Barrack Obama & Michele Obama Wampasha Rais Donald Trump

Mkuu kuwasikiliza ma-homesexuality ni kupoteza muda. Chagua fungu lililo jema.
 
Tukiweka ushabiki watu pembeni, kiukweli Trump ni mbaguzi, tena ni mtu angekuwa na uwezo angeangamiza watu weusi wote duniani,
Huyu hana tofauti na Adolf hitler
 
Tukiweka ushabiki watu pembeni, kiukweli Trump ni mbaguzi, tena ni mtu angekuwa na uwezo angeangamiza watu weusi wote duniani,
Huyu hana tofauti na Adolf hitler
Mkuu huyu jamaa ni hatari sana kwa dunia na anaweza kuleta maafa makubwa. Chuki zake dhidi ya waafrika na Latinos ni kwasababu hawakumpa kura kwenye uchaguzi uliopita
 
Mkuu huyu jamaa ni hatari sana kwa dunia na anaweza kuleta maafa makubwa. Chuki zake dhidi ya waafrika na Latinos ni kwasababu hawakumpa kura kwenye uchaguzi uliopita
Ivi kweli Rais unathubutu kuwaita wanawake Nguruwe, mbwa, na wavivu
Pigs, dogs, or slobs
Yaani kajisahau kabisa kuwa alibebwa tumboni miezi 9,
Leo umekuwa kiongozi unawatus wazazi
 
Trump ni mjerumani kwa hiyo asilaumiwe.

Ujerumani hadi kesho ni wabaguzi wa kutupwa.

Hata hapo awali tukiwa Tanganyika mjerumani aliwaua watanganyika wengi sana kama siyo wote waliokuwa wamefanikiwa kuongea kijerumani.

Anachokifanya Trump, ni kuonesha sura halisi ya kijerumani na matendo yao.

Jiulize wafanyakazi aliokuwa nao Obama kwenye serikali yake wale weusi wote iweje leo Trump alipochagua mawaziri mweusi ni mmoja tu Dr. Carson hata ngazi zingine nazo amewatosa waafrika na Latinos almost wote.
 
Tukiweka ushabiki watu pembeni, kiukweli Trump ni mbaguzi, tena ni mtu angekuwa na uwezo angeangamiza watu weusi wote duniani,
Huyu hana tofauti na Adolf hitler
Trump sio mnafiki anaongea kile anachokiamini yeye. WATU WOTE WEUPE kuhusu Afrika. WANA MTIZAMO KAMA WA TRUMP. Ni kwasababu mtu mweusi ni mjinga sana na limbukeni. Binafsi sipendi kubaguliwa na sipendi kutukanwa pia sipendi kudharauliwa. Lakini lazima tujiulize ni kwanini mtu akubague au akudharau.

Sisi ni wajinga kwelikweli
 
Tukiweka ushabiki watu pembeni, kiukweli Trump ni mbaguzi, tena ni mtu angekuwa na uwezo angeangamiza watu weusi wote duniani,
Huyu hana tofauti na Adolf hitler
Ana asili ya Germany Pengine ni ndg yake Hitler.
Lakini amesaidia watu wajitafakari kuchokwa kwa behavior zao wakiwa hawajalewa, ambazo hizo behavior kuvumiliwa tu kusisika zikiwa zimefanywa na aliyelewa!
 
Mngekuwa mnatokwa POVU kwenye mambo ya msingi ya maendeleo na demokrasia ya kweli kwenye nchi zenu ingependeza zaidi. Eti mnatokwa POVU kisa tu mmetukanwa. MIAFRIKA BWANA!!!
Kweli Mkuu MTU katutkana ndio,,,lakin isiwe kigezo cha kutkwa na povu ili hali hakupnguziii wala kukuongezeaa chchctee,,,,,tureact kweny mamb ya msing sio hili wabong bhn marangap tunazinguliwa kweny nch yetu tumefyta mikia?nonsense
 
Ni kweli trump kaongea maneno makali kuhusu waafrika, maneno ambayo kwa asilimia kubwa yametukera waafrika, lakini hebu tuchambue katika jumla ya aliyo yaongea hakuna ukweli ndani yake? kama upo hebu tuufanyie kazi.
Hata kama yana ukweli ni vibaya kutumia lugha ya kibaguzi kwanini Rais Donald Trump hakuziponda wahamiaji nchi za ulaya zilizo masikini kama Poland, Romania, Czech nk. Na kwanini atishie kusimamisha misaada kwa Palestina ama Pakistan wakati bado anaipa Israel mabilioni ya dola. Sijawahi kusikia Rais Donald Trump akiongelea kuhusu utawala bora Africa wakati sasa viongozi wengi wa bara la Africa hawaeshimu utawala bora na Demokrasia .
 
Tukiweka ushabiki watu pembeni, kiukweli Trump ni mbaguzi, tena ni mtu angekuwa na uwezo angeangamiza watu weusi wote duniani,
Huyu hana tofauti na Adolf hitler
Watu weusi Sikilizeni, HESHIMA huwa HAIOMBWI inatafutwa anachofanya TRUMP yuko sahihi kabisa. MASIKINI/MJINGA siku zote DUNIANI ni wa kudharauliwa tu.

- HAKUNA WATU ANAOWAOGOPA TRUMP Dunia hii kama WACHINA, Kwa kuwa wao ni KAZI TUUU, Na kiukweli WAMAREKANI Wanaisoma na wanaishi kwa HOFU Kuu. Hakuna hotuba ya MMAREKANI atakayoitoa kuhusu UCHUMI akaacha kuzungumzia WACHINA.
- Chinese are always busy building Global Companies.
- Mmarekani anajenga GOOGLE wao wanajenga BAIDU
- Ukijenga AMAZON/EBAY wao wanajenga ALIBABA
- Unajenga FACEBOOK wao wanajenga TENCENT
- Unajenga TRUMP Organisation wao wanajenga WANDA n.k
Hey Africans, Waambie viongozi wenu wajenge mazingira kwa vijana wao KUFANYA MAKUBWA, TUHESHIMIKE, Tunamheshimu RONALDO kwa kazi anayofanya sio kwa HISANI na KULIALIA, OMBA OMBA
 
Back
Top Bottom