Mzee hio ina block Frequencies fulani za mawasiliano, Na zinazobaki open zinakuwa Siri kwa Wanausalama ili ku facilitate Mawasiliano ya msafara, Hio Jammer car ina wide range ya kublock Frequencies kuanzia radio, microwave n.k ila at all lazima motorcade iwe communicated ila pia huenda far kwa kubeba mabags ikiwa wapo mbali na ilo gari ili kublock mawasiliano katika eneo alilopo mlindwaji.