika suala la biashara madini, nawashukuru sana Barrick pamoja na watanzania wazalendo walioshiriki katika mazungumzo haya” - Rais Magufuli.

Wale Watanzania wenzetu ambao mnavinasaba vya kina Thomaso nadhani leo mtakuwa kwa kiasi fulani mnaanza kumuelewa Rais Magufuli kwa ufasaha na kwanini alibadilisha Sheria zote za Madini 2017.

Kwa mwenendo huu Rais Magufuli sisi kama Taifa bado tunamuhitaji sana kwenye Medani za Uongozi nchini

Tuwe wakweli tu sioni kiongozi sampuli ya RAIS MAGUFULI kwa haya makubwa aliyotutendea ndani ya miaka mitano ambayo bado haijaisha.

#RAISMAGUFULI KIOO TUELEKEACHO 2020

Alex Fredrick
Dar es salaam Tanzania East Africa

FB_IMG_1579885246683.jpeg
FB_IMG_1579885239556.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiondoa Mark wengine walikuwa wamejaa sumu balaa, Ila Mark mtu poa Sana kulikuwa na demu mmoja mwanza alimwachia vitu vingi sana
 
Ila wabongo ongezeni umakini pale kwenye kutoa sahihi haraka waliokuja wadada wawili wanakusanya na kuhakiki kila nakala yao,

Ila sisi Kuna document moja walisahau yule mzungu akawa anawanyoshea mkono anawapa. Mark pia ile share certificate alibaki nayo mkononi Hadi dakika ya mwisho akampa Rais mkononi Tena wakabadilishana na share application haikuwa hata wasaidizi wake.
 
Alex Fredrick,
Naona wana Saccos ya Chadema wanachungulia na kupita mbioooo!! Mmawia tindo Chakaza mnaitwa huku!! Mje muone mkataba ukisainiwa ila hakikisheni mnywe maji mengi ya kutosha msije kufa na stress pia mmjulishe msaliti Lissu kuwa leo mkataba umesainiwa na hao mabwana zake Accacia hawapo tena Tanzania wamevurushwa! Msisahau kumweleza pia Msaliti Lissu kuwa hatukushitakiwa wala hakuna cha MIGA. Mwambieni arudi home kumenoga aje aone maendeleo yanayoletwa na serikali ya awamu ya tano.
 
Nipo humu humu wala sina wasiwasi wowote ule. Mkuu ni lipi jipya hapo ambalo leo ndio jipya toka awamu huu iingie madarakani? Kama ni hizo hadithi za 50/50 kwa hisa za 16% wala sio hadithi mpya. Kama kweli huo Mkataba una maslahi, uwekwe wazi tuusome na sio kuchukua maelezo kwa wazalendo wa tumbo akina Kabudi. Uzuri mimi sitishiki na mbwembwe bali najali tija.
 
“Leo ni siku Muhimu sana si kwa Tanzania tu bali kwa Afrika nzima katika suala la biashara madini, nawashukuru sana Barrick pamoja na watanzania wazalendo walioshiriki katika mazungumzo haya” - Rais Magufuli.

Wale Watanzania wenzetu ambao mnavinasaba vya kina Thomaso nadhani leo mtakuwa kwa kiasi fulani mnaanza kumuelewa Rais Magufuli kwa ufasaha na kwanini alibadilisha Sheria zote za Madini 2017.

Kwa mwenendo huu Rais Magufuli sisi kama Taifa bado tunamuhitaji sana kwenye Medani za Uongozi nchini

Tuwe wakweli tu sioni kiongozi sampuli ya RAIS MAGUFULI kwa haya makubwa aliyotutendea ndani ya miaka mitano ambayo bado haijaisha.

#RAISMAGUFULI KIOO TUELEKEACHO 2020

Alex Fredrick
Dar es salaam Tanzania East Africa

View attachment 1333183View attachment 1333184

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni saini tu Chief hazina afu jua huo sio msahafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo humu humu wala sina wasiwasi wowote ule. Mkuu ni lipi jipya hapo ambalo leo ndio jipya toka awamu huu iingie madarakani? Kama ni hizo hadithi za 50/50 kwa hisa za 16% wala sio hadithi mpya. Kama kweli huo Mkataba una maslahi, uwekwe wazi tuusome na sio kuchukua maelezo kwa wazalendo wa tumbo akina Kabudi. Uzuri mimi sitishiki na mbwembwe bali najali tija.
Who are eti Mimi sitishiki !!!! Utingishike usitingishike we don't care we are moving

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona pia wamewekeana sahihi ya kuwa huu mkataba ni siri ya Barrick na watia sahihi wa upande wa TZ!! kuanzia jana hatuoni mtandaoni, kuna nini nyuma yake?
 
Back
Top Bottom