BangiNyeusi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 490
- 594
Nimetembea sehemu zote hizo ila baridi ya Makete na Sehemu moja hivi mbeya inaitwa mporoto mmh ni hatari kwa afya baridi miezi yote 12 katika mwaka
Aisee umeisahau Rombo..ipo KilimanjaroBaridi ya wapi ni kali na tamu kwa wale waliobahatika kuzunguka sehemu mbili tatu au zote
Kitulo iko Njombe sio MbeyaMbeya kuna sehemu inaitwa kituro nahisi ndo mahali kwenye barid Kali kuliko sehemu nyingine hapa TZ.
Daaah mkuu hapo umenena baridi la mbulu ni Kali sana, niliwahi kusoma kule.hamjafika mbulu nyinyi...baridi huwez kuoga hata mwezi mzima